UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
ok! MIMI MWEHU! WE MWENYE AKILI UNASEMA YESU ALIKUWA ANAJIITA MWENYEWE KUWA NENO! SIO?? YAANI YESU NI MUNGU AU SIO?? NA AKISEMA AMETUMWA BILA HIARI YAKE :ANA MAANA KAJITUMA MWENYEWE SIO?

HEBU NIFAFANULIE NA HAPA SASA!!

YOHANA 7:28
Basi, Yesu alipokuwa anafundisha Hekaluni alipaaza sauti na kusema, "Ati mnanijua; hata nilikotoka mnakujua! Hata hivyo, sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe; ila yeye aliyenituma mimi ni wa kweli, nanyi hamumjui!!

HUYU YESU ANAESEMA " NANYI HAMUMJUI NI NANI??

NA HAPA YESU ANDIKO LINASEMA:Mathayo 27.45-50

Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

SASA WEWE MWENYE AKILI NYINGI, NA USIE MWEHU NAKUULIZA! HAPA YESU ALIKUWA ANAJIITA MWENYEWE SIO???

NA KWA KUMALIZIA TU! NYIE WENYE AKILI NYINGI SI HUWA MNAVAA ILE MISALABA SIO!
Ama utumiaji wa msalaba katika kuvaa umezagaa kabisa kwa Wakristo wa zamani na wa sasa. Kufanya hivyo kwao ni kukumbuka kule kusulubiwa kwa Yesu kwa ajili ya dhambi za wanadamu nao waingie katika kusamehewa dhambi zao hapa duniani na kurithi uzima wa milele Siku ya Qiyaama. Hata hivyo, tukisoma katika Biblia tunapata kuwa Yesu hakusulubiwa kwani aliyesulubiwa atakuwa amelaaniwa. Hebu tutazame mistari ifuatayo:

  1. "Kama mtu amefanya kosa la jinai linalompasa auawe na akauawa kwa kutundikwa mtini" (Kumbukumbu la Sheria 21: 23).
  2. "Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: 'Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa" (Wagalatia 3: 13).

Hakika ni kuwa wenye kuamini kuwa Yesu kasulubiwa na misalaba kwa ajili ya kusamehewa dhambi wanapingana na Biblia. Hebu tusome mistari ifuatayo:

  1. "Maana ninachotaka kwenu ni upendo na si dhabihu, kumjua Mungu na si kutoa sadaka za kuteketezwa" (Hosea 6: 6).
  2. "Basi, kajifunzeni maana ya maneno haya: 'Nataka huruma, wala si dhabihu'. Sikuja kuwaita watu wema, bali wenye dhambi" (Mathayo 9: 13).
  3. "Kama tu mngejua maana ya maneno haya: 'Nataka huruma wala si dhabihu', hamngewahukumu watu wasio na hatia" (Mathayo 12: 7).

Kwa hivyo Yesu hakuja kuwa dhabihu, yaani kuuliwa msalabani bali amekuja kuwaokoa wenye hatia waingie katika mafundisho ya haki na hivyo kupata msamaha wa Mwenyezi Mungu

SASA NAKUSISITIZA TU! KUWA MSTAARABU NA ACHA KASHFA!! We weka andiko tu! bila kulichakachua na HAKUNA ALIYEKURUHUSU KULETA LOGIC YAKO KUBADILI MAANA!! ANDIKO LIKO WAZI!!

Vitu kama hivi ndio vinawasukuma kufuta Mihadhara, Zamani kuwaonesha Maandiko haya iliitwa Kashfa, Baada ya hukumu ya Dibagula Court of Appeal, siku hizi ukiwaonesha haya Mnaandiko inaitwa Uchochezi na Uvunjifu wa Amani, Kazi yao wakikutana ni Kelele za Kwaya eti hakuna Mwanaume kama yesu halafu hapo hapo wanasema Yesu Mungu wakat washasema ni Kidume kisicho mfanowe!
 
Ha ha haa makubwa hakuwa mkristo kwasababu alikuwa na ngoma nne fine
niletee ushahidi Yesu alikuwa mkristo au alileta ukristo ukishindwa m PM
rastafari akusaidie lakini hajui kitu zaidi ya bangi na yuko online namuona.

ujajichekesha nini sasa.Naona unakibaraguza tuu n akuhama kila angle huku kote ukishindwa.

Yesu Ni Kristu na hawezi kuwa tena wa Kristu......yeye ni ila kitu...Wakati kikomaa kumuita Mohamamed mtume..YESU ni Ujumbe wenyewe/Ni Neno......

Pole sana.hata humjui Kristu..Chukua Biblia kijana usome uliw aumetuliza akili acha kupelekeshwa na watu posessed.
 
Hata kama w2 2namawazo tofauti,mwisilamu mwenzio kama ww ndo anaweza kuku support;
4me; Yericko nyerere; huna maarifa.na kama umepata elimu either formal or informal,elimu yako ni bure! Ni bora usingesoma!/kujifunza.sijawh kumwambia m2 yyte humu ni ww wa kwanza bt i'm sorry!
mi nadhani yericko arudi tu kwenye siasa,haya mambo mengine yanamuexpose sana.
 
ujajichekesha nini sasa.Naona unakibaraguza tuu n akuhama kila angle huku kote ukishindwa.

Yesu Ni Kristu na hawezi kuwa tena wa Kristu......yeye ni ila kitu...Wakati kikomaa kumuita Mohamamed mtume..YESU ni Ujumbe wenyewe/Ni Neno......

Pole sana.hata humjui Kristu..Chukua Biblia kijana usome uliw aumetuliza akili acha kupelekeshwa na watu posessed.
ataitwaje kristo wakati ni myahudi na sio mgiriki.?
 
Kwanza kwa tafsiri ya kawaida ya "mfumo kristu" ni "utaratibu unaotumika kuongoza/kutawala mahali/watu kwa misingi ya dini ya kikristu"

Nchini Tanzania kumekuwepo na madai kuwa Tanzania "ni ya mfumo kristu",

Madai haya ni mazito na yanahitaji majibu yakinifu kutoka serikalini kwakuwa yanagusa imani za watu, yana athiri uchumi wetu, yana athiri siasa za nchi yetu, yana athiri elimu yetu pia yana athiri ajira nchini, lakini serikali imekuwa kimya kwa mda mrefu sasa,
.....!
Mkuu Yericko

Zanzibar ni nchi jirani. Huenda utakapoitoa katika orodha ya sehemu(mikoa) uliyoitolea mifano na kuingiza sehemu nyingine(mikoa mingine) tunaweza kuanza kushughulikia tatizo litakaloipa wakati mgumu sana Tanganyika mpya.

Kwa maoni yangu, Zanzibar wamesaidia sana kuziba ufa wa uwiano, kama tumefikia hatua ya kukubali au kubariki uwiano wa kidini, na tutakapoitoa Zanzibar ndio tunaweza kuchora mchoro utakaotoa sura halisi kama nchi inafata mfumo pendelefu au wenye kutoa fursa sawa kwa raia wote.

Kwa mfano ondoa wabunge wa Zanzibar katika bunge halafu fanya uwiano wa kidini. Kwa kweli umeanzisha mada ambayo haionekani kuwa umejizatiti kuonesha uwiano kama uwiano huo ni wakristo wangapi, waislamu wangapi.

Je wewe ni muumini wa uwiano wa kidini? Au ni muumini wa fursa, haki sawa Kwa raia wote,wenye dini na wasio na dini?
 
hiyo ndo akili ya kuua mungu !?.....wagalatia kweli mlirogwa siyo bure !

Mtaskip sana:Nimekuuliza Km unataka lipa denu la mtu anayetakiwa wekwa lupango miezi kadhaa na huan hela ya kulipa utalipa nini?Sasa umeshindwa umeamua kuongeza swali lisilo na kichwa wala miguu....waulize waliowekea watu dhamana wakasepa halfu wakakosa cha kulipa..haijalishi wewe ni nani kufidia deni unakwenda kula mvua kwa ajili yake.kamuulize hakimu....huo ndio fumo kristu wa haki......haujalishi nani wala nani.Kama umeingia kulipa denu utalipa.
 
Shikamoo Nicholas bingwa wa kuharisha
 
Last edited by a moderator:
Vitu kama hivi ndio vinawasukuma kufuta Mihadhara, Zamani kuwaonesha Maandiko haya iliitwa Kashfa, Baada ya hukumu ya Dibagula Court of Appeal, siku hizi ukiwaonesha haya Mnaandiko inaitwa Uchochezi na Uvunjifu wa Amani, Kazi yao wakikutana ni Kelele za Kwaya eti hakuna Mwanaume kama yesu halafu hapo hapo wanasema Yesu Mungu wakat washasema ni Kidume kisicho mfanowe!
kidume kwelikweli.
http://jamestabor.com/2012/08/20/who-was-the-mysterious-disciple-whom-jesus-loved/
 
ataitwaje kristo wakati ni myahudi na sio mgiriki.?

haha .........umenikumbusha hii kali:
[h=3]No need to cleanse your anus when done in a river.[/h]naona utakuwa bahari unajinafsi halafu unasimama unasepa..ndio pwani hamjengi vyoo...
Utapata Shida : Kristus, ni kilatini, kigiriki kumaanisha Massiha....kigiriki ilikuwa ni lugha ya wasomi Enzi ya Yesu na ndio maana sehemu kubwa ya machapisho ya mwanzo yaliandikwa kigiriki ,ingawa mengi yaliandikwa kiharamaiki lugh ya wayahudi enzi ile.Kilatini kilikuwa ni lugha ya wakoloni wa enzi ile warumi.

Si Muda utaniambia Pia kwanini nasema Yesu wakati alipaswa itwa Yeshua.....sasa unaanza kimbilia Tafsiri ya lugha.
 
soma link hapo juu,jehova gives dogsh*t.

naona unayohasira sana upo tayari hata kukufuru ukidhani unatoa majibu hapa..desperately unachukua material ya atheist .umtukana Yehovah..Mungu wa Israel.Ibrahim na Adamu...na hii ni kawaida yenu kwa vile allaha si Yehovah.Ingawa mara kibao ana enjoy kujitambulisha kam Yehsova ili ajisikie vyema..Iblis ndicho kilichomshinda kwa Mungu,Ndio akaja wakusanya nyie..mara moja moja naye hupenda kuosha ,wakimstukia basi huanza vuruga kila kitu na kukufuru kila kitu..Eti katukanwa, wamemkufuru etc..

Check wenzio wanavyoteseka na majinn...hawaaminiaji hata ni jinsi gani ya kuwatuliza.yupi swaitan yupi jinn km wanavyopenda jidai kuwa kuna wazuri na wabaya.

7 Muslim Jinn Exorcist Interviews - Bilal Philips
All about Jinn Part 1
 
hata yesu hakua mkirsto.wakristo wa mwanzo walitokea ANTIOKIA.

Haha yeye Ndiye Kristu ambaye John The Baptist aliwatuma watu wakamuulize ndiye...?Sasa wakristu wa mwanzi si Kristu wa mwanzo..YEYE NDIEY KRISTU NA WENGINE NI WA-WAFUASI WA KRISTU

Ndelea kula funny hapa:http://wikiislam.net/wiki/Qur'an,_Hadith_and_Scholars:Toilet_Etiquette#Do_not_use_dung_or_bones

Tembelea hii site sana:huwa wana update sana habari za ugaidi dunia.Hata za Zenj zipo....najua utaona iabu au woga kwani wenzako wakikuta unasoma watakuchapa fimbo sana.
Maini page hii hapa:http://wikiislam.net/wiki/Main_Page
 
naona unayohasira sana upo tayari hata kukufuru ukidhani unatoa majibu hapa..desperately unachukua material ya atheist .umtukana Yehovah..Mungu wa Israel.Ibrahim na Adamu...na hii ni kawaida yenu kwa vile allaha si Yehovah.Ingawa mara kibao ana enjoy kujitambulisha kam Yehsova ili ajisikie vyema..Iblis ndicho kilichomshinda kwa Mungu,Ndio akaja wakusanya nyie..mara moja moja naye hupenda kuosha ,wakimstukia basi huanza vuruga kila kitu na kukufuru kila kitu..Eti katukanwa, wamemkufuru etc..

Check wenzio wanavyoteseka na majinn...hawaaminiaji hata ni jinsi gani ya kuwatuliza.yupi swaitan yupi jinn km wanavyopenda jidai kuwa kuna wazuri na wabaya.

7 Muslim Jinn Exorcist Interviews - Bilal Philips
All about Jinn Part 1
jehova was a pagan's god.
 
Haha yeye Ndiye Kristu ambaye John The Baptist aliwatuma watu wakamuulize ndiye...?Sasa wakristu wa mwanzi si Kristu wa mwanzo..YEYE NDIEY KRISTU NA WENGINE NI WA-WAFUASI WA KRISTU

Ndelea kula funny hapa:Qur'an, Hadith and Scholars:Toilet Etiquette - WikiIslam

Tembelea hii site sana:huwa wana update sana habari za ugaidi dunia.Hata za Zenj zipo....najua utaona iabu au woga kwani wenzako wakikuta unasoma watakuchapa fimbo sana.
Maini page hii hapa:WikiIslam
yohana mbatizaji alitumaje watu wakamuulize wakati ni YEYE YOHANA ALIMBATIZA YESU?,yaleyale waandishi wanatofautiana.
 
the guestion is ,did jesus had a relationship with the so called,''the disciple whom jesus loved''.?

very general na stupid question: Desciple-teacher is a relationship on itself unataka ipi sasa?Si usema tuu nini umekaririshwa,ndio staili yenu ya ku introduce lie..kwa jinsi ulivyo desperate upo tayari kuonyesha kuwa si wa Mungu na Yesu kwa jinsi utakavyoandika hata vitu visivyoweza bebwa tena na lies za islam.....uislam si dini moja na ukristu..wala hawafuati mungu mmoja.Ndio maana wengine ni wa mugu wa kifo wengine na uhai..mwingine ni wa shari mwingine ni amani..oposite.
 
hiyo ndo akili ya kuua mungu !?.....wagalatia kweli mlirogwa siyo bure !

hapo umepewa majibu umesepa unabaki kurudiarudia:hembu soma hapa halafu useme utajitete vipi kuhusu funny side ya islam:WikiIslam

Ukimalize kalishe majinn...sijui utawapa kimba, mifupa, utaenda loga watu, utachinja au utaenda sababisha ajlo ila viumbe wako kawalishe.
 
yohana mbatizaji alitumaje watu wakamuulize wakati ni YEYE YOHANA ALIMBATIZA YESU?,yaleyale waandishi wanatofautiana.

Yohan alikuwa gerezani by the time Yesu anaanza Ministries yake.Ingawa alimbatiza n akuon amaajabu hakuona kazi yake hata moja baadaye.Yohana alibatiza mamia ya watu kwa siku..ingawa alishtuka kumfikia Yesu ila hakujua alielekea wapi baada ya hapo..na siku alipoanza sikia habari alitak ajua kuwa ni yule aliyetumwa na yeye kumbatiza au ?
 
very general na stupid question: Desciple-teacher is a relationship on itself unataka ipi sasa?Si usema tuu nini umekaririshwa,ndio staili yenu ya ku introduce lie..kwa jinsi ulivyo desperate upo tayari kuonyesha kuwa si wa Mungu na Yesu kwa jinsi utakavyoandika hata vitu visivyoweza bebwa tena na lies za islam.....uislam si dini moja na ukristu..wala hawafuati mungu mmoja.Ndio maana wengine ni wa mugu wa kifo wengine na uhai..mwingine ni wa shari mwingine ni amani..oposite.
why does the bible specify this disciple?why they hide his name of this disple who was leaning on jesus chest very romantically?.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom