NAOMBA UNIFAFANULIE UTATU MTAKATIFU!
Injili ya quran ni revised edition ya gospel mtume alishakwenda Jerusalem na kudai kupewa hizo injil miaka 400 after Jesus died. au unataka sema mtu anayekuja miaka 400 anaweza kutoa account ya mambo bomba zaidi ya kina luke, john, Matthew and Peter. Walioishi na yesu? Ila ukiwa mwarabu ni rahisi kufuata hadith za madrassat.
Kwahiyo batili iendelee kuwepo mbona chadema inaikosoa ccm yote nikuwekana sawa mambo yakae kwenye msatari, hivi unaweza kunionyesha wapi waislamu wanamtukana Yesu tena wao ndio wanamtetea upo hapo dogo
kwasababu tumegundua mnapotea ndo maana,huezi muona jamaa yako anaenda kuanguka bondeni usimsitue,hasahasa kama ni mlemavu wa macho.
luka
matayo
petro
naomba majina ya baba zao ukinitajia tu naritadi
wewe unamatatizo sana,unadhani hapa umesema point ya maana sana
hizo kanuni unazosema zimewekwa na nani?
Zinahusu nini?
Kwa kifupi madai yako hayana maana
hapa nitakupa ubin wa baadhi tu ya hao hapo juu:
Petro[peter] ubini wake ni yona,soma hapo chini
17 yesu akajibu, akamwambia, heri wewe simoni bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali baba yangu aliye mbinguni.
Yohana[john] ubin wake ni zebedayo soma hapo chini
19 akaendelea mbele kidogo, akamwona yakobo wa zebedayo, na yohana nduguye, nao pia walikuwa chomboni, wakizitengeneza nyavu zao.
Mathayo[mathew] ubini wake ni lawi
mathayo 10:3
mathayo mtoza ushuru
kwa ufafanuzi wa hii soma hapa luka 5:27
27 baada ya hayo akatoka, akaona mtoza ushuru, jina lake lawi, ameketi forodhani, akamwambia, nifuate
kwa kifupi hoja zako hazina msingi wowote japokuwa nimekuthibitishia kuwa ubin wa hao hapo juu upo hadi majina ya babu zao
tatizo lenu nyie maamuma mmekaririshwa tu na hamjui kitu chochote!!!!!!!!!!
kwasababu tumegundua mnapotea ndo maana,huezi muona jamaa yako anaenda kuanguka bondeni usimsitue,hasahasa kama ni mlemavu wa macho.
Tuseme wewe huna mchango wowote maana nakuona unachombeza tuu ,wewe haya mambo unayaelewajeelewaje?
swali lingine?
HII NI BATILI AU SIO BATILI?Kwahiyo batili iendelee kuwepo mbona chadema inaikosoa ccm yote nikuwekana sawa mambo yakae kwenye msatari, hivi unaweza kunionyesha wapi waislamu wanamtukana Yesu tena wao ndio wanamtetea upo hapo dogo
Umegundua kwa kutumia nini?
HII NI BATILI AU SIO BATILI?
Ilunga akiwa Mwanza aliwahutubia waislam na kuwaambia kuwa "Waue mapadri, Maaskofu na Wachungaji, iwe adharani ama kwa kujificha". Baada ya maelekezo hayo, waumini wa kiislam wameitikia.
* 5:51. Enyi mlio amini! Si
halali kwenu
kuwachukua Mayahudi
na Wakristo mkawafanya
ndio marafiki zenu. Wao
hao ni sawa sawa katika
kukufanyieni uadui. Na
mwenye kufanya urafiki
nao, basi ni kundi moja
nao. Na hakika
Mwenyezi Mungu
hawaongoi wanao
jidhulumu nafsi zao kwa
kufanya urafiki na
makafiri.
5: 51. Enyi mlio amini!
Msiwafanye Mayahudi
na Wakristo kuwa ni
marafiki. Wao ni
marafiki wao kwa wao.
Na miongoni mwenu
mwenye kufanya urafiki
nao, basi huyo ni katika
wao.
Kupandikiza chuki ni batili au sio batili?
Wewe jibu swali! Kujishaua kwako hakukusaidii!
Leta majina ya hawa waandishi wa biblia"-
Matthew.....?
Mark......?
John. .....?
Peter.....?
Nakupa mfano hapa!
Manake inabidi niongee kama namfundisha mtoto!
Kwenye uislamu tunao.
Issa ibn Mariam
Muhammad ibn Abdillahi.
Suleiman ibn daud.
Ibrahim ibn aazar.
Nakadhalika!
Wee wala uspate taabu! Sijui padero sijui bla..bla..bla..!
We andika majina yao kama mimi! Halafu ambatanisha na andiko!
Sasa tazama mfarisayo atakavyo jiwehusha hapa!
Wewe unamatatizo sana,unadhani hapa umesema point ya maana sana
Hizo kanuni unazosema zimewekwa na nani?
Zinahusu nini?
Kwa kifupi madai yako hayana maana
Hapa nitakupa ubin wa baadhi tu ya hao hapo juu:
Petro[Peter] ubini wake ni Yona,soma hapo chini
17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.
Yohana[John] ubin wake ni zebedayo soma hapo chini
19 Akaendelea mbele kidogo, akamwona Yakobo wa Zebedayo, na Yohana nduguye, nao pia walikuwa chomboni, wakizitengeneza nyavu zao.
Mathayo[Mathew] ubini wake ni Lawi
mathayo 10:3
Mathayo mtoza ushuru
Kwa ufafanuzi wa hii soma hapa Luka 5:27
27 Baada ya hayo akatoka, akaona mtoza ushuru, jina lake Lawi, ameketi forodhani, akamwambia, Nifuate
Kwa kifupi hoja zako hazina msingi wowote japokuwa nimekuthibitishia kuwa ubin wa hao hapo juu upo hadi majina ya babu zao
Tatizo lenu nyie maamuma mmekaririshwa tu na hamjui kitu chochote!!!!!!!!!!
Kwa kuangalia upeo wa kufikiri wa watu kama wewe!
Lzm una kasoro kubwa sana!
hivi kuna injili ya daud?
Ama iko agana la kale?
hapo pazito.umepigilia msumari wa inchi 9;Nimekuulizeni swali doogo sana! Lkn juu ya kujifanya mna elimu mmeshindwa kulijibu!
Narudia tena,
Haonuliowataja hapo juu, ili tukubaliane na maneno yao. Kuna kanuni ndooogo YA MUHIMU SAANA KTK ULIMWENGU,
nayo ni KILA MWANDISHI WA DOCUMENTS YOYOTE LAZIMA TENA LAZIMA AWE NA MAJINA (kwa uchache) MAWILI, Yaani la kwake na la BABA YAKE! AU LA UKOO WAKE!!
HII NI KANUNI!
SASA NAOMBA NYIE WAKRISTO WOOTE MNIPE MAJINA YA PILI YA HAWA WAANDISHI WA BIBLIA!.
1.MATTHEW....?
2.JOHN.......?
3.MARK ........?
4.PETER......?
na pia huyu LUKA ......who?
wewe ukipewa cheque ya jina moja utapokea?
Passport yako ikiwa na jina moja ni halali?
Driving licence ikiwa na jina moja itakubalika??
Certificate yyt ya elimu ikiwa na jina moja nani ataikubali??
Umeshawahi kuona Hata KITABU CHA HADITHI ZA WATOTO MWANDISHI ANA JINA MOJA TU!?
NITAJIE LEGALL DOCUMENT YOYOTE DUNIANI AMBAYO MWANDISHI KAWEKA JINA MOJA TU,!!
HAKUNA!!
HUWEZI KUPATA! ISPOKUWA BIBLIA PEKE YAKE!
ISN'T THAT SOMETHING YOU SHOULD ASK YOURSELF BEFORE SAID ANYTHING??
CAN ANY OF YOU EXPLAIN THAT??!!
cc Eiyer MaxShimba Nicholas @yerikco nyerere na mgalatia yyt!
Kwa kuangalia upeo wa kufikiri wa watu kama wewe!
Lzm una kasoro kubwa sana!
His father was Amram,His mother was Jochebed,His wife was Zipporah,his sons were Gershom and Eliezer,his brother was Aaron,and his sister was MiriamNyie mnaiamini Torah Je niambie Musa ana majina mangapi
Umepata aibu,baada ya kuitoa aya kwa kiswahili,Maneno ya shetani yanaondolewa,halafu mwenyewe Mungu,anayahakikisha kama yako sawa,ndio yanawafikia waumini.
Tofauti yetu kati yetu ni ndogo.....lakini pana....
hio ndio tofauti yetu...kwa ufupi mnafata dini mpya na sio alokuja nayo yesu....na huku afrika ililetwa wakati wa kinyanganyiro cha afrika na wazungu wakoloni waliona njia nzuri ni kuwabatiza waafrika kama njia ya kuwatawala ...
- ukristo haukuwepo wakati yesu alipokua hai....hakuufundisha yeye alipokuwepo duniani...ukristo huu mnaofuata sasa ni dini iliyokuja baada ya mkutano wa Nicaea .bali ni dini mpya ambayo haina uhusiano na mitume walopita, yaani ukristo ni tofauti na dini ya Ibrahim, Mussa,Nuh na wengineo...ni dini mpya kabisa ndio maana hio dini haina mizizi pale walipo toka mitume ...rejea historia yenu ya mkutano wa kwanza wa christians huko Nicaea. huu ndio ulokuja na hii dini mpya ...ukitaka usitake huu ndio ukweli na haya makubaliano yalikuja baada ya vurugu na mauaji ya wazungu wenyewew kwa wenyewe na ushenzi mwingi huko nyuma , hivo walikaa pamoja ku create dini ambayo itawaunganisha....hivyo paulo akafit katika hili..na ndio mwanzo wa dini hii.
- uislam kama ulivo ni original toka day one Quaran imebaki moja na imeendelea kuwa hivo hadi leo. pia uislam ni dini kongwe ile ilokua ikifatwa na Mussa, Yessu , Ibrahim , Nuh nk dini ya kuwa Mungu ni mmoja na hana mshirika.....na amekuwa akichagua miongoni mwa wanadamu zaidi wana Israel kuwa Mitume wake.