UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
NAOMBA UNIFAFANULIE UTATU MTAKATIFU!

Mungu mmoja katika aina tatu tofauti za ufanyaji kazi!!!!!!

Moja
Mungu kama muumbaji[Niko ambae niko]

Mbili
Mungu kama mwokozi[Yesu kristo]

Tatu
Mungu kama mwalimu[Roho mtakatifu]

Swali lingine?
 
Injili ya quran ni revised edition ya gospel mtume alishakwenda Jerusalem na kudai kupewa hizo injil miaka 400 after Jesus died. au unataka sema mtu anayekuja miaka 400 anaweza kutoa account ya mambo bomba zaidi ya kina luke, john, Matthew and Peter. Walioishi na yesu? Ila ukiwa mwarabu ni rahisi kufuata hadith za madrassat.

Luka
Matayo
Petro
Naomba majina ya baba zao ukinitajia tu naritadi
 
Kwahiyo batili iendelee kuwepo mbona chadema inaikosoa ccm yote nikuwekana sawa mambo yakae kwenye msatari, hivi unaweza kunionyesha wapi waislamu wanamtukana Yesu tena wao ndio wanamtetea upo hapo dogo

Kwahiyo nyie mnafanya siasa?
 
luka
matayo
petro
naomba majina ya baba zao ukinitajia tu naritadi


wewe unamatatizo sana,unadhani hapa umesema point ya maana sana
hizo kanuni unazosema zimewekwa na nani?
Zinahusu nini?

Kwa kifupi madai yako hayana maana
hapa nitakupa ubin wa baadhi tu ya hao hapo juu:
Petro[peter] ubini wake ni yona,soma hapo chini

17 yesu akajibu, akamwambia, heri wewe simoni bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali baba yangu aliye mbinguni.

Yohana[john] ubin wake ni zebedayo soma hapo chini

19 akaendelea mbele kidogo, akamwona yakobo wa zebedayo, na yohana nduguye, nao pia walikuwa chomboni, wakizitengeneza nyavu zao.

Mathayo[mathew] ubini wake ni lawi
mathayo 10:3
mathayo mtoza ushuru
kwa ufafanuzi wa hii soma hapa luka 5:27
27 baada ya hayo akatoka, akaona mtoza ushuru, jina lake lawi, ameketi forodhani, akamwambia, nifuate


kwa kifupi hoja zako hazina msingi wowote japokuwa nimekuthibitishia kuwa ubin wa hao hapo juu upo hadi majina ya babu zao
tatizo lenu nyie maamuma mmekaririshwa tu na hamjui kitu chochote!!!!!!!!!!


swali lingine?
 
Tuseme wewe huna mchango wowote maana nakuona unachombeza tuu ,wewe haya mambo unayaelewajeelewaje?

Mkuu huyu chamtemamoto ni katika wale wapiga vigeregere kanisani!

Huwa wanakodishwa hata kwenye misiba!

Manake mtu kama huyu akianza kupiga vigeregere au kulia misibani, hanyamazi mpaka aliyemlipa amkataze!

Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
swali lingine?

Wewe jibu swali! Kujishaua kwako hakukusaidii!
Leta majina ya hawa waandishi wa biblia"-

Matthew.....?
Mark......?
John. .....?
Peter.....?

Nakupa mfano hapa!
Manake inabidi niongee kama namfundisha mtoto!

Kwenye uislamu tunao.
Issa ibn Mariam
Muhammad ibn Abdillahi.
Suleiman ibn daud.
Ibrahim ibn aazar.
Nakadhalika!

Wee wala uspate taabu! Sijui padero sijui bla..bla..bla..!
We andika majina yao kama mimi! Halafu ambatanisha na andiko!
Sasa tazama mfarisayo atakavyo jiwehusha hapa!
 
Kwahiyo batili iendelee kuwepo mbona chadema inaikosoa ccm yote nikuwekana sawa mambo yakae kwenye msatari, hivi unaweza kunionyesha wapi waislamu wanamtukana Yesu tena wao ndio wanamtetea upo hapo dogo
HII NI BATILI AU SIO BATILI?
Ilunga akiwa Mwanza aliwahutubia waislam na kuwaambia kuwa "Waue mapadri, Maaskofu na Wachungaji, iwe adharani ama kwa kujificha". Baada ya maelekezo hayo, waumini wa kiislam wameitikia.
* 5:51. Enyi mlio amini! Si
halali kwenu
kuwachukua Mayahudi
na Wakristo mkawafanya
ndio marafiki zenu. Wao
hao ni sawa sawa katika
kukufanyieni uadui. Na
mwenye kufanya urafiki
nao, basi ni kundi moja
nao. Na hakika
Mwenyezi Mungu
hawaongoi wanao
jidhulumu nafsi zao kwa
kufanya urafiki na
makafiri.
5: 51. Enyi mlio amini!
Msiwafanye Mayahudi
na Wakristo kuwa ni
marafiki. Wao ni
marafiki wao kwa wao.
Na miongoni mwenu
mwenye kufanya urafiki
nao, basi huyo ni katika
wao.

Kupandikiza chuki ni batili au sio batili?
 
HII NI BATILI AU SIO BATILI?
Ilunga akiwa Mwanza aliwahutubia waislam na kuwaambia kuwa "Waue mapadri, Maaskofu na Wachungaji, iwe adharani ama kwa kujificha". Baada ya maelekezo hayo, waumini wa kiislam wameitikia.
* 5:51. Enyi mlio amini! Si
halali kwenu
kuwachukua Mayahudi
na Wakristo mkawafanya
ndio marafiki zenu. Wao
hao ni sawa sawa katika
kukufanyieni uadui. Na
mwenye kufanya urafiki
nao, basi ni kundi moja
nao. Na hakika
Mwenyezi Mungu
hawaongoi wanao
jidhulumu nafsi zao kwa
kufanya urafiki na
makafiri.
5: 51. Enyi mlio amini!
Msiwafanye Mayahudi
na Wakristo kuwa ni
marafiki. Wao ni
marafiki wao kwa wao.
Na miongoni mwenu
mwenye kufanya urafiki
nao, basi huyo ni katika
wao.

Kupandikiza chuki ni batili au sio batili?

Hii ni tafsiri yako wewe mgalatia!
Huko sio kuoandikiza chuki BALI NI TAHADHARI.

Sisi HAIWEZEKANI TUKAWA MARAFIKI NA MAKAFIRI!

Trough out the history, toka wakati wa nyerere waislamu wamenyanyaswa saana, wengi wameuwawa na kufungwa bila hatia. Mpaka leo wanafunzi wa kiislamu wanafelishwa kusudi ktk mfumo kristo! Nafasi serikalini wanapeana wakiristo!

HALAFU UNATAKA SIE BADO TUWE MARAFIKI NA WANAFIKI??

Mungu Aliyajua haya ndio akatutahadharisha na kuwafanya watu kama wewe Rafiki!

Unajifanya muungwana mbele yangu! Nikigeuka unanchoma kisu unaniua!!

Si tunachofanya ni kukaa mbali na washirikana! Baaaas,
 
Wewe jibu swali! Kujishaua kwako hakukusaidii!
Leta majina ya hawa waandishi wa biblia"-

Matthew.....?
Mark......?
John. .....?
Peter.....?

Nakupa mfano hapa!
Manake inabidi niongee kama namfundisha mtoto!

Kwenye uislamu tunao.
Issa ibn Mariam
Muhammad ibn Abdillahi.
Suleiman ibn daud.
Ibrahim ibn aazar.
Nakadhalika!

Wee wala uspate taabu! Sijui padero sijui bla..bla..bla..!
We andika majina yao kama mimi! Halafu ambatanisha na andiko!
Sasa tazama mfarisayo atakavyo jiwehusha hapa!

Wewe unamatatizo sana,unadhani hapa umesema point ya maana sana
Hizo kanuni unazosema zimewekwa na nani?
Zinahusu nini?

Kwa kifupi madai yako hayana maana
Hapa nitakupa ubin wa baadhi tu ya hao hapo juu:
Petro[Peter] ubini wake ni Yona,soma hapo chini

17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

Yohana[John] ubin wake ni zebedayo soma hapo chini

19 Akaendelea mbele kidogo, akamwona Yakobo wa Zebedayo, na Yohana nduguye, nao pia walikuwa chomboni, wakizitengeneza nyavu zao.

Mathayo[Mathew] ubini wake ni Lawi
mathayo 10:3
Mathayo mtoza ushuru
Kwa ufafanuzi wa hii soma hapa Luka 5:27
27 Baada ya hayo akatoka, akaona mtoza ushuru, jina lake Lawi, ameketi forodhani, akamwambia, Nifuate


Kwa kifupi hoja zako hazina msingi wowote japokuwa nimekuthibitishia kuwa ubin wa hao hapo juu upo hadi majina ya babu zao
Tatizo lenu nyie maamuma mmekaririshwa tu na hamjui kitu chochote!!!!!!!!!!




?????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
hivi kuna injili ya daud?

Ama iko agana la kale?

Main article: Islamic view of David
David (Arabic داود, Dāwūd) is a highly important figure in Islam as one of the major prophets sent by God to guide the Israelites. David is mentioned several times in the Qur'an, often with his son Solomon. The actual Arabic equivalent to the Hebrew Davīd is Wadūd, which means beloved. This happens to be a Sifat (Attribute) of God in the Qur'an.In the Qur'an: David killed Goliath (II: 251), Goliath was a powerful king who used to invade random kingdoms and villages. Goliath was spreading evil and corruption. When David killed Goliath, God granted him kingship and wisdom and enforces it (XXXVIII: 20). David is made God's "vicegerent on earth" (XXXVIII: 26) and God further gives David sound judgment (XXI: 78; XXXVII: 21–24, 26) as well as the Psalms, which are regarded as books of divine wisdom (IV: 163; XVII, 55). The birds and mountains unite with David in uttering praise to God (XXI: 79; XXXIV: 10; XXXVIII: 18), while God instructs David in the art of fashioning chain-mail out of iron (XXXIV: 10; XXI: 80). Together with Solomon, David gives judgment in a case of damage to the fields (XXI: 78) and David judges in the matter between two disputants in his prayer chamber (XXXVIII: 21–23). Since there is no mention in the Qur'an of the wrong David did to Uriah nor is there any reference to Bathsheba, Muslims reject this narrative.[54]

Muslim tradition and the hadith stress David's zeal in daily prayer[55] as well as in fasting. Qur'an commentators, historians and compilers of the numerous Stories of the Prophets elaborate upon David's concise Qur'anic narratives and specifically mention David's gift in singing his Psalms as well as his musical and vocal talents. His voice is described as having had a captivating power, weaving its influence not only over man but over all beasts and nature, who would unite with him to praise God.[56]
 
Nimekuulizeni swali doogo sana! Lkn juu ya kujifanya mna elimu mmeshindwa kulijibu!
Narudia tena,
Haonuliowataja hapo juu, ili tukubaliane na maneno yao. Kuna kanuni ndooogo YA MUHIMU SAANA KTK ULIMWENGU,
nayo ni KILA MWANDISHI WA DOCUMENTS YOYOTE LAZIMA TENA LAZIMA AWE NA MAJINA (kwa uchache) MAWILI, Yaani la kwake na la BABA YAKE! AU LA UKOO WAKE!!
HII NI KANUNI!

SASA NAOMBA NYIE WAKRISTO WOOTE MNIPE MAJINA YA PILI YA HAWA WAANDISHI WA BIBLIA!.

1.MATTHEW....?
2.JOHN.......?
3.MARK ........?
4.PETER......?
na pia huyu LUKA ......who?

wewe ukipewa cheque ya jina moja utapokea?
Passport yako ikiwa na jina moja ni halali?
Driving licence ikiwa na jina moja itakubalika??
Certificate yyt ya elimu ikiwa na jina moja nani ataikubali??

Umeshawahi kuona Hata KITABU CHA HADITHI ZA WATOTO MWANDISHI ANA JINA MOJA TU!?

NITAJIE LEGALL DOCUMENT YOYOTE DUNIANI AMBAYO MWANDISHI KAWEKA JINA MOJA TU,!!

HAKUNA!!

HUWEZI KUPATA! ISPOKUWA BIBLIA PEKE YAKE!

ISN'T THAT SOMETHING YOU SHOULD ASK YOURSELF BEFORE SAID ANYTHING??

CAN ANY OF YOU EXPLAIN THAT??!!
cc Eiyer MaxShimba Nicholas @yerikco nyerere na mgalatia yyt!
hapo pazito.umepigilia msumari wa inchi 9;
 
Last edited by a moderator:
Nyie mnaiamini Torah Je niambie Musa ana majina mangapi
His father was Amram,His mother was Jochebed,His wife was Zipporah,his sons were Gershom and Eliezer,his brother was Aaron,and his sister was Miriam
Ex 6:16,18,20;2:7
Hebrews 11:23
Exodus 2:1...
 
Obsession ya Ulungata..headless dhidi ya Yesu ipo Juu hadi sasa anaisuta Al-Kitab kwa uongo ..kutkuwa na akili ni kiini ch akukufuru..Umechukua aya za atheist vibaya ,ukidhani unapinga Biblia kubmbe sasa umefikia kupinga yaliyoandikwa ktk al-kitab.Najua huogopi kwa vile unajua nani kaandika.
 
Umepata aibu,baada ya kuitoa aya kwa kiswahili,Maneno ya shetani yanaondolewa,halafu mwenyewe Mungu,anayahakikisha kama yako sawa,ndio yanawafikia waumini.

Aibu ya nini wakati ,hata ktk copy ya kiswahili tafsiri si km yako...by the waya nasoma copy aliyodhamini king abdullah..kwa jaili ya makafir..yaani ile opy iliyotakswa na kuondolea ugly words.

Sasa kwa akili yako unadhani kiswahili ch aaya nilizoandika ndio uliyoweka?wewe kweli ipo kasoro...slave wa allah..uliyejisalimisha kwa mohamed.

We call our God father..are jealous?Wengi wa waislam wana wivu sana ndio maana wakikaa wanaota mkristu awajibu matusi wakachoem makanisa ili yapungue....haha
 
Tofauti yetu kati yetu ni ndogo.....lakini pana....
  • ukristo haukuwepo wakati yesu alipokua hai....hakuufundisha yeye alipokuwepo duniani...ukristo huu mnaofuata sasa ni dini iliyokuja baada ya mkutano wa Nicaea .bali ni dini mpya ambayo haina uhusiano na mitume walopita, yaani ukristo ni tofauti na dini ya Ibrahim, Mussa,Nuh na wengineo...ni dini mpya kabisa ndio maana hio dini haina mizizi pale walipo toka mitume ...rejea historia yenu ya mkutano wa kwanza wa christians huko Nicaea. huu ndio ulokuja na hii dini mpya ...ukitaka usitake huu ndio ukweli na haya makubaliano yalikuja baada ya vurugu na mauaji ya wazungu wenyewew kwa wenyewe na ushenzi mwingi huko nyuma , hivo walikaa pamoja ku create dini ambayo itawaunganisha....hivyo paulo akafit katika hili..na ndio mwanzo wa dini hii.
  • uislam kama ulivo ni original toka day one Quaran imebaki moja na imeendelea kuwa hivo hadi leo. pia uislam ni dini kongwe ile ilokua ikifatwa na Mussa, Yessu , Ibrahim , Nuh nk dini ya kuwa Mungu ni mmoja na hana mshirika.....na amekuwa akichagua miongoni mwa wanadamu zaidi wana Israel kuwa Mitume wake.
hio ndio tofauti yetu...kwa ufupi mnafata dini mpya na sio alokuja nayo yesu....na huku afrika ililetwa wakati wa kinyanganyiro cha afrika na wazungu wakoloni waliona njia nzuri ni kuwabatiza waafrika kama njia ya kuwatawala ...

Haha...wwe ni mwehu....sas shida yako nini?Yesu aliwataka wanafunzi wake wa shuhudie yote na kwenda kuyatangaza kwa mataifa....Sasa ulitegemea nini?Ulitaka wahubiri wakatai mhubiri mkuu alikuwepo?Ulitaka wakafundishie halafu sehemu Muhimnu ya Kifo na Kufufuk kwa Yesu akashuhudie nani?Km wehu km nyie leo mnapinga walichoshuhudia km hawakushuhudia ingekuweje?Yesua liona mbali kuliko mohamed..ndio maana leo dini yenu ni hapahapa...tena haitakiwi toka mbali nje ya tropics....Mtashindwa funga na kufungua, mtashindwa tiem adhana.


Acehni ujinga nyie....Quran yenyewe yenyewe inasema kuwa imebadilishwa aya baada ya shetani kuweka zake...kwanza Quran haijakamilika..wale jamaa wa Al-Badr waliokwenda ktk vita zenuzisizo na kichwa hadi miguu(Bora tuu majinn yapate damu) walikufa na mistari waliyokariri..HUwa nyie huwa mnasema kifuani sijui kumbukumbu zinakaa kifuani.Ndipo ikapita Amri magaidi wote wakusanyike..kila mtu aanze rudia quran, mwenye mistrari iliyokubalika zaidi ikachukuliwa na kuandika.Zilikuwa copy kibao za quran...ile waliyoona best wakaichukua na kuchoma nyingine.Ndio maana hadi leo waislam ani so distructive,huwa wanachoma kila kitu...Kadanganyane na watumwa/mateka wa mohamed na allah..Wenye akili hawanunui huo ujinga.

Dini kongwe hata bantu union wanasema hivyo,hata freemasons na animists engi wanaamini hivyo..Ila so fara kihistoria wahindi ndio wamekaa muda mrefu....ila Uislam unaanzaia ktk NGUZO 5 +ya 6 ya JIhad(Ugaidi)....otherwise utakuwa umejidanganya sana.Juu hadpo nimewapa majibu ..ila kwa vile mmejisalimisha lazima mkubali upotoshaji ata iwe kifo.

Conclusion ya km ya nyumbu..hakuna Yesu hakuhubiri dini km fikra za kiislam zinavyolazimisha kuamini dini..Injil si dini, na Injil ni Neno ..yesu mwenyewe alikuwa Injil.....kwa nini tena mtu ahitaji dini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom