huyo anayejiita nicholas niachieni mimi maana baada ya kushindwa hoja alikuwa akiniandikia private na kuniwekea matusi na kashifa zisizo idadi
Majini ndio nini kwani kwenye hio biblia uongo hakutajwa suleiman au solomon na majini wake
Ndugu Nicholas, wewe ni mfuasi wa Yesu?
Je unamwabudu Yesu?
Au unamwabudu Mungu wa Yesu?
Umezunguka sana na kusema Yesu is more than Moses. Unataka kusema kuwa "more than" maana yake ni Mungu?
Je wewe ni katika wanaoamini utatu mtakatifu?
Pata shule hapa:
Ubongo 0.15g umechoka umeamua kuleta mambo ya CCM na Chadema.
Ila nyie jamaa kiboko, kwa hiyo Yohana alimbatiza Mungu.......seriously???!!!! Aisee ni bora hata muendelee kutambika tu.
Kwa hiyo wewe unakubali na kuwa na baba wa imani mzinzi???!! Kwa mujibu wa maelezo yako Ismaili ni mtoto wa haramu..........Hii akili au tope, yaani mtu unamuita baba wa imani halafu mzinzi???!!!!!
Ngoja nikwambie mchawi wenu nyie wagalatia!
Anaitwa PAULO!!
Huyu nabii wa uongo aliyejipa unabii mwenyewe BILA HATA YA KUKUTANA NA YESU! NDIE ALIYEANZA KUMUITA YESU MUNGU!! NA MWANA WA MUNGU , NA UTATU MTAKATIFU UMEANZIA HAPA!!
Sasa nyie hamjaulizi kuwa maandiko yoote kabla ya huyu PAULO HAYA YESU KUITWA MUNGU HATA KIDOGO!
Baada ya kuja kwake tu.! Yesu katolewa kwenye utume na unabii! Akapewa cheo cha Uungu!
Na kama hamkuliona hilo basi tunawapa pole sana!
Manake mnaabudu mtu! Ambae yeye mwenyewe amesema ametumwa na Mungu!
Mnapoteza muda wenu mwiingi kuabudu kisicho Mungu!
Duh.....km mnaweza kuwa watu a hovyo kihivi ni wazi shetani yupo ndani yenu...Private nikutukane?For what..?kwanini usiforward kwa mods?
Ni wazi nyie si wale wachungaji wapitiao mlangoni...ni wale warukao zizi , na kutawanya wanakondoo...hadi hapa mmeshavunja mengi ambayo dini yenu in claim kufuata...
Ritz mbona kila siku unaweka picha hizo hizo tu?
Unawanyima mashabiki wako uhondo kijana,
Waambie wakaziangalie kule fb (Yericko Nyerere)
Mnadanganyana: mmewahi jiuliza waislam wangapi wanakunywa pombe kwa level hiyo ili wapate usingizi...kwa kuwakimbiza majinn....kwa msomaji hapa anajua shughuli yenu na majinn .....your too miserable...
wewe unaongea uongo na matusi kw akukata tamaa..mimi nakupa kweli.
Nani alimlonga Mohamed hadi akawa akila uroda kwa majinn mahaba?Uristh aliowaachia..hadi leo mnakulana na majinn.
Always christian radical cleric
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mnadanganyana: mmewahi jiuliza waislam wangapi wanakunywa pombe kwa level hiyo ili wapate usingizi...kwa kuwakimbiza majinn....kwa msomaji hapa anajua shughuli yenu na majinn .....your too miserable...
Im a radical in everything i believe and follow...
Mnapenda Biblia pale mnahisi ina cha kuwasaidia..BUt hujasoma vyema (1)..Solomon alimuudhi sana Mungu kwa kuoa wanawake wa mashariki(Arabia) ambao walileta mila na miungu yao....uislam ni upagani, ndio maana mnechukua MAJINN ambayo yamekuwa miaka nenda rudi bara Arabia...
(2)ndio maana hakuna aliyeweza jimbu satanic verses..wengi ni kukimbilia kumuua mwandishi.
teh teh teh! Umeishaamka.kwanini usisome hapo unapochukua haya ...........
Mnadanganyana: mmewahi jiuliza waislam wangapi wanakunywa pombe kwa level hiyo ili wapate usingizi...kwa kuwakimbiza majinn....kwa msomaji hapa anajua shughuli yenu na majinn .....your too miserable...