UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Yesu hakuwa mkristu alikuwa KRISTU mwenyewe,wengine ni wakristu au wasio wakristu....huwezi sema TIMU YA MACHESTER SI MWANACHAMA WA MANCHESTER......HEMBU TUMIA UBONGO HUO WEWE AU HAUNA GREY MATTER..
Na Yakobo alikuwa dini gani baba askofu naomba unijibu ukiamka mtumishi.
 
Sijadharau kazi yake, ukisoma maoni yangu mwisho nilimpongeza. Naye alitambua makosa ndo maana akarekebisha na hujaona akilalamika. Tazama hiyo sehemu kwenye andishi halafu ulinganishe na tarakimu za awali utabaini ukweli.

Sehemu husika awali ilisomeka:

Kipande kilichorekebishwa sasa kinasomeka:

Nikushukuru mkuu kwa kunikumbusha, nilichanganya kidogo, lakini sasa mambo yanakwenda sawa!
 
yesu ndo hakuwa subira,we unadhani kwanini alipenda sana kwenda pale bethania?.

Alikua akienda kwa kina martha,hao walikua mabinti ambao wakiishi na kaka yao lazaro.
Licha ya yesu kuwa karibu sana na lazaro baada ya kile kinachodaiwa kumfufua.
Pia yesu alikua karibu sana na mary kiasi cha martha kusikia wivu na kumlalamikia yesu ambae aliendelea kumtetea mary.
Ilifikia hatua yesu akienda pale kwao,mary alikua habanduki pembeni ya yesu kiasi cha kumwachia kazi zote za kuandaa chakula martha.
Huo ukaribu wa yesu na mary unaonyesha yesu hakua na subira hata kidogo.
Kama vile haitoshi yesu pia alimpenda sana mwanafunzi mmojawapo kiasi cha kupakatana kila wanapokua wamerelax,huyu ndie mwanafunzi aliekua akimwegemea yesu kifuani always.

Huo ndio mwisho wa nyakati. Inaogopesesha na kutisha sana. Maana vita hii sio ndogo.
 
Ukiambiwa ww na wenzako mna tabia ya kukurupuka mnaona mnadharauliwa soma luka 24 toka mwanzo utaelewa muendelezo wa matukio yote itakusaidia, mwana mfuga mapepo
muendelezo gani?luke yuko very clear kwamba yesu alipaa siku hiyohiyo wakati matendo inadai alikaa siku 40 kabla hajapaa,au wewe umeelewaje?
 
Huo ndio mwisho wa nyakati. Inaogopesesha na kutisha sana. Maana vita hii sio ndogo.
i didnt write the bible,neither did jesus,so why would it matter what it say?afterall all most writer of bible were not even jesus disciple,like Luke,paul,mark etc.

Bible show that mary of bethany was from a wealth family,there are few clue that could lead one to beliave there is more than meet the eyes in her and jesus's relationship.
>as jesus and his disciples were on their way,he came to a village where a woman named martha opened her home to him.she had a sister called mary,who sat AT THE LORD'S FEET listening to what he said.
But martha was distracted by all preparation that had to be made.
She come to him(jesus) and asked,''LORD,DONT YOU CARE THAT MY SISTER HAS LEFT ME TO DO THE WORK BY MYSELF?'',TELL HER TO HELP ME''.
Martha,martha,the lord answered,you are worried and upset about many things,but only one thing is needed.mary has chosen what is better and it will not be taken away''.
FOR MARY TO SIT AT JESUS'S FEET,AND FOR HIM TO ALLOW HER TO DO SO,WAS ITSELF CONTROVERSIAL.
 
Ha ha haa saa za kazi yeye ndio muda wake wa kulala
Ukijumlisha na viroba vya Vodka na Banana saizi atakuwa anakoroma tu, akishamka anazimua tena viroba na supu ya ulimi anaingia jamvini.
 
yawezekana hata wewe ni pepo mwambie mleta mada ampige stop nicholas
sio anaona upande wa pili ndio unaharibu uzi.

huyo anayejiita nicholas niachieni mimi maana baada ya kushindwa hoja alikuwa akiniandikia private na kuniwekea matusi na kashifa zisizo idadi
 
huyo anayejiita nicholas niachieni mimi maana baada ya kushindwa hoja alikuwa akiniandikia private na kuniwekea matusi na kashifa zisizo idadi
kumbe ana tabia ya kufuata watu pm,hata mimi alinifuata,duh,jamaa ni mkereketwa sana.
 
Yaani huu utafiti nadhani uliufanya ukiwa kitandani unaota,idadi ulotoa ya wahitimu wa kidato cha nne zanzibar na mwanza ni takwimu za uongo na unataka kupotosha jamii,hebu rejea tena kwa watakwimu wa elimu wakupatie takwimu iliyo sahihi,maana nilitaka nikupe udokta(PhD) lkn hupo sahihi na takwimu,sijui lengo lako ni nini,hao wanaokupa hongera nadhani nao wanakurupuka km ulivyokurupuka wewe,hawajui lkn wamekubali,sio kila tafiti uziunge mkono kabla nawe kufuatilia angalau asilimia 20 ya kilichotafitiwa,kwa upande wangu huwezi kunipa takwimu ya wahitimu wa kidato cha 4 kwa zanzibar na mwanza ambazo nina uhakika nazo nikazipokea na kukupa hongera,jaribuni kufuatilia ukweli ndipo mtoe tafiti zenu(za kitandani )mm nahusika sana mambo ya elimu na ndio maana nikawa mbogo kwa hili.
 
Nashukuru kwa maelezo yako murua kabisa,

Lakini maneno haya yamekosa nguvu kwakuwa hujatuwekea hapa hizo takwimu unazodai wewe wazijua fika,

Kinyume na hapo imekuwa sawa na wachangiaji wengine wanaopinga tu kwakuwa hawakubaliana na utafiti huu lakini hawana hoja ya kiutafiti inayoweza kutumika kuupinga utafiti wangu,

Lakini yote nakushukuru kwakuwa umenipa changamoto mpya!

Karibu sana mkuu wangu na mdau wa elimu kwa mikoa ya Mwanza na huko Zanzibar
 
Enyi wagatia musio kuwa na akili munasemaje kuhusu kuuawa kwa yesu wakati nyinyi munasema yesu ni mungu halafu mungu huyohuyo auawe nna viumbe vyak mwenye alivyoviumba? Inaingia akilini hiyo poleni sana kwa ufinyu waakili ,vichwa vyenu vinahitaji mwekezaji
 
Sisi hatukubali kuwa ulifanya utafiti,yawezekana umekopi lwenye gazeti fulani tu ili nawe uoneshe umefanya utafiti,lkn ili kukupa changamoto zaidi sio vyema kukupa takwimu za usahihi wakati hujaumiza hata kichwa,mm ni mdau mkubwa sana wa elimu nimeshtuka sana kuona hiki ulichokiandika,ht vyo tunahitaji zaidi kutoka kwako kuona ukweli ndio maana nikakuomba uwafuate wadau wa elimu ili wakupe kiuhakika,sitakuandikia wakati huna uhakika na unachokisema,umiza kichwa na andika ukweli
 
Ni utafiti milango iko wazi kwa tafiti zaidi ili kupata mambo mengine zaidi hii ya kulialia bana si mambo kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom