Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
huyo anayejiita nicholas niachieni mimi maana baada ya kushindwa hoja alikuwa akiniandikia private na kuniwekea matusi na kashifa zisizo idadi
Duh.....km mnaweza kuwa watu a hovyo kihivi ni wazi shetani yupo ndani yenu...Private nikutukane?For what..?kwanini usiforward kwa mods?
Ni wazi nyie si wale wachungaji wapitiao mlangoni...ni wale warukao zizi , na kutawanya wanakondoo...hadi hapa mmeshavunja mengi ambayo dini yenu in claim kufuata...