UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Mungu gani ananyonya ziwa Mungu gani anajisaidia haja kubwa na haja ndogo, Mungu gani anachapwa mijeledi mpaka analia, Mungu alipokufa zile siku 3 alizokuwa hayupo dunia alimuachia nani.

Nimecheka sana mkuu. Hawa jamaa zetu ni vituko kweli. Huyo mungu wao nadhani ni walewale wakina LAATA, UZA, MANAATA, NA KINA THAALITHU.
 
Sisi hatukubali kuwa ulifanya utafiti,yawezekana umekopi lwenye gazeti fulani tu ili nawe uoneshe umefanya utafiti,lkn ili kukupa changamoto zaidi sio vyema kukupa takwimu za usahihi wakati hujaumiza hata kichwa,mm ni mdau mkubwa sana wa elimu nimeshtuka sana kuona hiki ulichokiandika,ht vyo tunahitaji zaidi kutoka kwako kuona ukweli ndio maana nikakuomba uwafuate wadau wa elimu ili wakupe kiuhakika,sitakuandikia wakati huna uhakika na unachokisema,umiza kichwa na andika ukweli
Unanishangaza kidogo mkuu,

Mimi nimefanya utafiti kwa miaka mitatu na leo nimetoa majibu ya utafiti huo, leo unasema niende nikaulize watu wa elimu??

Hebu rudia tena kuusoma utafiti huo utaona vyanzo vyote vya takwimu zangu,

Njia nzuri yakupinga utafiti ni kwa utafiti tu na sio vinginevyo,

Jambo baya zaidi kwako unasema wazi kuwa upo kwenye sekta hiyo ya elimu na unazo takwimu, lakini ajabu huziweki hapa ili jukwaa likusome
 
Ni utafiti milango iko wazi kwa tafiti zaidi ili kupata mambo mengine zaidi hii ya kulialia bana si mambo kabisa

Hasaaa hilo ndio lengo langu mahususi,

Watu waje na tafiti zao ili kuusaka ukweli huo,
 
SI MLETE HUYU PASTOR WAKO AYATOE MAPEPO USISAHAU KUMWEKEA CHANGU DOA ILI APATE SHOT 1 KWANZA




Tehe tehe tehe!...Yaani badala ya kuchunga kondoo wao wanakula kondoo wa bwana na kuwaongopea watu YESU ni Mungu tehe tehe tehe!

Ama kweli nyie wagalatia sijui ni nani aliyewaroga?!!

Huyu atakua muchungwaji Nicholas akiwaongopea waumini wake kama anavyowaongopea Wagalatia wenzake hapa!
 
Last edited by a moderator:
wakristo wa malaysia,indonesia na baadhi ya jew wanatumia Allah..ofcource hilo maana yake ni mungu.

Nyie mlichobakiza ni kusema tu bila ushahidi basi!

Sasa allah ni sifa au jina?
 
Mfano hai!
Kufelishwa wtt wa waislamu kila mtu anajua,!

Waislamu kunyimwa madaraka ktk wizara nyeti kila mtu anajua!

Upendeleo ktk scholarships kuwapa wagalatia zaidi hili pia kila mtu analijua!

Kila mtu ni nani?

Makanisa kupewa maeneo nyeti na makubwa kuliko miskiti tena toka enzi ya yule balaa kuu la taifa! (Nyenyere) kila mtu anajua!

HALAFU WEWE UNATAKA UFANYIKE UTAFITI GANI WAKATI KILA UCHAFU WA MFUMO KRISTO UKO WAAZI MBELE ZA WATU??

Ushahidi uko wapi?
 
Hao unaowaita wajinga kwa taarifa yako ni viongozi wakubwa saana wa makanisa!

Unajua maana ya kanisa wewe au unazungumza vitu usivyovijua?
Na ya laiti wakija hapo usukumani utakimbilia kubusu miguu yao!

Mh!!!!!
Wewe umetumia kipimo gani kujua kama mimi naweza kufanya huu utumbo?
Na kuwaomba wakusamehe dhambi zako!

Mwenye mamlaka ya kusamehe dhambi zangu na zako ni Yesu Krosto pekee!!!!!!
 
Naona unatumia ile silaha ya yule mwenzako na ya wagalatia wote!
Ukishashindwa hoja unaanza kutukana na kumkashifu mtume s.a.w!
Hoja tutoe sisi wewe umtukane mtume!
Sasa hilo kanisa utaliokoa kwa kutukana waislamu tu? Wakati unapewa andiko badala ya kulitetea unatukana!!

Basi busara zenu zoote zimeishia hapo!

He!
Hawa watu kweli ni wagonjwa wa akili
Hivi kusema kweli yamekua matusi siku hizi?
Mbona hujasema hayo matusi ni yapi?
Hayo ndio maisha ya mtume wako
Na ndivyo alivyojipatia utajiri

Jaribu kukataa hata moja hapo kwa ushahidi kama unaweza!
 
Unajua maana ya kanisa wewe au unazungumza vitu usivyovijua?


Mh!!!!!
Wewe umetumia kipimo gani kujua kama mimi naweza kufanya huu utumbo?


Mwenye mamlaka ya kusamehe dhambi zangu na zako ni Yesu Krosto pekee!!!!!!
Wewe huwa una lolote aisee! Ni utoto tu kazi yako ni kukata hizi quote na kuandika mipasho, teh teh teh!

Siku zote mwenye busara huwa na tabia ya kufanya mafikirio mwenyewe, mtu mjinga kama wewe huwa mfataji maono ya watu tu.
 
Christian blood is more precious ktk madhabahu....christianity ndio inaset standards...ndio dira ya kupima ukweli na uongo ndio maana lazima waingizwe hata km hawataki....ukiinginza elements za ukritu ktk bisahra lazima ifanikiwe...Ni rahisi kuona wapi wanatafutwa kuuwawa, unaweza ona shule isipowahusisha wakristu hata wachache jinsi inakuwa zero,...ndio maana hata taasisi za kiislam za jamii za kihindi, waturuki au wengine zinafanikiwa kw akuchukua western ways....hata akina JK km hawakua absorb christian leadership wangebaki km wazenj..wazenj walioingi aktk muungano wanatofauti sana na wenzao..kule ktk misitu ya mikarafuu.


Just when you think our country is liberated n people have free mind a foul will suprise you...
 
Unajua maana ya kanisa wewe au unazungumza vitu usivyovijua?


Mh!!!!!
Wewe umetumia kipimo gani kujua kama mimi naweza kufanya huu utumbo?


Mwenye mamlaka ya kusamehe dhambi zangu na zako ni Yesu Krosto pekee!!!!!!
atasamehe vipi dhambi za wengine wakati yeye mwenyewe alikiri kwa kinywa chake kuwa hakuwa mwema na hakuna aliye mwema ila mungu peke yake?.
 
Wewe huwa una lolote aisee!

Kama sina lolote ni kitu gani kimekufanya ukaniquote?

Ni utoto tu kazi yako ni kukata hizi quote na kuandika mipasho, teh teh teh!

Mpiasho ni kitu gani?
Ni quote gani nimekata?



Siku zote mwenye busara huwa na tabia ya kufanya mafikirio mwenyewe,

Huwa unanisaidia kufikiri?
Na umetumia kipimo gani kujua hayo?
mtu mjinga kama wewe huwa mfataji maono ya watu tu.

Povu la nini yakhe?
Nimefuata maono ya nani?
 
atasamehe vipi dhambi za wengine wakati yeye mwenyewe alikiri kwa kinywa chake kuwa hakuwa mwema na hakuna aliye mwema ila mungu peke yake?.

Luka 5 :24 ;
" Lakini, mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (alimwambia yule mwenye kupooza). Nakuambia, Ondoka, ujitwike kitanda chako, ukaende zako nyumbani kwako. "



Mkiambiwa nyie ni vilaza mnatoka povu,haya angalia ulivyoumbuka!!!!!!!!!
 
Hujui kama hawa ni mabinti za Allah?

Leta ushahidi wa andiko kwa haya unayopayuka!
Sio kuongea kama wale walevi wa pombe ya moshi!
Basi haujaribu kutumia kichwa kufkiri hata kidogo?

Ndio maana andiko likasema.

Proverbs 29:20-27 (NLT)

"There is more hope for a fool than for someone who speaks without thinking"!

Sasa leta ushahidi au hili andiko litakuangukia!
 
Kuna mambo mawili, la kwanza ni kweli kuwa kwa miaka 25 baada ya uhuru wakristo walikuwa ni wengi katika utawala, hili lilitokana na kuwa na shule nyingi katika maeneo ya wakristo kuliko maeneo ya waiislamu, lakini hali hii ilianza kubadilika baada ya mwaka 1986. Pili hali hii imeendelea kubadilika na kwasasa ninafikiri kwa upande wa bara tuko 50% kwa 50%. Na hali hii itaendelea kuwa hivi. Kujengwa kwa hizi shule 1077 za kata kutasaidia sana kuinia waislamu, ninauhakika kuwa kuna kata ambazo zisingewahi kuwa na shule kama siyo hili zoezi la Universal Secondary Education. Mwaka 1995 kati ya shule 300 zilizokuwa Tanzania, 117 zilikuwa mkoani Kilimanjaro. Matokeo ya jambo hili ni kuwa walioelimika wengi watakuwa wanatokea huko.
 
Leta ushahidi wa andiko kwa haya unayopayuka!
Sio kuongea kama wale walevi wa pombe ya moshi!
Basi haujaribu kutumia kichwa kufkiri hata kidogo?

Ndio maana andiko likasema.

Proverbs 29:20-27 (NLT)

"There is more hope for a fool than for someone who speaks without thinking"!

Sasa leta ushahidi au hili andiko litakuangukia!

Unajua maana ya Allat?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom