UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
utafiti wako hauna maana ...yoyote...kwani tuhuma hizi zinalengwa kwa serikali yenyewe hata kama rais na mawaziri wawe ni waislam ..ni mfumo ambao umeshajengwa na kuota msingi ...ni utendaji wake
sio suala la biashara za kariakoo au idadi ya wanasiasa
ni msingi ulijengwa na wakoloni na baada ya uhuru nyerere hakuweza kuuondoa bali aliu zidisha
mfumo huu una athiri utendaji
uajiri aliyepo kuajiri anangalia zaidi dini yake kwani mfumo unamwelekeza yeye afanye hivyo aangalie watu wa dini yake kwanza
hapa hatuangalii uhusiano kati ya watanzania na dini zao bali ni utendaji wa serikali
nenda wizara zote,
kilimo
afya
mawasiliano
fedha nk
huko ajira inatazamwa zaidi dini yako na kabila lako...
hivo mfumo upo serikalini...na imekua ni tabia ya wenye kuendekeza huo mfumo kutumia nafasi zao kupendelea upande wa dini yake
ndio maana taifa limezama kwa umaskini , lipo katika tope la lindi la umaskini kwa vile sifa muhimu ya mtu kuajiriwa serikalini ni dini yake.....leo tumeua mashirika yote kabla ya ujamaa kufa
ATC
RELI
RTC
USHIRIKA
VIWANDA VYA KAHAWA, KOROSHO, PAMBA,PARETO BANKI ZA
NBC
CRDB YA KWANZA
THB
NIC
BANDARI
NA MEMGINEYO YALIKUFA KUTOKANA NA UBADHIRIFU MKUBWA LAKINI MFUMO ULILINDA WATENDAJI WALOHUSIKA...
NA PALE TAASISI IKIONGOZWA NA MTU AMABYE HAFUATI MASHARTI YA MMFUMO BASI HUANDAMWA

SASA HAYA MATUSI , UISLAM HIVI NA VILE HAUSADIII KUONDOA TATIZO LILILOPO
NA TUHUMA HIZI NI NZITO NA WANATUHUMIWA NI SERIKALI NA WATENDAJI WAKE...LAKINI SERIKALI IMEKAA KIMYA ,..KUASHIRIA NI KWELI YANAYO FANYIKA. MAKANISA HAYAJA TUHUMIWA MOJA KWA MOJA...NA WAO KUKANUSHA KUWA HAKUNA MFUMO SIO SAHIHI ..WAPASAO KUJIBU NA KUFAFANUA NI SERIKALI YENYEWE NA KUPITIA MAWAZIRI WAKE NA WAKUU WAKE WA IDARA TOFAUTI NA SIO MAPADRE

HUMU KUNA WATU KAZI YAO NI MATUSI..KUTUKANA NDIO JADI YAO...Y.NYERERE AMELETA MADA HII NADAHANI KWA NIA NJEMA NA SIO WATU KUTUKANA NA KUDHARAU....
KITU KIMOJA LAZIMA WALE WANAOTUKANA WAISLAM WATAMBUE..FUJO ZOZOTE ZILE ZIKITOKEA NA IKALAZIMU HAO MABWANA ZENU WAZUNGU KUINGILIA USIZANI WATAKUJA KAMA WAKRISTO ..HAPA WATAKUAJA KUTUTTWANGA BILA YA KUJALI DINI YAKO YA UKRISTO...WAO WANAJALI ZAIDI MASLAHI YAO..MUUNGU KWAO NI KAMA FOLITI TU....
KULE IRAQ WAKATI WA SADAM KULIKUWA NA WAKRISTO HURU KABISA ZAIDI YA MILION MOJA SASA HATA ELFU MBILI HAWAFIKI......NA HAWA WAZUNGU WALIWAPIGA WAIRAQ ..BILA YA KUJALI HUYU NI NANI
NA SASA HIVI PALE SYRIA KIJIJI KIZIMA CHA WAKRISTO KIMEZUNGUKWA NA AL QAEEDA NA HAO WAZUNGU HATA PRESSA HAWANA..KWAO MASLAHI YAO NI ASSAD AONDOKE HATA AKIONDOKA NA ROHO ZA NANI

HIVO NIMELETA MIFANO HII ....MUACHE UJINGA WA KUTUKANA NA KULETA DHARAU KWA KILA JAMBO LA MAANA LINALETWA KWA WANA FORUM KUJADILI .....
 
sasa kuusu suala la kodi kwa taarifa yako wanatoa kodi kwa wingi ni waislam lakin pindi inapo kuja mgawanyo wa kodi wakristo ndo wananufaika kwa mfano sekikali kupitia mkataba wa "memorandum of understsnding" MoU serikali hutoa mabilioni na kuyapa makanisa ili yajiendeleze ktk huduma za kijamii lakini serikali hiyohiyo haitoi hata 1000000 kuzipa taasisi za kiislam alafu ww unasema eti kodi inawanufaisha waislam kivip
askofu.jpg

lakin waislam kwakuwa na subira ktk mas'ala kama haya ndo unaona amani inakuwepo lakin pindi ambapo waislam wataamua kuutoa mfumo kristo kwa mkono wake basi hapo ndipo utapojua athari a mfumo kristo na mwisho wa yote waanzilishi na wale wanaonufaika na mfumo huo hapa duniani waendapo akhera watakutana na kitu hiki hapa
1173632_509260915821689_830206127_n.jpg
 
kwanza wanasema kafa msalabani na hivyo kawaokoa wafuasi wake kwa kubeba dhambi zao.

Sasa kama dhambi kachukua yesu wanakwenda kanisani kufanya nini wakati yesu ameshawakomboa?

Teh teh teh teh!
Wanaenda kusamehewa na mchungwaji kwa mara ya pili!!
 
Ndugu yangu Ritz hebu twende hatua kwa hatua,
Tanzania haiwezi kuwa ya kidini kwa madai yasiyo na msingi kama eti ijiunge na OIC kwakuwa ina mashirikiano na Vatican,

Kuna mambo yamsingi lazima tuyajue kama Watanzania,

(1)Taarifa za kuaminika nikuwa M.o.U kati ya Serikali na kanisa iliandaliwa/ilitayarishwa na aliyekuwa Balozi wa Tanzania
nchini Italy,Prof.Mahalu.

(2)Serikali ya Ujerumani inayoongozwa na Christian Democratic Union ndiyo inayotoa HELA na ndio iliyosaidia makanisa kuingia
makubaliano na serikali ya Tanzania isiyochanganya dini na siasa, Serikali ilisaini MoU kama SHAHIDI tu.

(3)Serikali yetu ina Ofisi ya Ubalozi -Roma -Mtaa wa Viale Cortina d'Ampezzo,18

Ina ubalozi mdogo mjini hapo hapo Roma-Mtaa wa Via Cesare,Beccaria 88
na ina ubalozi mdogo mjini Milan-mtaa wa Via Santa Sofia 12.

(4)Uwepo wa Balozi hizi unakidhi uwepo wa Serikali ya Italy,Holy See na Vatican City State

(5)Nchini tuna Ubalozi wa Holy See na Italy.Huyu balozi wa Holy See ndiye mratibu wa shughuli zote za
kanisa katoliki nchini na ndiye mwakilishi wa Papa.

Ritz na wenzio kunachochote hamjakielewa?

Niulizeni chochote!
Mimi naomba nikuulize swali moja hivi Tanzania ikijiunga na OIC nini athari utakaoipata
wewe rastafari nyuma ya pazia la ukristo au ni chuki tu zimejaa mioyono mwenu?
 
Chifu, tujadili katika hali ya uwazi na ukweli. Hiyo Marko 10: 34-35 haisemi hivyo ulivyoandika.

Inasema:

"Nao watamdhihaki, watamtemea mate, watampiga mijeledi na kumwua, na baada ya siku tatu atafufuka". Hapo Yakobo na Yohane, wana wawili wa Zebedayo, walimwendea wakamwambia, Mwalimu, twataka utufanyie tutakachokuomba".

Jaribu tena.

hebu cheki hapa.
http://www.fchj.com/the-savior.asp
 
Kwakweli wameniangusha sana hawa ndugu, nilitegemea kupata chalenji sana kufutia utafiti huu,

Badala yake wamebaki kulia lia tu nakuniacha mie nimetulia tu nawacheka tu wakipandisha mashetani yao
Hivi Yericko mimi naona una ugonjwa unaoitwa"AMNESIA" wewe si ulikuwa unamsapoti kamanda mwenzako
na kumpa kichwa wakati anamwaga injili unafiki unakusaidia nini dogo shetani analo Nicholas sisi ukitoka nje
ya mada na sisi tunatoka hivyo hivyo tutafika tu.
 
Hawa wanaojiita wakristo wanajidanganya kwasababu hawafuati mandiko yote yesu alikuwa anatawazzza anapokwenda kusali lakini hawa wanakwenda na uchafu mkojo mavi, hawana usafi kiujumla ndiyo maana wanahalalisha ndoa za mashoga,wachungaji wanawakekazi yao kubwa kuuza unga na mabinti huko ulaya,yaani ukristo ni dini ya kutungatunga tu hina mashiko wala hoja zzinazojitosheleza bila dola hakuna ukristo,
 
Haha..kwani ningemuuliza kwanini Allah siku zote mipango yake ya kivit anyie ndio humpigania, kwanini muhamad nyie ndio humswalia na si yeye kuwaswalia nyie, kwanini mnakufa kwa ajili ya uislam na si uislam na muhamad kufa kwa ajili yenu?

Lini mtu kabema punda na si punda kumbeba yeye?Lini mtu akamswalia Mtu na si mtume kumswalia muumini....nani mtume wa mwenzie?

Haya ndio.matatizo ya akili.kuambiwa!!
We unaenda kwenye parokia kwa nia ya kuabudu!
Halafu unaambiwa fungua wakolosai 4!
Unafungua..!
Unaambiwa haya soma..!
Unasoma kuwa na bwana mungu akamtoa mwana wake wa peke, ili kulipa deni la dhambi!..!na kwa kafara hio viumbe woote wakasamehewa..!
Unaambiwa funga kitabu tuombe!!
Unafunga..
Halafu mnafunga macho. Mnachangishwa hela..!
Mnaambiwa haya mbarikiwe. Mnarudi nyumbani mkijisifu kuwa ..Duh ibada ya leo kiboko!
YAANI HATA KUJIULIZA ,

JE! HUYU MUNGU ALIKUWA HANA UWEZO WA KUSAMEHE DHAMBI BILA KUMUUA MWANAE?

KAMA KWELI HUYU NDIE YULE MUNGU ALIYEUMBA KILA KITU NA MWENYE MADARAKA YOTE. KWA NINI ASIMWAMBIE MWANAE KUWA BASI MIMI KWA NGUVU ZANGU NA UWEZO WANGU NAWASAMEHE WEWE NA WATU WOTE NA HAKUNA ATAKAE KUFA LEO!!

NA JE! KAMA KWELI WEWE UMESAMEHEWA DHAMBI ZOTE. YA NINI KWENDA KANISANI KILA MARA. TENA UNAKWENDA KUOMBA MSAMAHA??
Tatizo ni kuwa nyie mkiuliza mnaambiwa mna MAPEPO!
SASA MTABAKI AKILI KUAMBIWA MPAKA MWISHO WA DUNIA!
Maskini nawaonea huruma sana!!🙁🙁
 
Utafiti hauwezi kufungwa, utabaki wazi kwa kila mtu kusema akijuacho!

Huu ni utafiti sio vinginevyo!

Kwa miaka 50 sasa mmekuwa mkipiga kelele kuwa Tz ni yamfumo kristu, lakini hamsemi upo wapi na unafanyaje kazi,

Leteni utafiti unaoshihirisha madai yenu!

Huu sio utafiti!
Hizi ni pumba ambazo umekaa chumbani ukazibuni tu! Na bahati mbaya ubunifu wako afadhali hata mtoto wa kidato cha kwanza!!

Halafu waswahili wanasema.." ukitaka kuwa muongo usisahau neno."

Halafu hata hesabu hujui!!

Hio ripoti uharo iko miguu juu kichwa pembeni!!

Safari hii umeumbuka vibaya mgalatia!
 
nilikua naongelea kabla hajafa ,kuna mahali nilisoma mary magdalena ndie aliempaka mafuta,ntaitafuta ili kuona kama niko sawa.

Mahala gani? Kwenye Biblia Takatifu?
Nimekuomba ulete mstari wenye kusema hivyo.

Mfano king david alikua na hadhi kweli ya kupakwa mafuta na bwana.
King david alikua mzinzi,alimua ur ili aweze kujitwalia mke wake.

Habari ya Mfalme Daudi, Bathsheba na Uria, inapatikana katika kitabu cha pili cha Samueli 11: 1-27 na 12: 1-25.

Nitakueleza kwa ufupi: Daudi ni kweli alipanga njama za Uria kuuliwa ili hasifahamu juu ya uzinzi wake na mke wa Uria, aliyeitwa Bathsheba, uzinzi uliopelekea ujauzito. Kitendo hicho kilimchukiza Mungu kiasi cha Mungu kumtuma nabii Nathani kumwelezea adhabu ambayo Mungu atampa Daudi kwa dhambi yake.

Mungu kupitia Nabii Nathani anamwambia Daudi kwamba kwa sababu ya kufanya mabaya machoni mwa Bwana, upanga hautaondoka nyumbani mwa Daudi. Na Bwana atamletea maovu nyumbani mwake kutoka katika nyumba yake. "Nitawachukua wake zako mbele ya macho yako na kumpa jirani yako. Naye atalala nao katika mwanga wa jua la mchana. Wewe umelitenda jambo hili katika siri, walakini mimi nitalifanya mbele ya Israeli yote, na mbele ya jua."

Pia Bwana Mungu alimpa adhabu nyingine Daudi ya kifo cha mtoto aliyetarajiwa kuzaliwa na Bathsheba. Hayo pia Daudi aliambiwa na Nabii Nathani. Adhabu hiyo alipewa hata baada ya kutubu dhambi yake kwa Mungu. Alipewa adhabu hiyo kutokana na dharau aliyomwonyesha Bwana.

Mtoto alizaliwa, ila aliumwa sana. Daudi alifunga na kukesha akisali na kumwomba Bwana kwa ajili ya mtoto. Lakini siku ya 7 mtoto akafa.

Lakini kwa sababu Bwana Yu Mwema, aliwajalia Daudi na Bathsheba mtoto mwingine aliyeitwa Sulemani, ambaye Bwana alimpenda.
 
Ndugu yangu Ritz hebu twende hatua kwa hatua,
Tanzania haiwezi kuwa ya kidini kwa madai yasiyo na msingi kama eti ijiunge na OIC kwakuwa ina mashirikiano na Vatican,

Kuna mambo yamsingi lazima tuyajue kama Watanzania,

(1)Taarifa za kuaminika nikuwa M.o.U kati ya Serikali na kanisa iliandaliwa/ilitayarishwa na aliyekuwa Balozi wa Tanzania
nchini Italy,Prof.Mahalu.

(2)Serikali ya Ujerumani inayoongozwa na Christian Democratic Union ndiyo inayotoa HELA na ndio iliyosaidia makanisa kuingia
makubaliano na serikali ya Tanzania isiyochanganya dini na siasa, Serikali ilisaini MoU kama SHAHIDI tu.

(3)Serikali yetu ina Ofisi ya Ubalozi -Roma -Mtaa wa Viale Cortina d'Ampezzo,18

Ina ubalozi mdogo mjini hapo hapo Roma-Mtaa wa Via Cesare,Beccaria 88
na ina ubalozi mdogo mjini Milan-mtaa wa Via Santa Sofia 12.

(4)Uwepo wa Balozi hizi unakidhi uwepo wa Serikali ya Italy,Holy See na Vatican City State

(5)Nchini tuna Ubalozi wa Holy See na Italy.Huyu balozi wa Holy See ndiye mratibu wa shughuli zote za
kanisa katoliki nchini na ndiye mwakilishi wa Papa.

Ritz na wenzio kunachochote hamjakielewa?

Niulizeni chochote!
Mbona unakurupuka nani kakuuliza habari za OIC na Vatican?

Mimi sipo huko.

Tukifika uko takuambia.
 
Yericko Nyerere anaonekana ameanzisha uzi huu kwa nia nzuri, kwa fact nzuri, na kwa namna bora kabisa. Katika bango lake; hakuna mahali alipoidhalilisha wala kuichafua wala kuwatukana watu wa dini yeyote. Hata hivyo kwa jinsi mjadala unavyoendelea, naona kuna watu washaubadilisha na kuufanya ni wakuchafuliana dini na kutukanana na kwa kiasi unaanza kupoteza muelekeo. Sioni kama ipo sababu ya mtu Kumchafua Mtume katika uzi huu, sioni kama ipo sababu ya mtu kumchafua yesu katika uzi huu, sioni kama ipo sababu ya kuwachafua waislam au wakristo katika uzi huu.Wakati fulani tujaribuni kutumia busara za kawaida tu.Ambao mnachafuana humu mnajijua.Ni bora mkiacha. Hakuna mtu anayefurahishwa na mnachokifanya humu hata mmoja.Ni bora mkatoa michango yenu kistaarabu kama uzi wenyewe ulivyo.
 
Last edited by a moderator:
hebu cheki hapa.
http://www.fchj.com/the-savior.asp

Husiwe mbishi chifu; hiyo sura haina maneno hayo. Mimi nasoma Biblia Takatifu; situmii maneno ya kuandikwa kwenye mitandao.

Soma tena hiyo Marko 10:34-35, kisha urudi.
 
Husiwe mbishi chifu; hiyo sura haina maneno hayo. Mimi nasoma Biblia Takatifu; situmii maneno ya kuandikwa kwenye mitandao.

Soma tena hiyo Marko 10:34-35, kisha urudi.
Nadhani dizaini hii ya malumbano ambayo mmeanza kuyafanya; mwishowe mtaanza kutukanana na mwishowe mtakula ban! au uzi utafungiwa. Ni bora tukajikita kwenye mantiki ya uzi wenyewe.Wakati fulani ukiona mtu anakupeleka kwenye sehemu itakayoleta shida; usikubali kwenda.
 
Chifu, tujadili katika hali ya uwazi na ukweli. Hiyo Marko 10: 34-35 haisemi hivyo ulivyoandika.

Inasema:

"Nao watamdhihaki, watamtemea mate, watampiga mijeledi na kumwua, na baada ya siku tatu atafufuka". Hapo Yakobo na Yohane, wana wawili wa Zebedayo, walimwendea wakamwambia, Mwalimu, twataka utufanyie tutakachokuomba".

Jaribu tena.

Na wewe kwa akili yako unakubali kabisaaa! Kuwa mungu (THE GOD ALMIGHTY) akubali kutemewa. Kudhihakiwa. Kupigwa mijeledi na kuuwawa na viumbe aliowaumba mwenyewe?????
Huyu mungu kweli anahitaji mpambe wa karibu amuelekeze namna ya kuutumia uungu wake!
 
hahaha,baba mchungaji bana,una maneno kwelikweli,sasa hebu nambie mchungaji nicolaus,ni nini faida ya Yesu kufa msalabani kama wokovu wake umeshindwa kufanya kazi hadi tena watu wafunge na kuomba.

Huo wokovu umesaidia nini hasa?

Yesu Kristo alitambua kuna watu watakuwa wabishi na wasioamini katika Kristo. Yeye alikufa msalabani na kuwaokoa wale waliomwamini Kristo kama Masiha. Kwa hiyo waliomwamini, waliokolewa, na ndiyo walio watakatifu na wamekiti kwa Baba; wakituombea mimi, wewe na yule.

Ili uweze kuwa mfuasi wa Kristo na mwamini wake sasa unapaswa utubu dhambi zako na kumkiri Yeye kuwa ndiye Kristo aliye NJIA, UKWELI na UZIMA. Hayo yanafanyika kwa njia za sala, toba na kufunga.
 
Mahala gani? Kwenye Biblia Takatifu?
Nimekuomba ulete mstari wenye kusema hivyo.

Habari ya Mfalme Daudi, Bathsheba na Uria, inapatikana katika kitabu cha pili cha Samueli 11: 1-27 na 12: 1-25.

Nitakueleza kwa ufupi: Daudi ni kweli alipanga njama za Uria kuuliwa ili hasifahamu juu ya uzinzi wake na mke wa Uria, aliyeitwa Bathsheba, uzinzi uliopelekea ujauzito. Kitendo hicho kilimchukiza Mungu kiasi cha Mungu kumtuma nabii Nathani kumwelezea adhabu ambayo Mungu atampa Daudi kwa dhambi yake.

Mungu kupitia Nabii Nathani anamwambia Daudi kwamba kwa sababu ya kufanya mabaya machoni mwa Bwana, upanga hautaondoka nyumbani mwa Daudi. Na Bwana atamletea maovu nyumbani mwake kutoka katika nyumba yake. "Nitawachukua wake zako mbele ya macho yako na kumpa jirani yako. Naye atalala nao katika mwanga wa jua la mchana. Wewe umelitenda jambo hili katika siri, walakini mimi nitalifanya mbele ya Israeli yote, na mbele ya jua."

Pia Bwana Mungu alimpa adhabu nyingine Daudi ya kifo cha mtoto aliyetarajiwa kuzaliwa na Bathsheba. Hayo pia Daudi aliambiwa na Nabii Nathani. Adhabu hiyo alipewa hata baada ya kutubu dhambi yake kwa Mungu. Alipewa adhabu hiyo kutokana na dharau aliyomwonyesha Bwana.

Mtoto alizaliwa, ila aliumwa sana. Daudi alifunga na kukesha akisali na kumwomba Bwana kwa ajili ya mtoto. Lakini siku ya 7 mtoto akafa.

Lakini kwa sababu Bwana Yu Mwema, aliwajalia Daudi na Bathsheba mtoto mwingine aliyeitwa Sulemani, ambaye Bwana alimpenda.
nilichotaka kusema ni kuwa kumbe wapakwa mafuta walikua ni wengi,ilikua ni desturi ya wayahudi.

Yesu alipakwa mafuta akiwa na wanafunzi wake wakijiandaa kwa chakula.katika nyumba ya akina martha na mary .mary ndo mwanamke aliekua interested sana na yesu hadi alimwachia martha kazi zote yeye akawa anapiga story na yesu mpaka martha akamlalamikia yesu kwamba amwache mary amsaidie kazi.
 
Na wewe kwa akili yako unakubali kabisaaa! Kuwa mungu (THE GOD ALMIGHTY) akubali kutemewa. Kudhihakiwa. Kupigwa mijeledi na kuuwawa na viumbe aliowaumba mwenyewe?????
Huyu mungu kweli anahitaji mpambe wa karibu amuelekeze namna ya kuutumia uungu wake!

Yaliandikwa na yalipaswa kutimizwa.
 
Mimi naomba nikuulize swali moja hivi Tanzania ikijiunga na OIC nini athari utakaoipata
wewe rastafari nyuma ya pazia la ukristo au ni chuki tu zimejaa mioyono mwenu?

Nashukuru sana kwa swali lako!

Najibu kama ifuatavyo:

1) Kwakuwa tumekubaliana kuwa Tanzania sio nchi ya mfumo wa KIDINI,

A. Katiba yetu imesimamia vema matakwa yetu kama taifa,

B. Taasisi zote za kidini zinayo ruhusa ya kufanya kazi nchini kwa manufaa ya waamini wake bila kuathiri katiba wala kuvunja miiko yetu kama taifa,

C. OIC kama zilivyo taasi zingine za kiroho duniani, iendelee kufanya shughuli zake nchini na kuwashirikisha waamini wake bila kuvunja katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na miiko na tamaduni zetu wa Tanzania.

D. Serikali iepuke kuingilia/kushiri shughuli za Waislamu wa Tanzania hasa katika kujiunga "kwao" na OIC na mashirika mengine yenye malengo kama hayo.

E. Serikali iache waislamu wenyewe wajiunge na jumuia hizo na isingilie uhuru wao wakuabudu kama unavyotambuliwa na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Sasa:

Kwakufanya hayo serikali itakuwa imelinda na kuheshimu haki za watu wake katika kuabudi kwao, vivyo hivyo hakutakuwa na lawama za waamini wowote kwa madai ya kukandamizwa dini yao!
 
nilichotaka kusema ni kuwa kumbe wapakwa mafuta walikua ni wengi,ilikua ni desturi ya wayahudi.

Yesu alipakwa mafuta akiwa na wanafunzi wake wakijiandaa kwa chakula.katika nyumba ya akina martha na mary .mary ndo mwanamke aliekua interested sana na yesu hadi alimwachia martha kazi zote yeye akawa anapiga story na yesu mpaka martha akamlalamikia yesu kwamba amwache mary amsaidie kazi.

Kristo Yesu aliyejifanya Mwanadamu ili neno litimie, alikuwa mpakwa mafuta kabla na baada na hata milele. Hakuhitaji kupakwa mafuta na mwanadamu yeyote ili neno litimie.

Nafikiri ungekuwa mtu wa kuelewa na unayetaka kujifunza, ungekuwa umeshaelewa. Lakini kwa sababu unaleta kejeli sasa, kwa heri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom