Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Nimecheka sana kusoma kuwa kariakoo kuna madukani 489,125 fanya kila duka lina wafanyakazi 3, kariakoo peke yake tumepata ajira za watu 1,467,375.
Wewe tena unasema Dar es Salaam kuna ajira 876,981 kwa hiyo kariakoo peke yake imezidi ajira za serikali Dar es Salaam.
Cha kuchekesha unasema utafiti wako umeufanya 2011 lakini unaweka data za 2012.