UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Unajua maana ya kanisa wewe au unazungumza vitu usivyovijua?

Mh!!!!!
Wewe umetumia kipimo gani kujua kama mimi naweza kufanya huu utumbo?

Mwenye mamlaka ya kusamehe dhambi zangu na zako ni Yesu Krosto pekee!!!!!!

Wacha kuniuliza maswali ya kitoto wewe!
Unajifanya eti ya wewe myahudi!!

Myahudi anafanana hivyo??
Manake hata wale mafalasha wa ethiopia wana pua kidogo ina afadhali!
We hebu jitazame kwenye kioo halafu uone kama utaona myahudi hapo!

Teh teh teh teh!

Myahudi anaongea kiskuma!
 
k
WANZA NIKUPONGEZE KWA UTAFITI WAKO PENGINE TUNAWEZA KUPATA PA KUANZIA LAKINI KUNA MAKOSA MADOGO MADOGO KWENYE UANDISHI WAKO KAMA NILIVYOAANISHA HAPO JUU..
KINGINE NINGEPENDA UTAFITI WAKO UINGIE KWA WAKUU WA WILAYA, MKOA, RCO, RPC,MAWAZIRI,MAJAJI, MAKATIBU...

nafikiri utakua umelenga katika ngazi za maamuz zaidi ndugu yangu ila all in all huyu ndugu yetu lazima apongezwe kwa kazi nzuri aliyoifanya, iwe fundisho kwetu sisi vijana wengine kama hatujashirikishwa ni muhimu kujishirikisha wenyewe kama alivyofanya huyu ndugu yetu.
 
Kama sina lolote ni kitu gani kimekufanya ukaniquote?

Mpiasho ni kitu gani?
Ni quote gani nimekata?

Huwa unanisaidia kufikiri?
Na umetumia kipimo gani kujua hayo?

Povu la nini yakhe?
Nimefuata maono ya nani?

Mkuu hawa ndugu zetu hawana hali, wamejitahidi kila kona wamefeli,
 
Luka 5 :24 ;
“ Lakini, mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (alimwambia yule mwenye kupooza). Nakuambia, Ondoka, ujitwike kitanda chako, ukaende zako nyumbani kwako. ”
9asamehe duniani,hata binadamu yoyote wanasameheana duniani,lakini siyo dhambi za mbinguni.Utakazofanya ukose uzima wa milele.
 
Luka 5 :24 ;
“ Lakini, mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (alimwambia yule mwenye kupooza). Nakuambia, Ondoka, ujitwike kitanda chako, ukaende zako nyumbani kwako. ”

Mkiambiwa nyie ni vilaza mnatoka povu,haya angalia ulivyoumbuka!!!!!!!!!
soma mathew 19:16-18.''mwalimu mwema nifanye nini ili nipate kuokoka.

Yesu,'unamwita nani mwema,hakuna iliye mwema ila mmoja tu,mungu.
Ndo kusema hata yesu sio mwena.
 
mbokaleo, ndugu yangu huyo jamaa huwa ana analolifahamu zaidi ya kukata kata mabandiko na kuyajibu kitoto.

Huwa anatokwa na povu nakushangilia upuuzi naye ubongo wake ni 0.10g.

Teh teh teh teh! Mkuu wangu Ritz unanivunja mbavu na uzito wa hizo bongo zao!
Yaani kila nikifikiri 0.10g naona kama panya kapita sasa hivi!
Kwi kwi kwi kwi!

Wanaitwa akili kuambiwa!
Hata andiko limeshasema!

Proverbs 29:20-27

There is more hope for a fool than for someone who speaks without thinking.

Hili andiko linawachapa wote. Kina Yericko Nyerere Nicholas Eiyer na waparokia woote wanaoropoka bila andiko!
 
Last edited by a moderator:
Wacha kuniuliza maswali ya kitoto wewe!

Maswali ya kitoto uliyoshindwa kuyajibu!!!!!
Unachekesha wewe!

Unajifanya eti ya wewe myahudi!!

Myahudi anafanana hivyo??
Manake hata wale mafalasha wa ethiopia wana pua kidogo ina afadhali!
We hebu jitazame kwenye kioo halafu uone kama utaona myahudi hapo!

Teh teh teh teh!

Myahudi anaongea kiskuma!

Ni wapi niliposema mimi ni myahudi?
Ndio maana ninasema hapa kila siku kuwa dini yenu inaenezwa kwa njia kuu 2
1:Uongo
2:Ugaidi

Wewe na wenzako mko kwenye uongo mkishindwa mnaenda kwenye ugaidi
Na ole wenu mjaribu ugaidi tutatumia hii:laser: kuwashikisha adabu!
 
soma mathew 19:16-18.''mwalimu mwema nifanye nini ili nipate kuokoka.

Yesu,'unamwita nani mwema,hakuna iliye mwema ila mmoja tu,mungu.
Ndo kusema hata yesu sio mwena.

Hoja yako ya mwanzo umeona haina mashiko umeamua kukurupukia kitu kingine

Hayo maneno ya Yesu ni ya kwenye biblia iliyochakachuliwa au?
 
Kama sina lolote ni kitu gani kimekufanya ukaniquote?

Mpiasho ni kitu gani?
Ni quote gani nimekata?

Huwa unanisaidia kufikiri?
Na umetumia kipimo gani kujua hayo?

Povu la nini yakhe?
Nimefuata maono ya nani?

We mwanawane! Nakutola gete gete!
Yaani wewe ni makoye munno!

Yani maakili sijuwi umeyapelekaga likkizzo.

Mhhhh! Onene mwanamayo! Nasatta muno!
Mi nilikuwa nadhani uatona haya kidogo kutoa mapovu ovyo lkn du!
Kweli asiye na haya hajui vibaya!!
 
maana yake anayo maxi shimba in disguise as eiyer

Teh teh teh teh! Mkuu wangu Ritz unanivunja mbavu na uzito wa hizo bongo zao!
Yaani kila nikifikiri 0.10g naona kama panya kapita sasa hivi!
Kwi kwi kwi kwi!

Wanaitwa akili kuambiwa!
Hata andiko limeshasema!

Proverbs 29:20-27

There is more hope for a fool than for someone who speaks without thinking.

Hili andiko linawachapa wote. Kina Yericko Nyerere Nicholas Eiyer na waparokia woote wanaoropoka bila andiko!

Hizi ndizo akili za wafuasi wa mwamedi!
Ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
 
Kuonyesha jinsi asivyo mwema.
Yesu alihimiza watu kuwaheshimu wazazi wake.mathew 19:19.
Lakini yeye mwenyewe alifanya kinyume.john 2:4,yesu alimjibu mamake mzazi,''WEWE MWANAMKE NINA NINI MIMI NAWE''.
This is eguivalent to huu msemo,''AACHANA NA MIMI WE MWANAMKE''.
Sijui ni kinywaji kilimzidi ama vipi maana yesu pia alifahamika kwa unywaji.mathew11:19.
Siku moja nduguze na mamake walimfata yesu wakamsalimie,wanafunzi wake wakamwambia,''mwalimu mamako na nduguzo wapo hapo nje wanataka kukusalimia,yesu akajibu,''ndugu zangu wa wapi,ndugu zangu ni wale wanao(ndont remmember).
Ndo tuseme huu ni mfano mzuri kweli hadi apewe uwezo wa kuhukumu.
 
Hivi nikiamua tu kijinga nikubaliane na madai yako haya ya kiwendawazimu,huyu ndio yule yule "yesu" wa kwenye quran mnaedai au yule na huyu ambae "sio mwema" ni tofauti?
 
Maswali ya kitoto uliyoshindwa kuyajibu!!!!!
Unachekesha wewe!

Ni wapi niliposema mimi ni myahudi?
Ndio maana ninasema hapa kila siku kuwa dini yenu inaenezwa kwa njia kuu 2
1:Uongo
2:Ugaidi

Wewe na wenzako mko kwenye uongo mkishindwa mnaenda kwenye ugaidi
Na ole wenu mjaribu ugaidi tutatumia hii:laser: kuwashikisha adabu!

"Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu." - MHUBIRI 7:9.

"I permit no woman to teach or have authority over men; she is to keep silent." Timothy 2:11

Soma andiko na ulifuate! Au laana ya yesu inakunyatia nyatia!!
 
Hizi ndizo akili za wafuasi wa mwamedi!
Ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!

Kuonyesha jinsi asivyo mwema.
Yesu alihimiza watu kuwaheshimu wazazi wake.mathew 19:19.
Lakini yeye mwenyewe alifanya kinyume.john 2:4,yesu alimjibu mamake mzazi,''WEWE MWANAMKE NINA NINI MIMI NAWE''.
This is eguivalent to huu msemo,''AACHANA NA MIMI WE MWANAMKE''.
Sijui ni kinywaji kilimzidi ama vipi maana yesu pia alifahamika kwa unywaji.mathew11:19.
Siku moja nduguze na mamake walimfata yesu wakamsalimie,wanafunzi wake wakamwambia,''mwalimu mamako na nduguzo wapo hapo nje wanataka kukusalimia,yesu akajibu,''ndugu zangu wa wapi,ndugu zangu ni wale wanao(ndont remmember).
Ndo tuseme huu ni mfano mzuri kweli hadi apewe uwezo wa kuhukumu.

Kuna dhambi mbinguni?

Irrelevant comments... no correlation with topic. Mkuu yericko hii thread imeingia virusi tofauti na ile ya uchochezi na ngano za mzee mudi side.
Hivyo ni kheri ukawaomba mods wafunge tu.
 
Hoja yako ya mwanzo umeona haina mashiko umeamua kukurupukia kitu kingine

Hayo maneno ya Yesu ni ya kwenye biblia iliyochakachuliwa au?
si uweke maandiko yako tuyaone,kwani bibilia ziko za aina ngapi?
 
We mwanawane! Nakutola gete gete!
Yaani wewe ni makoye munno!

Yani maakili sijuwi umeyapelekaga likkizzo.

Mhhhh! Onene mwanamayo! Nasatta muno!
Mi nilikuwa nadhani uatona haya kidogo kutoa mapovu ovyo lkn du!
Kweli asiye na haya hajui vibaya!!

Yaani nyie sijui ni lini mwamedi atawarudishia akili zenu
Unaquote kitu kingine unajibu kitu kingine!!!!!!!
 
si uweke maandiko yako tuyaone,kwani bibilia ziko za aina ngapi?

You tell me!
Maana si mnadai kuna iliyochakachuliwa?

Au unakana?

Kama ipo niambie ni ipi na iliyo salama ni ipi!
 
"Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu." - MHUBIRI 7:9.

"I permit no woman to teach or have authority over men; she is to keep silent." Timothy 2:11

Soma andiko na ulifuate! Au laana ya yesu inakunyatia nyatia!!

Haya ndio majibu ya maswali niliyokuuliza?
Kama sio yanahusiana nini na nilichokuuliza?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom