UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Maswali ya kitoto uliyoshindwa kuyajibu!!!!!
Unachekesha wewe!



Ni wapi niliposema mimi ni myahudi?

Unasema nakuchekesha lkn kucheka hucheki!!

Kwa kukataa kwako uyahudi umejitoa katika UKRISTO!

YESU ANASEMA!

"Mimi nawaambieni, ya kwamba ninyi mlionifuata katika zamani za kuzaliwa upya atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake ninyi nanyi mtaketi katika viti thenashara. Mkiwahukumu kabila thenashara za Israeli (Matt. 28:19).

‘Tena, "Sikupelekwa ila kwa kondoo zilizopotea za nyumba ya Israeli (Matt. l5:24).

"Tena, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa (Matt. 15:26)

"Sio haya tu bali pia tunasoma, "Hawa thenashara Yesu aliwatuma akawaagiza, akinena, katika njia ya mataifa msiende wala miji mwa Wasamaria msiingie; Afadhali shikeni njia kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli (Matt. 105-6)""

Wewe kwa sababu ni msukuma basi ni kweli huwezi kuingia katika kundi la wanakondoo wa nyumba ya israeli!

SASA KUMBE KELELE ZOOOOOOTE!
WE UNAJIPENDEKEZA TU! MI NILIDHANI NA WEWE NI MUISRAELI!
BORA LEO UMEKATAA MWENYEWE!

cc Tayeb Ritz Kikwajuni one
 
Last edited by a moderator:

Hii mipini itaua parokia yake huyu Eiyer na wenzake!
Unajua hizi bendera zinazofata upepo!
Siku upepo ukikatika ni balaa!
Teh teh teh teh!
Haleluyah mwanakondoo Nicholas !!
 
Last edited by a moderator:
Huyu hapa kazi ni kibarua wa kupiga zege naye anajiita mtafiti, teh teh teh...



Yericko Nyerere,




Hapa yupo mzigoni baada ya kufanya utafiti wake feki!!

Teh teh teh teh! Kwi kwi kwi kwi!
Haki ya nani nimecheka saana hapa mkuu!
Yaani huyu Yericko Nyerere ni balaa!

Utafiti my foot!😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Last edited by a moderator:
Tuwaache waseme mpaka nyongo ziwatoke mwisho watakosa chakuongea na watarejea kwenye mada husika,

Mada ipo inasubiri challenge zao

Challenge ipi we mpiga ripu!?

Leta mada ya maana upewe challenge!
Unatuandikia utumbo hapa halafu unauita MADA!?
teh teh teh teh!
Angalia na hiyo zege unayochanganya usiite ugali tu!
 
Hahahaha wanadamu mnanifurahisha sana nilichokiona hapa watu wasiojua dini zao na wenye upeo mdogo wa dini wanalumbana kama wanavyolumbana wakiwa baa au wakiwa vijiweni .mtu ambaye anaijua dini vizuri hawezi kuwa anaropoka kama baadhi ya watu wanavyofanya hawezi kamwe kukashifu dini ya mwenzake lazima uwe tofauti na watu wa duniani.dini ya mtu siyo itakayo muokoa kitakacho muokoa ni matendo jiulize haya matendo yako unayoyafanya kila siku yanamfurahisha muumba wako kama hapana chukua hatua kukashifu dini za wenzako haitakusaidia kama MUNGU angekuwa wa dini moja basi watu wengine tusingekuwa hai leo angeshatufutilia mbali.sasa najiuliza sasa kwa mfano mtu sina dini afu naona watu wenye dini ndo wanatukanana sasa ninatofauti gani nao.nawatakia maisha mema na mungu awabariki.kumbuka kumuakisi muumba wako kupitia matendo yako na maongezi yako
 
Hii mipini itaua parokia yake huyu Eiyer na wenzake!
Unajua hizi bendera zinazofata upepo!
Siku upepo ukikatika ni balaa!
Teh teh teh teh!
Haleluyah mwanakondoo Nicholas !!
Mkuu mbokaleo,

Hii mipini kiduchu niliotupia imewakimbiza ngoja tumsubiri Nicholas, bado kalala si unajua tembo anavyolala ukijumlisha na haya mambo basi balaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ritz mbona kila siku unaweka picha hizo hizo tu?

Unawanyima mashabiki wako uhondo kijana,

Waambie wakaziangalie kule fb (Yericko Nyerere)
 

Jibu lako hili hapa chini!

 
Mkuu mbokaleo,

Hii mipini kiduchu niliotupia imewakimbiza ngoja tumsubiri Nicholas, bado kalala si unajua tembo anavyolala ukijumlisha na haya mambo basi balaaa!!!!

he tehe teh teh teh uuwiiii! wewe mkuu Ritz unataka mi niharibu udhu sasa !!:help: kwi kwi kwi kwi! mi nilijua jamaa anakunywa mbege tu! kumbe na vipakti yumo!! kudadeki! teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere,


Anajifanya rasta wakati ni Mkiristo safi hapa yupo Kanisani.

Hapa umekosea, katika picha hizo mimi sipo,

Hapo wa kwanza kulia ni mchungaji Dadas wa FDP, wa katika mchungaji Paul John wa FDP, na wamwisho kusho ni mmoja ya waumini wa kanisa hilo,

Anaetaka kuona picha zangu atemelee ukurasa wangu wa facebook>Yericko Nyerere
 
Na huyu.
 
Jibu lako hili hapa chini!

hilo sio jibu wewe mparokia!! ULIMWENGU WOTE UNATAMBUA KUWA MAKAO MAKUU YA UKRISTO NI ROME!! LEO UNAJITIA KICHAA KUJIFANYA HUJUI?? yaani kukiwa na soo mnapakataa! akija yule jamaa na kibalagashia chake, mnaanguka na kumbusu miguu! yaani nyie ni watu sura mbili sana! hamfai ktk jamii!
 

wewe sisi tunakujua sana! usijifanye kukataa sura yako!!
hapo kwenye facebook umenona tu kidogo kwa hizo ruzuku za madhabahu! teh teh teh!!

na hapa ndio juzi tu bado mpiga plasta!

umeulizwa na mkuu Ritz kuwa wewe unadai kuwa ni rastafari, kwenye makanisa unatafuta nini?? au ulikuwa umeendea ule mshahara wa kutuandikia ripoti yako feki?!

Toa jibu acha longalonga!
 
Last edited by a moderator:
Jesus said,i have come to set the earth on fire and how i wish it was already blazing.how great is my anguish untill it is accomplished.LUKE 12:49.
Did jesus christ prove to be an evil making evil/murderous statement?.
Should jesus be arrested and put in Gtmo,waterboarded/tortured and held without charge for inciting terrorism?.
Mathew10:34-36,jesus say..i come not to bring peace but SWORD,I came to set man agaisnt father,daughter agaisnt mother and ones enemies would be those of his household.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…