Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,231
Wacha kujitoa ufahamu sisi tumeambiwa tujadiliane na nyinyi kwa adabu na wala huwezi kukuta mahali muislamuUnashindwa predict muhamad atakuw wapi saa hii....angalia matendo yake, halafu ifikirie kauli yake.....ANAJIITA MFANO BORA KABISA WA MANKIND, HALAFU PIA NASEMA HAJUI HUKUMU YAKE ITAKUWEJE.Kiongozi asiyejua njia wala mwishow a safari...halafu anasema kuwa mfano bora..sijui alikuwa kichaaa au mnaomfuta ndio vichaa?
haha..ndio majibu ya maswali hayo...?kweli ipo taabu.Wachawi huwa hawana sababu ya kulinda uchawi zaidi ya utumwa...shetani akishikili hakuna ujanja.....kachore uso kuwatisha majinn.
Hivi unapozungumzia masuala ya majinn kwa waislamu si utuletee ushahidi wapi katika kitabu cha waislamuhaha..ndio majibu ya maswali hayo...?kweli ipo taabu.Wachawi huwa hawana sababu ya kulinda uchawi zaidi ya utumwa...shetani akishikili hakuna ujanja.....kachore uso kuwatisha majinn.
Wacha kujitoa ufahamu sisi tumeambiwa tujadiliane na nyinyi kwa adabu na wala huwezi kukuta mahali muislamu
anamtukana Yesu lakini nyinyi wagala ndio kazi yenu kutukana endelea na matusi yako kwasababu wewe sio wa
kwanza kutukana.
Umeamua kurudi kwenye mada eeehhh kule maji marefu baba askofu huyawezi sana sanaYericko Nyerere, mkuu endelea na mambo ingine .Otherwise tutangaze kuwa utafiti wako umeondoa myths...myths zipo nyingi sana na watu huamini kirahisi kwa kuchukulia vitu for granted ,kwa kutofanya utafiki(uvivu), au wahusika w akutolea ufafanuzi wana maslahi ndani na hivyo kuacha au kuzidi potosha makusudi.
Mfumo Kristu ni ubunifu wa waislam ku blackmail serikali na wakristu....
Huna swali ambalo hujajibiwa wewe!!
Mimi nimeshakudharau kwakua huna hoja bali blah blah tu!
Sana sana naweza kukushukuru kwa kuja na kujitahidi kujibu yale yaliyokwenye upeo wapo!
Ahsante sana kwa kushiriki, karibu tena!
Mwingine mwenye kuweza kujibu hoja kwa hoja naomba akaribie!
Hivi unapozungumzia masuala ya majinn kwa waislamu si utuletee ushahidi wapi katika kitabu cha waislamu
kina kubali mambo ya ushetani na uchawi mbona kuna wakristo wachawi kwani unahukumiwa ukristo au
aliyefanya uchawi baba askofu punguza jazba m PM mleta mada akusaidie naona anatoa macho tuu online!
ondoa uongo wako hapa, udini unakusumbua tu wewe wala si lingine!Kwanza kwa tafsiri ya kawaida ya "mfumo kristu" ni "utaratibu unaotumika kuongoza/kutawala mahali/watu kwa misingi ya dini ya kikristu"
Nchini Tanzania kumekuwepo na madai kuwa Tanzania "ni ya mfumo kristu",
Madai haya ni mazito na yanahitaji majibu yakinifu kutoka serikalini kwakuwa yanagusa imani za watu, yana athiri uchumi wetu, yana athiri siasa za nchi yetu, yana athiri elimu yetu pia yana athiri ajira nchini, lakini serikali imekuwa kimya kwa mda mrefu sasa,
Kwa dhana hiyo hapa wanaosema Tanzania ni ya mfumo kristu inamaana kuwa sekta zote zinazosimamiwa na serikali ya Tanzania zipo chini ya Ukristu na hata serikali kuanzia Urais hadi mjumbe wa nyumba kumi nk!
Mwaka 2011 nilijipa kazi maalumu yakuusaka ukweli kuhusu madai hayo,
UTAFITI wangu ULIFANYIKA katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza na Zanzibar, hii ni kutokana na kuwa majiji haya ndio kitovu cha mambo yote na mwelekeo wa taifa letu, na ndiyo yenye wakazi wengi zaidi ambao ni zaidi ya 15% ya Watanzania wote!
Haikuwa kazi rahisi kupata nilichokihitaji hasa kila nilipojaribu kuomba ufafanuzi kwa walioimba na wanaoendelea kuimba wimbo huo wa "Mfumo Kristu" kukosa majibu mujarabu,
Nilipanga safu yangu ya kiutafiti katika makundi yafuatayo,
1) Siasa,
2) Elimu
3) Ajira
4) Uchumi
A. Katika anga la siasa hapa nilijikita kuangalia Watanzania wanaohudumu katika ngazi za kimaamuzi ya kisiasa tu kwa jiji la Dar, Mbeya, Mwanza, Arusha na Zanzibar
Jiji la Dar limekumbatia wanasiasa 521,556 ambao huendeshea shughuli zao za kisiasa Dar tu, niliowahoji imani zao za kiroho ni 360,001 kati ya hawa 270,823 ni waamini wa Uislamu na 89,100 ni waamini wa Ukristu huku 72 ni waamini wa imani zingine na 6 ni waamini wa Urasta fari.
Kundi la wanasiasa lililobaki nilitumia kigezo cha majina yao japo kina akisi kwa 98% tu ya ukweli wao!
Jiji la Mbeya lina wanasiasa 1360 ambao wanahudumu katika siasa ndani ya jiji hilo. niliowahoji kujua imani zao za kiroho ni 386 kati ya hawa 272 ni waamini wa Ukristu na 112 ni waamini wa Uislamu huku 2 ni waamini wa imani zingine na hakuna waamini wa Urasta fari.
Jiji la Mwanza lina wanasiasa 2682 wanaohudumu katika siasa ndani ya jiji hilo, niliowahoji kujua imani zao za kiroho ni 1230 kati ya hawa 324 ni waamini wa Uislamu na 696 ni waamini wa Ukristu huku watu 58 ni waamini wa imani zingine na hakuna waamini wa Urasta fari.
Zanzibar ina wanasiasa 682 wanaohudumu katika siasa ndani ya mamlaka hiyo, niliowahoji kujua imani zao za kiroho ni 123 kati yao 120 ni waamini wa Uislamu na 2 ni waamini wa Ukristu huku watu 1 ni waamini wa imani zingine na hakuna waamini wa Urasta fari.
B. ELIMU
Hapa kwenye sekta ya elimu kwakutumia takwimu za wizara ya Elimu, nilitumia majina ya wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2011-2012 kutambua imani zao japo sio njia aminifu kwa asilimia mia.
Mkoa wa Dar mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 120,032, kati yao 111,231 ni Waislamu, na 8,801 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa!
Mkoa wa Mbeya mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 76,136, kati yao 25,621 ni Waislamu, na 50,515 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa!
Mkoa wa Mwanza mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 100,116, kati yao 23,522 ni Waislamu, na 76,594 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa
Zanzibar mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 89,139, kati yao 89,138 ni Waislamu, na 1 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa
C. AJIRA
Kwamjibu wa takwimu zilizopo Wizara ya Utumishi na ambazo mimi nimetzitumia kama rejea kuu ni kuwa,
Mwezi wa 7 mwaka 2012 Mkoa wa Dar es Salaam ulikuwa na wafanyakazi 876,981, kati yao 492,238 ni Waislamu, wakati 384,700 ni Wakristu na 43 ni wa dini nyinginezo!
Mwezi wa 7 mwaka 2012 Mkoa wa Mwanza ulikuwa na wafanyakazi 226,139, kati yao 114,023 ni Waislamu, wakati 112,116 ni Wakristu na 0 ni wa dini nyinginezo!
Mwezi wa 7 mwaka 2012 Mkoa wa Mbeya ulikuwa na wafanyakazi 199,226, kati yao 99,221 ni Wakrstu, wakati 100,005 ni Waislamu na 0 ni wa dini nyinginezo
Mwezi wa 7 mwaka 2012 Zanzibar ilikuwa na wafanyakazi 113,206, kati yao 113,001 ni Waislam, wakati 205 ni Waikristu na 0 ni wa dini nyinginezo
D. UCHUMI
Katika anga la uchumi nchini nilimulika zaidi idadi ya wafanyabiasha katika miji hiyo kwakutumia takwimu za TRA na BRELA
Mwezi wa kumi nambili Mwaka 2012 jiji la Dar es Salaam pekee lilikuwa na makampuni (Limited) 4737 kwamjibu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni, kati ya hayo utafiti unaonyesha 3826 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Uislamu kwa 100%, wakati 911 yalikuwa yanamilikiwa na Waamini wa Ukristu,
Eneo la Kariakoo ambako kunamkusanyiko mkubwa wa wafanyabiashara na biashara zao kulitoa picha stahiki za utafiti wangu,
Kariakoo na viunga vyake pekee nilitembelea maduka 489,125, kati ya hayo 312,568 yanamilikiwa na waamini wa Uislamu, na maduka 176,500 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Ukristu wakati maduka 57 wamiliki wake ni wa dini nyingine
Mwezi Januari Mwaka 2013 jiji la Mbeya lilikuwa na makampuni (limited) 197 kwamjibu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kati ya hayo utafiti unaonyesha makampuni 102 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Uislamu, wakati makampuni 95 yalikuwa yanamilikiwa na Waamini wa Ukristu.
Jiji la Mwanza lilikuwa na makampuni (limited) 204 kwamjibu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kati ya hayo utafiti unaonyesha makampuni 102 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Uislamu, wakati makampuni 95 yalikuwa yanamilikiwa na Waamini wa Ukristu.
Zanzibar ililikuwa na makampuni (limited) 81 kwamjibu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar, kati ya hayo utafiti unaonyesha makampuni 72 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Uislamu, wakati makampuni 9 yalikuwa yanamilikiwa na Waamini wa Ukristu.
Msomaji unaweza kutumia mang'amuzi yako kujua hoja ya wenye hoja!
Ndugu zangu Watanzania, tuendeshe siasa za kistaarabu kuilinda nchi yetu iliyojengwa kwa jasho na damu, dhana za kufikirika na zenye agenda mtambuka na wakwale zitalipeleka taifa letu pabaya!
Umeamua kurudi kwenye mada eeehhh kule maji marefu baba askofu huyawezi sana sana
mwambie Yericko akimbilie kwa mods mnakasha ufungwe huna lazaidi kakojoe ukalale usingizi unakusumbua!
au kama umekasirika fanyahivi :smash:
Kwa ushahidi upi hebu nionyeshe kwenye Quran hayo mambo yanaruhusiwa uislamu ni hojaMkristu mchawi au gaid hana uhalali ktk Injil, ila muislam mchawi na mganga anaweza kuwa imanu, na gaidi ni mtakatifu..
hahaha,baba mchungaji bana,una maneno kwelikweli,sasa hebu nambie mchungaji nicolaus,ni nini faida ya yest kufa msalabani kama wokovu wake umeshindwa kufanya kazi hadi tena watu wafunge na kuomba.Kwani ni zalima ukufuate?km ni danganya toto mbona unawatoa jasho hivyo?sasa hivi naongea na mwenzenu hapa, analalamika kuwa walokole wanapiga kelele anapata makengeza, anasikia km kuna mdudu anatafuna kichwani...
Nilichopenda...ni kwamba dawa ya waislam ni kama ya CCM ukiouliza dawa utasikia kilio....CDM waliwaambia CCM tuna video..hali ya hewa ikabadilika..hapa kuna mengi tuu humu yakiguswa mnapranganyika.
Wewe kinakuwasha nini, mbona wakristu hawawashi na mila zenu za kuaga maiti za wake zenu kwa kupiga bao, kuchamba na mawe, kukojolewa na majinn..kunja mtoni na baharini ili msichambe etc...?mbona yote hata ni ushenzi tuu ktk karne hii ya kutunza mazingira.
Kamanda naona usingizi umekukamata kweli umekesha JF teh teh teh teh! unataka kukimbia tulia jamvini tukupe dawa.sasa kuna haja gani kuongea na zombie...hamjajibu hoja ya Yericko, mkishajibiwa hamna ujasiri wa ku admiti jibu mmeapata, mnahamia ktk upuuzi mwingine,mkiulizwa maswali mnasepa....sasa si tutakuwa vichaa km nyinyi tukiendela na upuuzi.
kila matu ameshajua shida hapa ni majinn na nature ya umbea ktk uislam..unaoanzia ktk hadith..sijui nani alisema kuwa aliezwa na fulani ambaye alisema alimsikia mtume akimwambia mfuasi wake aliyemletea mavi makavu badal aya jiwe ili achambe.......
Duh..sound kama viumbe wasio binadamu km story ambayo haina aliyeshudia ila yupo tayari toa ushahidi..hat waislam wenyewe imefikia mahali wanawekeana masharti hadihi zipi za kuamini na zipi lah.
Kitabu ambacho hakizuiwi,ni kile kinachotangaza mauwaji,ndio papatikane uokovu?Mtu kateswa na kauliwa,nyinyi mwasema ni uokovu.Quran ndio iliyokuja kusafisha njiaUislam ni harakati haijarishi kama hizo harakati zinakuwa justified na uongo au ukweli, ukipata muda tafuta korani ya kiswahili au kiingereza uisome utajua tatizo sio wao bali kitabu chao. if the book could have translated earlier into other languages then it could have been one of the banned books on the planet.
Kweli wewe ni mjinga mnene yaani wewe unaona kuna la maana ameandika huyo Yericko dah wagalatia bwanasasa kuna haja gani kuongea na zombie...hamjajibu hoja ya Yericko, mkishajibiwa hamna ujasiri wa ku admiti jibu mmeapata, mnahamia ktk upuuzi mwingine,mkiulizwa maswali mnasepa....sasa si tutakuwa vichaa km nyinyi tukiendela na upuuzi.
kila matu ameshajua shida hapa ni majinn na nature ya umbea ktk uislam..unaoanzia ktk hadith..sijui nani alisema kuwa aliezwa na fulani ambaye alisema alimsikia mtume akimwambia mfuasi wake aliyemletea mavi makavu badal aya jiwe ili achambe.......
Duh..sound kama viumbe wasio binadamu km story ambayo haina aliyeshudia ila yupo tayari toa ushahidi..hat waislam wenyewe imefikia mahali wanawekeana masharti hadihi zipi za kuamini na zipi lah.
Nakushauri waambie jamaa zako wakutafutie tiba una matatazo makubwa katika ubongo.Mkristu mchawi au gaid hana uhalali ktk Injil, ila muislam mchawi na mganga anaweza kuwa imanu, na gaidi ni mtakatifu..
Ha ha haa mkuu Ritz umemuona eehhh Yericko habanduki kakaa kimya anamuachia kamanda mwenzakeKamanda naona usingizi umekukamata kweli umekesha JF teh teh teh teh! unataka kukimbia tulia jamvini tukupe dawa.
Kwa hiyo mfumo mzima wa hiyo dini,umesimama juu ya Shetani?Maana bila shetani kulipwa deni lake,hiyo dini isingekuwapo?Wala uokovu usingekuwapo?Mnajichanganya sana.Mtaskip sana:Nimekuuliza Km unataka lipa denu la mtu anayetakiwa wekwa lupango miezi kadhaa na huan hela ya kulipa utalipa nini?Sasa umeshindwa umeamua kuongeza swali lisilo na kichwa wala miguu....waulize waliowekea watu dhamana wakasepa halfu wakakosa cha kulipa..haijalishi wewe ni nani kufidia deni unakwenda kula mvua kwa ajili yake.kamuulize hakimu....huo ndio fumo kristu wa haki......haujalishi nani wala nani.Kama umeingia kulipa denu utalipa.