Anyway kuwasaidia wenzangu waislam, naona kuna wengi watakuwa wamenichukia hadi wanataamani hata wanikute na kukata shingo:
utafiti wangu wa kupitia maandiko, kuangalia practicea za waislam na event ktk jumuia za kiislam zilinifikisha ktk haya:
-kunagalia nature ya majinn, mahitaji ya majinn, mahusiano yao na waislam, ......
-kunagalia uelewa wa waislam kuhusu majinn nafaida na hasara zake , Maandiko yanawasemaje hawa viumbe na uhalali wa hayo mahusiano.
Nimekuja gundua haya shida ya waislam na ambayo haitokwisha ni Uwepo wa MAJINN ktk uislam......hawa viumbe wa ajabu ktk ajabu yao wamepelekea waislam kuwa na "Chaos".Wapo waislma wajuao ninayoyaongea ila wameyakubali kwa vile wanajua jinsi ya kuishi nayo kwa faida zao na madhara wanayoyaelekeza kwa wengine.NA kuna waislam wasiojua ambao wanashikiliwa na confusion ya hwa viumbe...ambao ni makini sana kutengeneza problems na kuzisolve kili kuzidi wafanya wayatumiayo kudhani kuwa shida ipo sehemu nyingine.
Majinn wan ahabari mbili ktk quran kuhusu Nature yao..ila ninachukua Nature ya wale uzao wa Iblis(Shetani).Majinn yanakula Mavi na Damu...yote.Vyoo vingi vya waislam ndipo watu hufa sana. wengi watakubali hili.Huko ndipo majinn huhifadhiwa,ila pia ndipo nao huwinda watu km windo no moja, achilia mbali ajali za njia , na mahospitali....
Waislam wengi waatakuwambia kuwa wana majinn kadhaa ila hawasemi ni vipi wanawapatia damu...pengine hawajui kwa vile wenye huo utaalamu ni wachache wanaohitajika majinn yalileta shida....Majinn huleta shida sana ktk jamii za kiislam hadi wapatie damu, ama wapewe vitu fulani fulani ndipo watulie....na mara nyingi shida yao ni mbaya haswa inayoweza hata sababu mtu kufa.
Majinn wanatajwa kuwa viumbe very trick sana...na wengi wataona ktk dunia ya kiislam ipo very delicate ,ni ngumu sana kuelewana ,na vitu vidogo huw avinalipuka kuwa vikubwa na blood sana.NImehoji sana watu wenye kupenda waganga, wazee wa matambiko..watunza majinn , wazee wa dini hata kuhsuhudia waislam kadhaa wakipandisha majinn na kuanza nyonga wengine, wang`ata wengine na hata kujipiga chini hadi damu itoke....na baadaye shekhe huja na ubani na mambo mengine baadaye hao jamaa hushuka..ktk kuhoji na kuangalia kwa makini.Its all about blood ndugu zangu na si blood kidogo au ya siku moja.
Ninachoweza sema na kumoa mwenye nia njema km ushauri utakaosaidia kupunguza haya maambo ni hii:Majinn yashughulikiwe kktk uislam..kw akuaytoa kabisa....si kuyatuliza ..shri za kidini zitapotea..zitabaki shari za washari walio waovu km waovu wengine.Otherwise mtazunguka mbuyu sana "comfussed" na kila sabaua itakua sababua ya fasta tuu ila hazitokuwa na uzito wa kuweza tambulika.
Damu ya Wakristu ina dhamani kwa vile shetani anajua si mali yake.....damu ya waislam wengi tayari amemilikishwa , na yeye anataka ongeza faida...Ili litimie lile Neneo Kuwa tutakombolewa Kwa damu yake..Damu ya Yesu mwenyewe ilikuwa na dhamani kubwa sana.......yaani shetani alilipwa deni lake na ziada...km ni nyamba alipewa kuku badala ya mautumbo ya nyumbu.
NI ushauri tuu...