UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
the guestion is,what do you have to say about CONTRADICTION IN THE BIBLE.

Is gospel in the bible a story based on hearsay or the word of god.

Bro! That question you will never get the answer frm Geeky !
All you will get is bla..bla..bla..!
And the story of majini kutoka kwa Nicholas ! Anaependa pombe kuliko chakula!
Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Nimekuulizeni swali doogo sana! Lkn juu ya kujifanya mna elimu mmeshindwa kulijibu!
Narudia tena,
Haonuliowataja hapo juu, ili tukubaliane na maneno yao. Kuna kanuni ndooogo YA MUHIMU SAANA KTK ULIMWENGU,
nayo ni KILA MWANDISHI WA DOCUMENTS YOYOTE LAZIMA TENA LAZIMA AWE NA MAJINA (kwa uchache) MAWILI, Yaani la kwake na la BABA YAKE! AU LA UKOO WAKE!!
HII NI KANUNI!

SASA NAOMBA NYIE WAKRISTO WOOTE MNIPE MAJINA YA PILI YA HAWA WAANDISHI WA BIBLIA!.

1.MATTHEW....?
2.JOHN.......?
3.MARK ........?
4.PETER......?
na pia huyu LUKA ......who?

wewe ukipewa cheque ya jina moja utapokea?
Passport yako ikiwa na jina moja ni halali?
Driving licence ikiwa na jina moja itakubalika??
Certificate yyt ya elimu ikiwa na jina moja nani ataikubali??

Umeshawahi kuona Hata KITABU CHA HADITHI ZA WATOTO MWANDISHI ANA JINA MOJA TU!?

NITAJIE LEGALL DOCUMENT YOYOTE DUNIANI AMBAYO MWANDISHI KAWEKA JINA MOJA TU,!!

HAKUNA!!

HUWEZI KUPATA! ISPOKUWA BIBLIA PEKE YAKE!

ISN'T THAT SOMETHING YOU SHOULD ASK YOURSELF BEFORE SAID ANYTHING??

CAN ANY OF YOU EXPLAIN THAT??!!
cc Eiyer MaxShimba Nicholas @yerko nyerere na mgalatia yyt!

Nyie mnaiamini Torah Je niambie Musa ana majina mangapi
 
Last edited by a moderator:
Nyie mnaiamini Torah Je niambie Musa ana majina mangapi

Why unaniuliza swali la torah wakati hujajibu swali langu??
Na mimi ni muislamu sio myahudi!

Nakuomba usikimbie swali! Kwa kuniuliza swali!
Musa ana jina la baba yake ndani ya quraan!
Wewe nipe majibu yangu kwenye biblia!!
 
There are no contradictions it's the word of God, sio hadith kama mnafahamiana mnavyoita hadith za mtume or mazimulizi ya mtume fulani. We do believe it is the inspired word of God. These deciples have made it clear in every book: that they bear account of the things they saw.
All these books were of course written as letters or nyaraka kwa makanisa au hata kwa watu maalum waliohitaji kujua mambo yalivyotokea wakati wa Yesu but we maintain they are indeed inspired and not false reports as you say because many if not all of those very apostles like Peter, Paul, John all died witnessing the gospel it makes no sense why would they lie about it. Here is an excerpt from Luke 1:1

1 Forasmuch as many have taken in hand to set forth in order a declaration of those things which are most surely believed among us,

2 Even as they delivered them unto us, which from the beginning were eyewitnesses, and ministers of the word;

3 It seemed good to me also, having had perfect understanding of all things from the very first, to write unto thee in order, most excellent Theophilus,

4 That thou mightest know the certainty of those things, wherein thou hast been instructed.

And all the books always start with introduction as to whom those words were sent. eg The book of
Timothy to Timothy ( who is believed to have been a bishop at the time) .
--the book of Romans to the church of Rome etc.
-----------------
Luke anaonesha wazi kwamba Anaandika alioyaona na kusikia kwa Yesu.

Also here:

Peter endorses Paul and warns Christians of people who pervert scriptures like you want to.

2 Peter 3:14-16
King James Version (KJV)
--------------
14 Wherefore, beloved, seeing that ye look for such things, be diligent that ye may be found of him in peace, without spot, and blameless.

15 And account that the longsuffering of our Lord is salvation; even as our beloved brother Paul also according to the wisdom given unto him hath written unto you;

16 As also in all his epistles, speaking in them of these things; in which are some things hard to be understood, which they that are unlearned and unstable wrest, as they do also the other scriptures, unto their own destruction.
oooh,ok ok,zilikua ni barua ama nyaraka in other words SIO MANENO YA MUNGU.ni watu tu wanaandikiana nyaraka,kama ni hivyo ntakubaliana nawe.unajua nilitaka kushangaa,nikawa najiuliza hivi kweli kama haya maneno mungu ndo amesimamia uandikwaji wake inakuaje yanakua na mapungufu mengi kiasi hicho.kwasababu najua mungu ni mkamilifu sasa anaweza vipi kujicontradict?KUMBE ZILIKUA NYARAKA WATU WANAANDIKIANA.mwenye kuongeza chumvi sawa,mwenye kupitwa na baadhi ya matukio sawa.

Sasa kwanini unafuata kitabu chenye mkusanyiko wa barua za watu ?
 
Hapa kaka utakesha!
Hakuna wa kukupa jibu hata mmoja!
Kwa haya maswali yako wale wakolosai
Sasa hivi utaona wanakwambia ...ohh una majini ....ohh kuna wake wengi wanakusubiri etc!
Teh teh teh teh!
Jamani Ugalatia balaa! Duhhh!
 
Nimekuulizeni swali doogo sana! Lkn juu ya kujifanya mna elimu mmeshindwa kulijibu!
Narudia tena,
Haonuliowataja hapo juu, ili tukubaliane na maneno yao. Kuna kanuni ndooogo YA MUHIMU SAANA KTK ULIMWENGU,
nayo ni KILA MWANDISHI WA DOCUMENTS YOYOTE LAZIMA TENA LAZIMA AWE NA MAJINA (kwa uchache) MAWILI, Yaani la kwake na la BABA YAKE! AU LA UKOO WAKE!!
HII NI KANUNI!

SASA NAOMBA NYIE WAKRISTO WOOTE MNIPE MAJINA YA PILI YA HAWA WAANDISHI WA BIBLIA!.

1.MATTHEW....?
2.JOHN.......?
3.MARK ........?
4.PETER......?
na pia huyu LUKA ......who?

wewe ukipewa cheque ya jina moja utapokea?
Passport yako ikiwa na jina moja ni halali?
Driving licence ikiwa na jina moja itakubalika??
Certificate yyt ya elimu ikiwa na jina moja nani ataikubali??

Umeshawahi kuona Hata KITABU CHA HADITHI ZA WATOTO MWANDISHI ANA JINA MOJA TU!?

NITAJIE LEGALL DOCUMENT YOYOTE DUNIANI AMBAYO MWANDISHI KAWEKA JINA MOJA TU,!!

HAKUNA!!

HUWEZI KUPATA! ISPOKUWA BIBLIA PEKE YAKE!

ISN'T THAT SOMETHING YOU SHOULD ASK YOURSELF BEFORE SAID ANYTHING??

CAN ANY OF YOU EXPLAIN THAT??!!
cc Eiyer MaxShimba Nicholas @yerikco nyerere na mgalatia yyt!

Wewe unamatatizo sana,unadhani hapa umesema point ya maana sana
Hizo kanuni unazosema zimewekwa na nani?
Zinahusu nini?

Kwa kifupi madai yako hayana maana
Hapa nitakupa ubin wa baadhi tu ya hao hapo juu:
Petro[Peter] ubini wake ni Yona,soma hapo chini

17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

Yohana[John] ubin wake ni zebedayo soma hapo chini

19 Akaendelea mbele kidogo, akamwona Yakobo wa Zebedayo, na Yohana nduguye, nao pia walikuwa chomboni, wakizitengeneza nyavu zao.

Mathayo[Mathew] ubini wake ni Lawi
mathayo 10:3
Mathayo mtoza ushuru
Kwa ufafanuzi wa hii soma hapa Luka 5:27
27 Baada ya hayo akatoka, akaona mtoza ushuru, jina lake Lawi, ameketi forodhani, akamwambia, Nifuate

Kwa kifupi hoja zako hazina msingi wowote japokuwa nimekuthibitishia kuwa ubin wa hao hapo juu upo hadi majina ya babu zao
Tatizo lenu nyie maamuma mmekaririshwa tu na hamjui kitu chochote!!!!!!!!!!
 
Also here:

Peter endorses Paul and warns Christians of people who pervert scriptures like you want to.

2 Peter 3:14-16
King James Version (KJV)
--------------
14 Wherefore, beloved, seeing that ye look for such things, be diligent that ye may be found of him in peace, without spot, and blameless.

15 And account that the longsuffering of our Lord is salvation; even as our beloved brother Paul also according to the wisdom given unto him hath written unto you;

16 As also in all his epistles, speaking in them of these things; in which are some things hard to be understood, which they that are unlearned and unstable wrest, as they do also the other scriptures, unto their own destruction.

Umaamuma ni kazi kubwa

Hapo Petro anawaonya wakristo kuhusiana na hawa maamuma

HUENDA HUWAJUI KIINGEREZA WACHA NIWAWEKEE KWA KISWAHILI
14 Kwa hiyo, wapenzi, kwa kuwa mnatazamia mambo hayo, fanyeni bidii ili mwonekane katika amani kuwa hamna mawaa wala aibu mbele yake.
15 Nanyi uhesabuni uvumilivu wa Bwana wetu kuwa ni wokovu, kama vile na ndugu yetu mpenzi Paulo alivyowaandikia kwa hekima aliyopewa;
16 vile vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa humo habari za mambo hayo; katika nyaraka hizo yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa nayo; na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa, kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe.

KWA KIFUPI HAWA MAAMUMA NDIO HAMUELEWI KITU CHOCHOTE HAPA!
 
oooh,ok ok,zilikua ni barua ama nyaraka in other words SIO MANENO YA MUNGU.ni watu tu wanaandikiana nyaraka,kama ni hivyo ntakubaliana nawe.unajua nilitaka kushangaa,nikawa najiuliza hivi kweli kama haya maneno mungu ndo amesimamia uandikwaji wake inakuaje yanakua na mapungufu mengi kiasi hicho.kwasababu najua mungu ni mkamilifu sasa anaweza vipi kujicontradict?KUMBE ZILIKUA NYARAKA WATU WANAANDIKIANA.mwenye kuongeza chumvi sawa,mwenye kupitwa na baadhi ya matukio sawa.

Sasa kwanini unafuata kitabu chenye mkusanyiko wa barua za watu ?

Maandiko hayo mnayoyaamini yaliandikwa na malaika au watu? Uzuri wa Ukristo ni uwazi biblia iko wazi ndio maana kila mtu anaweza kuisoma na haifichi kitu. Kuna sababu kwanini biblia iko ilivyo na kwanini vitabu vyenu mnakaririshwa kwa fimbo. Pia kuna sababu kwanini Mungu na ukuu wake anatumia watu tu waliokua kama mimi na wewe kuongea na watu anaweza kutumia malaika ila tangu awali Noah, Moses, David na wengine wengiiii ambao hata mtume wenu anakiri kuwa ni mitume walikuwa wanadamu na walishushiwa maandiko.

Nitakuuliza swali lingine maana la Musa umekwepa. David (mnayemwita Dawood) alichoandika sio neno la Mungu? Halipo ktk 'Quran takatifu'?
 
Wewe unamatatizo sana,unadhani hapa umesema point ya maana sana
Hizo kanuni unazosema zimewekwa na nani?
Zinahusu nini?

Kwa kifupi madai yako hayana maana
Hapa nitakupa ubin wa baadhi tu ya hao hapo juu:
Petro[Peter] ubini wake ni Yona,soma hapo chini

17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

Yohana[John] ubin wake ni zebedayo soma hapo chini

19 Akaendelea mbele kidogo, akamwona Yakobo wa Zebedayo, na Yohana nduguye, nao pia walikuwa chomboni, wakizitengeneza nyavu zao.

Mathayo[Mathew] ubini wake ni Lawi
mathayo 10:3
Mathayo mtoza ushuru
Kwa ufafanuzi wa hii soma hapa Luka 5:27
27 Baada ya hayo akatoka, akaona mtoza ushuru, jina lake Lawi, ameketi forodhani, akamwambia, Nifuate

Kwa kifupi hoja zako hazina msingi wowote japokuwa nimekuthibitishia kuwa ubin wa hao hapo juu upo hadi majina ya babu zao
Tatizo lenu nyie maamuma mmekaririshwa tu na hamjui kitu chochote!!!!!!!!!!

Muongo usie na haya wee! Unadanganya watu one more again!
Hayo maandiko yote uliyotoa hakuna moja lililosema majina ya baba zao!

We huyo anaekulipa kusema uongo na kutuletea maandiko yasio husika! Akiona huu utumbo atakufukuza kazi!
We unadhani unaongea na watu wasiolijua andiko?
 
Desturi ya mwenye elimu ni kuwa unapoulizwa swali kwanza unalijibu!
Halafu unauliza la kwako!
Nyie woooote mnapoulizwa maswali mnanajibu kwa kuuliza maswali au kutoa hoja ambazo hazijibu maswali!
Na hii ni sababu kubwa inayochangia ukristo kuanguka siku hadi siku!

Mnashindwa kabisa kuweka wazi hoja zinazo husu hii imani yenu!

Hapa ntakuuliza kitu kingine ambacho ni very basic ktk imani yako!
NAOMBA UNIFAFANULIE UTATU MTAKATIFU!
Usiniulize swali. We nisaidie ufafanuzi tu!
Halafu uone mtihani utakavyo kukuta hapa!
Sasa tukisema hii imani yenu ni ya kubumba mnasema sisi wabaya!
 
Mnachofuarahisha ni kwamba huwa mna stori nyingi sana ambazo hazifanani na ukweli..shida mna mistari miwili miwili...si imeandikwa na co-authurs.

-allah naandika mmoja na mwandisho mwenzie anaongezea mwingine...ndio maana majukwaani mnasema ni mbaya kuua,mwingine unasema lazima kuua.Mwingine unapinga ushoga,mwingine unasema pepo yenu itakuwa na wanaume warembo..

Mnadhani mtaaminika?Angalia mombasa, zenj, pwani yenu yote wana mzizima..mnanuka matambiko+ushoga na ubasha..ndio fahari yenu..ndio sunnah.

Taarabu si ndio injil yenu ya ushoga na kuporana wake..taarabu ni chafu kuliko choo cha bar......

ni matokeo ya BSV.

Duu mkuu naona umeanza kupiga zile za chembe,
Hapo juu nimeona wengine wameshaaza kutafuta basha na wengine damu inawatoka mpini umewageuka.
 
Tofauti yetu kati yetu ni ndogo.....lakini pana....
  • ukristo haukuwepo wakati yesu alipokua hai....hakuufundisha yeye alipokuwepo duniani...ukristo huu mnaofuata sasa ni dini iliyokuja baada ya mkutano wa Nicaea .bali ni dini mpya ambayo haina uhusiano na mitume walopita, yaani ukristo ni tofauti na dini ya Ibrahim, Mussa,Nuh na wengineo...ni dini mpya kabisa ndio maana hio dini haina mizizi pale walipo toka mitume ...rejea historia yenu ya mkutano wa kwanza wa christians huko Nicaea. huu ndio ulokuja na hii dini mpya ...ukitaka usitake huu ndio ukweli na haya makubaliano yalikuja baada ya vurugu na mauaji ya wazungu wenyewew kwa wenyewe na ushenzi mwingi huko nyuma , hivo walikaa pamoja ku create dini ambayo itawaunganisha....hivyo paulo akafit katika hili..na ndio mwanzo wa dini hii.
  • uislam kama ulivo ni original toka day one Quaran imebaki moja na imeendelea kuwa hivo hadi leo. pia uislam ni dini kongwe ile ilokua ikifatwa na Mussa, Yessu , Ibrahim , Nuh nk dini ya kuwa Mungu ni mmoja na hana mshirika.....na amekuwa akichagua miongoni mwa wanadamu zaidi wana Israel kuwa Mitume wake.
hio ndio tofauti yetu...kwa ufupi mnafata dini mpya na sio alokuja nayo yesu....na huku afrika ililetwa wakati wa kinyanganyiro cha afrika na wazungu wakoloni waliona njia nzuri ni kuwabatiza waafrika kama njia ya kuwatawala ...

Kwanini mnahgangaika kuhubiri kwakukosoa dini za wengine badala ya kuhubiri kwa kueneza dini zenu?
 
Wewe unamatatizo sana,unadhani hapa umesema point ya maana sana
Hizo kanuni unazosema zimewekwa na nani?
Zinahusu nini?

Kwa kifupi madai yako hayana maana
Hapa nitakupa ubin wa baadhi tu ya hao hapo juu:
Petro[Peter] ubini wake ni Yona,soma hapo chini

17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

Yohana[John] ubin wake ni zebedayo soma hapo chini

19 Akaendelea mbele kidogo, akamwona Yakobo wa Zebedayo, na Yohana nduguye, nao pia walikuwa chomboni, wakizitengeneza nyavu zao.

Mathayo[Mathew] ubini wake ni Lawi
mathayo 10:3
Mathayo mtoza ushuru
Kwa ufafanuzi wa hii soma hapa Luka 5:27
27 Baada ya hayo akatoka, akaona mtoza ushuru, jina lake Lawi, ameketi forodhani, akamwambia, Nifuate

Kwa kifupi hoja zako hazina msingi wowote japokuwa nimekuthibitishia kuwa ubin wa hao hapo juu upo hadi majina ya babu zao
Tatizo lenu nyie maamuma mmekaririshwa tu na hamjui kitu chochote!!!!!!!!!!

Job 13:4,-"But ye are forgers of lies, ye are all physicians of no value."

Job 24:25,-"...who will make me a liar, and make my speech nothing worth?"

Psalms 24:4-5,-"He…who hath not…sworn deceitfully. He shall receive the blessing from the LORD,"

Psalms 31:6,-"I have hated them that regard lying vanities: but I trust in the LORD."

Psalms 31:18,-"Let the lying lips be put to silence;"

Psalms 40:4,-"Blessed is that man that maketh the LORD his trust, and respecteth not the proud, nor such as turn aside to lies."

And you are the biggest liar!
 
Duu mkuu naona umeanza kupiga zile za chembe,
Hapo juu nimeona wengine wameshaaza kutafuta basha na wengine damu inawatoka mpini umewageuka.
Tuseme wewe huna mchango wowote maana nakuona unachombeza tuu ,wewe haya mambo unayaelewajeelewaje?
 
Kwanini mnahgangaika kuhubiri kwakukosoa dini za wengine badala ya kuhubiri kwa kueneza dini zenu?
kwasababu tumegundua mnapotea ndo maana,huezi muona jamaa yako anaenda kuanguka bondeni usimsitue,hasahasa kama ni mlemavu wa macho.
 
Kwanini mnahgangaika kuhubiri kwakukosoa dini za wengine badala ya kuhubiri kwa kueneza dini zenu?

Kwahiyo batili iendelee kuwepo mbona chadema inaikosoa ccm yote nikuwekana sawa mambo yakae kwenye msatari, hivi unaweza kunionyesha wapi waislamu wanamtukana Yesu tena wao ndio wanamtetea upo hapo dogo
 
Muongo usie na haya wee! Unadanganya watu one more again!
Hayo maandiko yote uliyotoa hakuna moja lililosema majina ya baba zao!

We huyo anaekulipa kusema uongo na kutuletea maandiko yasio husika! Akiona huu utumbo atakufukuza kazi!
We unadhani unaongea na watu wasiolijua andiko?

Kwani yanaelezea nini?
 
Maandiko hayo mnayoyaamini yaliandikwa na malaika au watu? Uzuri wa Ukristo ni uwazi biblia iko wazi ndio maana kila mtu anaweza kuisoma na haifichi kitu. Kuna sababu kwanini biblia iko ilivyo na kwanini vitabu vyenu mnakaririshwa kwa fimbo. Pia kuna sababu kwanini Mungu na ukuu wake anatumia watu tu waliokua kama mimi na wewe kuongea na watu anaweza kutumia malaika ila tangu awali Noah, Moses, David na wengine wengiiii ambao hata mtume wenu anakiri kuwa ni mitume walikuwa wanadamu na walishushiwa maandiko.

Nitakuuliza swali lingine maana la Musa umekwepa. David (mnayemwita Dawood) alichoandika sio neno la Mungu? Halipo ktk 'Quran takatifu'?
hivi kuna injili ya daud?

Ama iko agana la kale?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom