UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
ok! MIMI MWEHU! WE MWENYE AKILI UNASEMA YESU ALIKUWA ANAJIITA MWENYEWE KUWA NENO! SIO?? YAANI YESU NI MUNGU AU SIO?? NA AKISEMA AMETUMWA BILA HIARI YAKE :ANA MAANA KAJITUMA MWENYEWE SIO?

HEBU NIFAFANULIE NA HAPA SASA!!

YOHANA 7:28
Basi, Yesu alipokuwa anafundisha Hekaluni alipaaza sauti na kusema, "Ati mnanijua; hata nilikotoka mnakujua! Hata hivyo, sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe; ila yeye aliyenituma mimi ni wa kweli, nanyi hamumjui!!

HUYU YESU ANAESEMA " NANYI HAMUMJUI NI NANI??

NA HAPA YESU ANDIKO LINASEMA:Mathayo 27.45-50

Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

SASA WEWE MWENYE AKILI NYINGI, NA USIE MWEHU NAKUULIZA! HAPA YESU ALIKUWA ANAJIITA MWENYEWE SIO???

NA KWA KUMALIZIA TU! NYIE WENYE AKILI NYINGI SI HUWA MNAVAA ILE MISALABA SIO!
Ama utumiaji wa msalaba katika kuvaa umezagaa kabisa kwa Wakristo wa zamani na wa sasa. Kufanya hivyo kwao ni kukumbuka kule kusulubiwa kwa Yesu kwa ajili ya dhambi za wanadamu nao waingie katika kusamehewa dhambi zao hapa duniani na kurithi uzima wa milele Siku ya Qiyaama. Hata hivyo, tukisoma katika Biblia tunapata kuwa Yesu hakusulubiwa kwani aliyesulubiwa atakuwa amelaaniwa. Hebu tutazame mistari ifuatayo:

  1. "Kama mtu amefanya kosa la jinai linalompasa auawe na akauawa kwa kutundikwa mtini" (Kumbukumbu la Sheria 21: 23).
  2. "Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: 'Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa" (Wagalatia 3: 13).

Hakika ni kuwa wenye kuamini kuwa Yesu kasulubiwa na misalaba kwa ajili ya kusamehewa dhambi wanapingana na Biblia. Hebu tusome mistari ifuatayo:

  1. "Maana ninachotaka kwenu ni upendo na si dhabihu, kumjua Mungu na si kutoa sadaka za kuteketezwa" (Hosea 6: 6).
  2. "Basi, kajifunzeni maana ya maneno haya: 'Nataka huruma, wala si dhabihu'. Sikuja kuwaita watu wema, bali wenye dhambi" (Mathayo 9: 13).
  3. "Kama tu mngejua maana ya maneno haya: 'Nataka huruma wala si dhabihu', hamngewahukumu watu wasio na hatia" (Mathayo 12: 7).

Kwa hivyo Yesu hakuja kuwa dhabihu, yaani kuuliwa msalabani bali amekuja kuwaokoa wenye hatia waingie katika mafundisho ya haki na hivyo kupata msamaha wa Mwenyezi Mungu

SASA NAKUSISITIZA TU! KUWA MSTAARABU NA ACHA KASHFA!! We weka andiko tu! bila kulichakachua na HAKUNA
ALIYEKURUHUSU KULETA LOGIC YAKO KUBADILI MAANA!! ANDIKO LIKO WAZI!!

Mkuu mbokaleo, huo ni msumari tena msumari wa moto kwenye kidonda kudadeki!! tehe tehe tehe!

Hakuna Mgalatia hata mmoja anaweza jibu hizo hoja hapo zaidi ya kutukana matusi tehe tehe tehe!

Hiyo watoto wa mjini tunasema goli moja point tatu, lazima wake tehe tehe tehe!
 
Last edited by a moderator:
utafiti huu niwa uongo, wakupanga usio mbele wala nyuma.
mfano mzuri ni Zanzibar ambayo ni sehemu ndogo na tunajuana, amesema wanasiasa na si watendaji, lakini hata hivyo yule mwakilishi mkiristo tena mwanamke kwenye baraza la wawakilishi ameshasilimishwa? yule mbunge wa jimbo la Dole ni mkiristo pia. hivi utafiti uliufanya vipi au kutumia mfumo kristo? ukija watendaji usiseme kibao wakati huohuo ujue kuwa asilimia 98% ya wakaazi ni waislamu na asilimia mbili 2 % ni wa dini nyengine. Unategemea nini? au ndio maana Mnawaleta wakiristo kwa kivuli cha muungano ili mpate kuleta mfumo kristo na huku Zanzibar Ndio maana tuanata ka muungano wa mkataba na Tanganyika

Danganya wakotoliki wenzako, mfumo kristo upo si kwa wanasiasa tu lakini hata watendaji nawatoa maamuzi

Hayo makanisa huko znz yalianzishwa na JMT?think out of the box!Fanya tafiti yako then mwaga hapa,Huo muungano wa mkataba ukoje bora usiwepo kabisa,kila mtu ale 50 zake
 
ok! MIMI MWEHU! WE MWENYE AKILI UNASEMA YESU ALIKUWA ANAJIITA MWENYEWE KUWA NENO! SIO?? YAANI YESU NI MUNGU AU SIO?? NA AKISEMA AMETUMWA BILA HIARI YAKE :ANA MAANA KAJITUMA MWENYEWE SIO?

HEBU NIFAFANULIE NA HAPA SASA!!

YOHANA 7:28
Basi, Yesu alipokuwa anafundisha Hekaluni alipaaza sauti na kusema, "Ati mnanijua; hata nilikotoka mnakujua! Hata hivyo, sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe; ila yeye aliyenituma mimi ni wa kweli, nanyi hamumjui!!

HUYU YESU ANAESEMA " NANYI HAMUMJUI NI NANI??

NA HAPA YESU ANDIKO LINASEMA:Mathayo 27.45-50

Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

SASA WEWE MWENYE AKILI NYINGI, NA USIE MWEHU NAKUULIZA! HAPA YESU ALIKUWA ANAJIITA MWENYEWE SIO???

NA KWA KUMALIZIA TU! NYIE WENYE AKILI NYINGI SI HUWA MNAVAA ILE MISALABA SIO!
Ama utumiaji wa msalaba katika kuvaa umezagaa kabisa kwa Wakristo wa zamani na wa sasa. Kufanya hivyo kwao ni kukumbuka kule kusulubiwa kwa Yesu kwa ajili ya dhambi za wanadamu nao waingie katika kusamehewa dhambi zao hapa duniani na kurithi uzima wa milele Siku ya Qiyaama. Hata hivyo, tukisoma katika Biblia tunapata kuwa Yesu hakusulubiwa kwani aliyesulubiwa atakuwa amelaaniwa. Hebu tutazame mistari ifuatayo:

  1. "Kama mtu amefanya kosa la jinai linalompasa auawe na akauawa kwa kutundikwa mtini" (Kumbukumbu la Sheria 21: 23).
  2. "Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: 'Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa" (Wagalatia 3: 13).

Hakika ni kuwa wenye kuamini kuwa Yesu kasulubiwa na misalaba kwa ajili ya kusamehewa dhambi wanapingana na Biblia. Hebu tusome mistari ifuatayo:

  1. "Maana ninachotaka kwenu ni upendo na si dhabihu, kumjua Mungu na si kutoa sadaka za kuteketezwa" (Hosea 6: 6).
  2. "Basi, kajifunzeni maana ya maneno haya: 'Nataka huruma, wala si dhabihu'. Sikuja kuwaita watu wema, bali wenye dhambi" (Mathayo 9: 13).
  3. "Kama tu mngejua maana ya maneno haya: 'Nataka huruma wala si dhabihu', hamngewahukumu watu wasio na hatia" (Mathayo 12: 7).

Kwa hivyo Yesu hakuja kuwa dhabihu, yaani kuuliwa msalabani bali amekuja kuwaokoa wenye hatia waingie katika mafundisho ya haki na hivyo kupata msamaha wa Mwenyezi Mungu

SASA NAKUSISITIZA TU! KUWA MSTAARABU NA ACHA KASHFA!! We weka andiko tu! bila kulichakachua na HAKUNA
ALIYEKURUHUSU KULETA LOGIC YAKO KUBADILI MAANA!! ANDIKO LIKO WAZI!!

Mkuu mbokaleo, huo ni msumari tena msumari wa moto kwenye kidonda kudadeki!! tehe tehe tehe!

Hakuna Mgalatia hata mmoja anaweza jibu hizo hoja hapo zaidi ya kutukana matusi tehe tehe tehe!

Hiyo watoto wa mjini tunasema goli moja point tatu, lazima wake tehe tehe tehe!
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe mjinga mbona unajichanganya mara Yesu ni mungu mara ni neno la mungu mara neno la mungu linaumba
kijana tulizana kwenye hoja moja" YESU NI MUNGU AU SIO MUNGU" unaulizwa umekunya unasema sijachamba!

Wewe ndio unajichanganya....kwani kuwa neno huwezi kuwa Mungu.....nilianzia kwenye neno nikidhani kichw ayako inaweza digest kumbe wale viumbe wamemaliza kila kitu.

Umechagua usichokielewa ukadhani kitakusaidia jinasua...YESU NI NENO HUJAWEZA KATAA..NENO LA MUNGU LINAUMBA HUWEZI KATAA.NENO LA MUNGU LI HAI, HUJAKATAA..NENO LA MUNGU LINAMWAKILISHA MUNGU..NA NENO LA MUNGU NI MUNGU....unapotaka sifa za mtu hazimfanyi asiye mtu mwingine..NIKISEMA MIMI NI MWANAMUME NA MIMI NI BABA,NA MIMI NI BINADAMU,NA MIMI NI MCHAGA,NI MKRISTU hakuna kosa hapo...
 
kumbe tunabishana na rubbish hapa....kesho nenda kariakoo ukahesabu ghorofa moja ina mauka mangapi?Siku hizi kariakoo ina staili nairobi kuna cells tuu underground, ground floor na upstairs ,tena kuna ngazi za nje.Halfu uje na hesabu yako hapa.Wenye maduka siku hizi wanaweza sample .Na haitegemei tena mitaji..sasa hivi ni cells tuu ..store ni ghorofa zajuu kabisa au undergound majengo ambayo hayajajaa....ukubwa wa chumba kimoja cha meter nane kwa sita panweza kuwa viduka vinne upande mmoja na vinne upande wa pili...
tuipe kila ghorofa maduka 100 ukigawa kwa laki nne ni ghorofa 4000,kwa ukubwa wa kariakoo haibebi mzigo huo.
 
karibu umwabudu huyu mungu na mashetani hayatalala tena katika pua zako,
ila mungu ni roho nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Huyu mungu aliyemtuma yesu haabudiwi kwa kunawa miguu na mikono na kuingiza maji puani na kuosha ........wakati moyo ni mchafu umejaa chuki fitina uhuwaji uchochezi uongo ni shariti uoshwe moyo wako kwa damu ya yesu ndipo upate nafasi ya kumwabudu huyu mungu.

haki ya mungu nyie wagalatia sijui mna nini!
yaani we unaona mimi sina maana kuosha uso wangu na maji kabla ya kuabudu??
hebu tuliulize andiko! je kuna walionawa na kuosha nyuso na miguu yao!

au walikunywa damu tu ya yesu!!

Kutoka 40: 30-32, Mose aliweka birika la kutawadhia katikati ya hema na kutia maji ya kutawadha. Mose, Aroni na wanawe wote walinawa mikono na miguu ya humo walipoingia ndani ya hema.

halafu ngoja nikuongeze kidogo!

wewe ukiingi kanisani kunywa hiyo damu huwa unaswali vipi?? unakaa kwenye mabenchi sio!! halafu unaomba sio?? hebu tazama andiko linakufundisha vipi yesu aliswali!!

"Kisha Yesu akaenda pamoja nao bustanini Gethsemane, akawaambia wanafunzi wake, ‘Kaeni hapa nami niende pale mbele kusali'…Basi akaenda mbele kidogo akaanguka kifudifudi, akasali" (Mathayo 26: 36 – 39). Naye Abramu akasujudu (Mwanzo 17: 3). Yoshua akainama chini akasujudu (Yoshua 5: 14). Naye Elia akapanda juu ya mlima Karmeli, na huko akainama hadi chini na kuuweka uso wake katikati ya magoti yake (1 Wafalme 18: 42).

haya mgalatia, na wewe unatakiwa uanguke kifudifudi kama waislamu na kama yesu!
 
waislam mpo desperate:
-King Abdullah na ghaddafi waliwahi to hela kwa professor wa kifaransa atafute kitu chenye harufu ya sayansi ktk Quran ajaribu prove kuwa Quran inaendana na sayansi..matooe yake wasilam kibao wakapata hope ya muda...

-Darwin theory of evelution inayotumika na atheist kukataa creation waislma waliichukua wakasem quran iliandika long time...na mengi sana..hata ktk ajani huwa wanaona spagheti bolognise zikisome allah...they will never come short of hopeless imagine to keep life going.

-Sasa wewe umekuja na hii habari kuwa Jesus never existed desperateley kuutetea uislam...sasa ikiwa ni kweli inamaa Quran imetoa wapi habari za Yesu....?Hii ni habari ya watu wasiotaka dini wala Mungu ndio wakaona waanzie hapo ili wajenge hoja ya kimahakama na kihistoria hadi dini ipigwe marufuku.Haswa Ukristu kwa vile uislam ni bogus kuwamanipulate ni rahisi sana....

-By the way kanisa catholic liliwahi shtakiwana kwa kumtengeneza Yesu ili watwale dunia..jamaa wakapangua..vatican wakaja na ushahidi wa kutosh akabisa kuweka Historical Jesus ,wamarekani nao kila siku wanagundua vitu kw akuchimba maeneo mbalimbali ya Israel na palestina.

Uislam ndivyo umekuwa ukihangaika kudandia kila kitu kwa vile hauna cha kupoteza as long as wanaweza halalishi watu wao namna ya kupigana vita....
mimi nimekupa link,alieandika ni mkirstu mstaafu anasema jesus didnt exist.ndo maana hata kwenye historic book hakuna history ya yesu,na wakati huo kulikua na waandishi wengi tu kwanini hawakuandika?.
 
kama wewe sio Muongo tueleze kwenye Kitabu cha Padri Sivalon kaeleza nn jinsi Mfumo Kristo ulivoandaliwa kwa kuwa ni lazima ujuwe hoja zao ndio ujuwe ku Clash? Vitu kama hivi peleka Face book hapa utaumbuka eti Reserch kwa kutembelea maduka ya kariakoo nini kilikufanya usitembelee Necta kujua Tangu kuanzishwa kwake linaongozwa na kina nani na vitengo vyote vikoje unakimbilia kuhoji dini za madereva wa Wizarani.pengine hii tafiti ilikwenda sambamba na ile tafiti feki iliyosema mko 64% mlipoombwa uthibitisho mkajificha! Tutajie lini CAG alikagua Pesa za walipa kodi zinazokwenda Makanisani kwa mgongo wa MOU kujiridhisha matumizi yake, tutajuaje kama kodi zetu zinanunulia Misalaba na biblia!

Mwenzako kaja na utafiti, wewe unaleta speculations na maswali yasiyo na kichwa wala miguu! Ni sawa yeye katembelea maduka ya kariakoo, wewe umefanya lipi kuhalalisha uharo unaoandika hapo juu!

Samahani lakini ila wewe ni mpumba.vu!
 
haki ya mungu nyie wagalatia sijui mna nini!
yaani we unaona mimi sina maana kuosha uso wangu na maji kabla ya kuabudu??
hebu tuliulize andiko! je kuna walionawa na kuosha nyuso na miguu yao!

au walikunywa damu tu ya yesu!!

Kutoka 40: 30-32, Mose aliweka birika la kutawadhia katikati ya hema na kutia maji ya kutawadha. Mose, Aroni na wanawe wote walinawa mikono na miguu ya humo walipoingia ndani ya hema.

halafu ngoja nikuongeze kidogo!

wewe ukiingi kanisani kunywa hiyo damu huwa unaswali vipi?? unakaa kwenye mabenchi sio!! halafu unaomba sio?? hebu tazama andiko linakufundisha vipi yesu aliswali!!

“Kisha Yesu akaenda pamoja nao bustanini Gethsemane, akawaambia wanafunzi wake, ‘Kaeni hapa nami niende pale mbele kusali’…Basi akaenda mbele kidogo akaanguka kifudifudi, akasali” (Mathayo 26: 36 – 39). Naye Abramu akasujudu (Mwanzo 17: 3). Yoshua akainama chini akasujudu (Yoshua 5: 14). Naye Elia akapanda juu ya mlima Karmeli, na huko akainama hadi chini na kuuweka uso wake katikati ya magoti yake (1 Wafalme 18: 42).

haya mgalatia, na wewe unatakiwa uanguke kifudifudi kama waislamu na kama yesu!
hii ya kunywa damu ya yesu na kula mwili wa yesu ilitokana na dini za kipagani watawala wa roma wakaingiza kwenye maandiko.sasa wanaofanya ibada ya kunywa damu ya mtu sijui ndo wana maanisha nini.
 
Wewe ndio unajichanganya....kwani kuwa neno huwezi kuwa Mungu.....nilianzia kwenye neno nikidhani kichw ayako inaweza digest kumbe wale viumbe wamemaliza kila kitu.

Umechagua usichokielewa ukadhani kitakusaidia jinasua...YESU NI NENO HUJAWEZA KATAA..NENO LA MUNGU LINAUMBA HUWEZI KATAA.NENO LA MUNGU LI HAI, HUJAKATAA..NENO LA MUNGU LINAMWAKILISHA MUNGU..NA NENO LA MUNGU NI MUNGU....unapotaka sifa za mtu hazimfanyi asiye mtu mwingine..NIKISEMA MIMI NI MWANAMUME NA MIMI NI BABA,NA MIMI NI BINADAMU,NA MIMI NI MCHAGA,NI MKRISTU hakuna kosa hapo...

mifano yako ni ya ajabu sana! hana maaana hata kidogo!

MWANAMME NI JINSIA NA SIO KILA MWANAMME NI BABA!
SIO KILA MWANAMME NI MCHAGA AU BABA!!
NA SIO KILA MWANAMME NI MKIRISTO!!

SASA HUWEZI KULETA MFANO KAMA HUU KWENYE MAELEZO YAKO KUHUSU YESU!!

WEWE UMESEMA YESU NI NENO,PIA NI MUNGU,
Wacha kuongezea utumbo mwingine sijui neon liko hai, sijui liko kwa mungu! hilo neon lingekuwa limekufa tungeongelea nini hapa?

THE BOTTOM LINE UMESEMA YESU NI MUNGU! AU SIO??? HEBU KATAA BASI! MANAKE NYIE WAPAROKIA KWA KIGEUGEU NDIO WENYEWE!!

NA MIMI NIMEKUONYESHA KUWA HUYO MUNGU YESU KUNA MUNGU MWINGINE ALIMTUMA!!

NIKAKUULIZA HUYU ALIYEMTUMAYESU NI NANI?? HUJANIJIBU KITU, BALI UMENIITA MIMI MWEHU!!

LKN BADO NASUBIRI JIBU!!
 
Mwenzako kaja na utafiti, wewe unaleta speculations na maswali yasiyo na kichwa wala miguu! Ni sawa yeye katembelea maduka ya kariakoo, wewe umefanya lipi kuhalalisha uharo unaoandika hapo juu!

Samahani lakini ila wewe ni mpumba.vu!
Na wewe unaona umeandika kitu chenye maana kumbe wewe ndio -------- mnene
samahani lakini ila wewe ni mpuuuuuziiiiiiiiii
 
ok! MIMI MWEHU! WE MWENYE AKILI UNASEMA YESU ALIKUWA ANAJIITA MWENYEWE KUWA NENO! SIO?? YAANI YESU NI MUNGU AU SIO?? NA AKISEMA AMETUMWA BILA HIARI YAKE :ANA MAANA KAJITUMA MWENYEWE SIO?

HEBU NIFAFANULIE NA HAPA SASA!!

YOHANA 7:28
Basi, Yesu alipokuwa anafundisha Hekaluni alipaaza sauti na kusema, "Ati mnanijua; hata nilikotoka mnakujua! Hata hivyo, sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe; ila yeye aliyenituma mimi ni wa kweli, nanyi hamumjui!!

HUYU YESU ANAESEMA " NANYI HAMUMJUI NI NANI??

Huwezi ota ukiwa ktk ndege km hujapanda..fikra za kiislam haziwezi kwenda na dunia ya leo..ndio maana uislam hautoweza kwenda nje dunia..km Yesu Alivyosema nyie ni wa hapahapa...

Yesu alisema Hawajui kwa vile kweli walikuwa hawamjui katoka wapi, na baba yake ni nani?NA alichofany abaad ay kuwaambia hivyo ni kujitambulisha kwaoufundishaji wake mkuu.

Sioni unaumia nini kuwaambi watu wapunguze kidomo domo kwa vile hawamjui..halafu akawajulisha...
NA HAPA YESU ANDIKO LINASEMA:Mathayo 27.45-50

Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Hiyo theology kwako in ngumu k utatu mtakatifu.....Yesu alikuja mlipa shetani kile ambacho kinawasumbua waislam leo Blood kwa ajili ya majinn ambayo wameingi anayo mikataba......Yesu hakuhitaji lia km waislam kuwa wakati wakufunga waondelewe kazi(chakula, wanwake, na kila kitu kiwekwe mbali ila siku ya kufungu awapate thawabu kwa kitu wasichofanya), Yesu alihitaji kula mateso km mwanadamu aliyejiuza kwa shetani angepaswa kula msoto...so lazima akose kinga ya kimungu ili ale maumivu....

nadhai hilo mnalijua kwani hata waislama hupata raha sana wanapowafanyia ukatili wakristu..sasa imagine majini yatapata raha vipi pata Damu mpya,ambayo si ya waislam ambao ni mali yao tayari.
SASA WEWE MWENYE AKILI NYINGI, NA USIE MWEHU NAKUULIZA! HAPA YESU ALIKUWA ANAJIITA MWENYEWE SIO???
Pengine unataka Onyesha kuwa allah si Mungu,ndio maana hana uwezo wa kuwa sehemu nyingi kwa mara moja, wala hawezi fanya mengi kwa pamoja.....Kumbuka Yesu ni Neno.Yesu ni Mwana wa Pekee wa Mungu, Yesu Lijishuhudia pia wamuao wamemwina Babake, ....Pia ujue Uwezo wa Mungu wa kuwa sehemu Tofauti na kwa Nafsi tofauti kwa mara Moja ndio uliofanya Yesu alipokuwa Amekufa Dunia haikusimama Eh.....

Siku hizi Sahaynsi inatuambia mengi sana kuhusu teleporting, wave duality properties of matters, states of matter nyingi sana....yote haya waislam hawajwaamsha kuona kuna mengi zadi ya Mungu common sense haiwezi jibu..Nyie mnatamba kuwa na plasma Mpya il ahamjui kwanini inaitwa Plasma.

NA KWA KUMALIZIA TU! NYIE WENYE AKILI NYINGI SI HUWA MNAVAA ILE MISALABA SIO!
Ama utumiaji wa msalaba katika kuvaa umezagaa kabisa kwa Wakristo wa zamani na wa sasa. Kufanya hivyo kwao ni kukumbuka kule kusulubiwa kwa Yesu kwa ajili ya dhambi za wanadamu nao waingie katika kusamehewa dhambi zao hapa duniani na kurithi uzima wa milele Siku ya Qiyaama. Hata hivyo, tukisoma katika Biblia tunapata kuwa Yesu hakusulubiwa kwani aliyesulubiwa atakuwa amelaaniwa. Hebu tutazame mistari ifuatayo:

  1. "Kama mtu amefanya kosa la jinai linalompasa auawe na akauawa kwa kutundikwa mtini" (Kumbukumbu la Sheria 21: 23).
  2. "Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: 'Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa" (Wagalatia 3: 13).

Hakika ni kuwa wenye kuamini kuwa Yesu kasulubiwa na misalaba kwa ajili ya kusamehewa dhambi wanapingana na Biblia. Hebu tusome mistari ifuatayo:

  1. "Maana ninachotaka kwenu ni upendo na si dhabihu, kumjua Mungu na si kutoa sadaka za kuteketezwa" (Hosea 6: 6).
  2. "Basi, kajifunzeni maana ya maneno haya: 'Nataka huruma, wala si dhabihu'. Sikuja kuwaita watu wema, bali wenye dhambi" (Mathayo 9: 13).
  3. "Kama tu mngejua maana ya maneno haya: 'Nataka huruma wala si dhabihu', hamngewahukumu watu wasio na hatia" (Mathayo 12: 7).

Kwa hivyo Yesu hakuja kuwa dhabihu, yaani kuuliwa msalabani bali amekuja kuwaokoa wenye hatia waingie katika mafundisho ya haki na hivyo kupata msamaha wa Mwenyezi Mungu

SASA NAKUSISITIZA TU! KUWA MSTAARABU NA ACHA KASHFA!! We weka andiko tu! bila kulichakachua na HAKUNA ALIYEKURUHUSU KULETA LOGIC YAKO KUBADILI MAANA!! ANDIKO LIKO WAZI!!

Wakristu wa Mwanzo walivaa samaki na wote msalaba......sioni haja ya kukufundisha mstari hadi mstari ila naamini wendawazimu ukikotoka hapa ukachukua Biblia halafu ukasoma Chaptaer nzima ya Injili n ahuko ulipopat ahiyo mistari y akumezeshwa kwa ubishi utafunguka sana.Hutaona kasoro ulizodanganywa..kwa vile aliyekupa hakukupa mistari miwili ya kabla na miwili ya baadaye.Biblia si Quran utumie hadithi kuelewa, na si Mirungi utumie Chewing Gum,Kiroba, karafuu etc kuweza sindikizia..Bibliea unasoam chapter mistari imepengwa kwa mpangilio w ajinisi matukio au historia ilivyotokea au kuelezewa.
 
Wewe ndio unajichanganya....kwani kuwa neno huwezi kuwa Mungu.....nilianzia kwenye neno nikidhani kichw ayako inaweza digest kumbe wale viumbe wamemaliza kila kitu.

Umechagua usichokielewa ukadhani kitakusaidia jinasua...YESU NI NENO HUJAWEZA KATAA..NENO LA MUNGU LINAUMBA HUWEZI KATAA.NENO LA MUNGU LI HAI, HUJAKATAA..NENO LA MUNGU LINAMWAKILISHA MUNGU..NA NENO LA MUNGU NI MUNGU....unapotaka sifa za mtu hazimfanyi asiye mtu mwingine..NIKISEMA MIMI NI MWANAMUME NA MIMI NI BABA,NA MIMI NI BINADAMU,NA MIMI NI MCHAGA,NI MKRISTU hakuna kosa hapo...
Mbona hutaki kujibu swali langu YAKOBO alikuwa na wake wangapi?
na kama ni wanne hao watoto wa hao wake zake ni watoto wa haramu?
 
Endelea kumlaza huyo mjinga mwenzako Yericko unaposeama waislamu wameandaliwa wanawake huko akhera
kunaubaya gani kwa mungu alipomwambia Adam nendeni mkazaane huko duniani alikuwa na maana wakae tu
bila kufanya hilo tendo au wewe mke wako unakaa nae tu bila ya ku do kwasababu ni tendo la aibu kwako
wacha upumbavu toa elimu hapa wacha kashfa au kama unaona ni vipi mlete mke wako kwangu nikusaidie
kukuondolea aibu ya mke wa tatu sasa hivi nina wawili nataka nitimize wanne kama YAKOBO! au baba yake
IBRAHIMU alikuwa na ngoma mbili upo hapo.

Haha kwanini hukutaka jibu haya amabyo ndio msingi wa alichochangia Yericko?

-Majinn hayatumii mavi na Damu?
-Je waislam hawayafugi n akuwa nayo?
-Mnapata wapi damu ya kuwapatia au wenywe wana jihudumia damu wapi?

Ukijibu haya maswali ndipo .tutaeelekea ktk kupata majibu kwanini kuna vurugu ktk dunia ya waislam....Ni ngumu kumeza ila ndilo suluhisho.La hat hiyo sijui mwembechai, sijui wapi na wapi....
 
waislam mpo desperate:
-King Abdullah na ghaddafi waliwahi to hela kwa professor wa kifaransa atafute kitu chenye harufu ya sayansi ktk Quran ajaribu prove kuwa Quran inaendana na sayansi..matooe yake wasilam kibao wakapata hope ya muda...

-Darwin theory of evelution inayotumika na atheist kukataa creation waislma waliichukua wakasem quran iliandika long time...na mengi sana..hata ktk ajani huwa wanaona spagheti bolognise zikisome allah...they will never come short of hopeless imagine to keep life going.

-Sasa wewe umekuja na hii habari kuwa Jesus never existed desperateley kuutetea uislam...sasa ikiwa ni kweli inamaa Quran imetoa wapi habari za Yesu....?Hii ni habari ya watu wasiotaka dini wala Mungu ndio wakaona waanzie hapo ili wajenge hoja ya kimahakama na kihistoria hadi dini ipigwe marufuku.Haswa Ukristu kwa vile uislam ni bogus kuwamanipulate ni rahisi sana....

-By the way kanisa catholic liliwahi shtakiwana kwa kumtengeneza Yesu ili watwale dunia..jamaa wakapangua..vatican wakaja na ushahidi wa kutosh akabisa kuweka Historical Jesus ,wamarekani nao kila siku wanagundua vitu kw akuchimba maeneo mbalimbali ya Israel na palestina.

Uislam ndivyo umekuwa ukihangaika kudandia kila kitu kwa vile hauna cha kupoteza as long as wanaweza halalishi watu wao namna ya kupigana vita....

ukristo unaposhambuliwa wewe ni wajibu wako kama mgalatia kuutetea, na usije tafuta msaada kwa waislamu, kwa kusema ooh huyo ni mpinga dini!! uislamu unaongezeka kwa kasi ya ajabu!! na wewe unalijua hilo fika!! wachungwaji wanaziacha firigisi huko kwenye maparokia, wanakuja kuvua viatu na kutawadha na kuanguka kifudifudi kama yesu!! sasa we kaa na ubishi wako, ujue yesu hana ujamaa na wachaga! yeye katumwa kwa waisraeli tu! unles of course wewe uwe umechanganya damu.
 
Ukijadiliana na Nicholas unaweza tapika. Anachoandika anakijua mwenyewe. Itakuwa viloba vinamsumbua huyu mla nguruwe.

haha kuna waislam kibao wanatapika wakipanda boat..nao niviroba na Nguruwe? Si useme tuu umeishiwa hoja..hujui nin tena cha kuhalalisha ugaidi na uchafu mwingine.
 
HUU UTAFITI WAKO ULISHAWAHI KUCHUNGUZA HAYA MACHACHE TU??
HEBU TUPE NA DETAILS ZA YAFUATAYO!

1.TAKWIMU ZA UONGOZI KTK WIZARA YA ELIMU, TOKA IMEANZISHWA, NA KUTOA DATA ZOTE ZA VIONGOZI?
2. UONGOZI WA BARAZA LA MITIHANI TANZANIA?
Haya mawili tu kwanza! kama hukuuona MFUMO KRISTO WAAZI KABISA!!

HALAFU ONGEZEA NA YAFUATAYO!!

1. MAUWAJI YALIOTOKEA ZANZIBAR?
2. MAUWAJI YA MWEMBE CHAI?.

Ndio utaona kuwa huo utafiti wako si lolote la maana!
Nina hakika ukijibu haya utajibu hii ya kujipeleka ktk huo umwagajiw a damu:

-Majinn hayatumii mavi na Damu?
-Je waislam hawayafugi n akuwa nayo?
-Mnapata wapi damu ya kuwapatia au wenywe wana jihudumia damu wapi?

Weye mikataba na hivi roho siku zote wasipo supply damu wao huanza dhurika...sababu za kuwasingizia wengine ni janja ya shetani kubaki nanyi..
 
Haha kwanini hukutaka jibu haya amabyo ndio msingi wa alichochangia Yericko?

-Majinn hayatumii mavi na Damu?
-Je waislam hawayafugi n akuwa nayo?
-Mnapata wapi damu ya kuwapatia au wenywe wana jihudumia damu wapi?

Ukijibu haya maswali ndipo .tutaeelekea ktk kupata majibu kwanini kuna vurugu ktk dunia ya waislam....Ni ngumu kumeza ila ndilo suluhisho.La hat hiyo sijui mwembechai, sijui wapi na wapi....
mi kwakweli nachojua wakristo ndo hunywa damu,kama kile kimkate wanachokiitwa mwili wa bwana we unaita mavi,then it is ok with me.
 
We kilaza kama ISMAIL ni mtoto wa haramu na wale wana kumi na mbili wa israel watoto wa YAKOBO utawaitaje
na amezaa na wanawake wangapi na yeye alikuwa malaya jibu swali acha ujanja ujanja.

Mbon aunakuwa mbogo tena....?kwani uislam hauna sifa za mtoto haramu....?au unatak sema kuwa hata kijakazi wako ni halali yako kingono?Huji kumchukua mwanamke bila ndoa pia ni shida?kwani Abrahamu hakuwa na wafanyakazi wenye imani wamfungishe ndoa?Nduguze nao pia si walikuwa waamini?

Mkewe Aliozeshwa kuanzia kwa wazazi hadi ,Na Mungu aliyemwambia kuwa lazima apate mtoto...
 
Haha kwanini hukutaka jibu haya amabyo ndio msingi wa alichochangia Yericko?

-Majinn hayatumii mavi na Damu?
-Je waislam hawayafugi n akuwa nayo?
-Mnapata wapi damu ya kuwapatia au wenywe wana jihudumia damu wapi?

Ukijibu haya maswali ndipo .tutaeelekea ktk kupata majibu kwanini kuna vurugu ktk dunia ya waislam....Ni ngumu kumeza ila ndilo suluhisho.La hat hiyo sijui mwembechai, sijui wapi na wapi....
Sasa ili nikujibu naomba uniletee ushahidi wa haya uliyoyaandika kupitia kitabu changu(QURAN)
au hadithi ili tusipelekane kibubusa kama munavyo pelekwa kule kanisani ukihoji swali kwa mchungaji
unambiwa kijana unapepo mchafu tena shindwaaaaaaaa ha ha haa lete ushahidi kijana wa kigalatia!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom