Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #1,461
Hata maarifa yaliyokusudiwa wanayakosa!Daaaah religious people wameharibu kabisa msingi mkuu wa uzi huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata maarifa yaliyokusudiwa wanayakosa!Daaaah religious people wameharibu kabisa msingi mkuu wa uzi huu
Mbona ueleweki maneno mengi tu bila maandiko.
Tueleze maana yake nini.
Biblia kwani zipo ngapi? hii hapa chini nini?
Ndiyo hii biblia mnayoifuta?
Unataka andiko kutoka wapi? Wakristo tunaamini Biblia ambako Yesu anatuambia katika Yohana 14:6 kuwa "mimi ndimi njia na kweli na uzima, mtu haji kwa Baba ila kwa njia yangu". Wakristo ndiyo wale watu wanaoenda kwa Baba (Mungu) kwa njia ya Yesu Kristo. Na anatuhakikishia tena katika Yohana 14:13-14 kuwa chochote tutakachomwomba Mungu kwa Jina la Yesu atatupatia. Wakristo humwomba Mungu kwa Jina la Yesu kwa sababu ya ahadi hiyo. Na Yesu hakuishia tu katika kuwahimiza watu wamfuate yeye, aliwaagiza pia kufundisha imani hii kwa mataifa yote. Katika Mathayo 28:19-20 tunasoma maagizo haya ya Yesu akisema "Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari".
Bado hujakubali kuwa Yesu anataka tuwe wafuasi wake, yaani wakristo?
Hakuna maarifa yoyote uliyokusudia wacha kudanganya watu wewe,tumia ile silaha yako ya kukimbila kwa mods uzi ufungwe huna laziada Rastafari.Hata maarifa yaliyokusudiwa wanayakosa!
Ninani anaratibu hivyo vigezo?
Pamoja mkuu hapa tutawasilimisha hawa wagala mmoja mmoja labda mods waufunge huu uzi uzuri wa sisi waislamu ni shahada tu hakuna kuzamishwa kwenye maji mengi wala kidogo mashaaalah uislam rahaaaaa.
Hakuna maarifa yoyote uliyokusudia wacha kudanganya watu wewe,tumia ile silaha yako ya kukimbila kwa mods uzi ufungwe huna laziada Rastafari.
...kuna tafiti inafanywa bila vigezo !?..........Bwana Yericko Nyerere usichezee taaluma za watu, hujui JF anaingia nani na nani na amesoma nini na nini !.........tunakuchora ntu mtoto fake wa Mwalim !
"Nampenda Yesu Kristo wenu lakini siwapendi Wakristo wenu. Na hiyo ni kwa sababu Wakristo wenu hawafanani kabisa kimatendo na Yesu Kristo wenu"~ Mahatma Gandh.
CC; mbokaleo, Kikwajuni one, Boko haram,
Hata maarifa yaliyokusudiwa wanayakosa!
Hakuna maarifa yoyote uliyokusudia wacha kudanganya watu wewe,tumia ile silaha yako ya kukimbila kwa mods uzi ufungwe huna laziada Rastafari.
Hata mafarisayo na walimu mafilosofa walioambiwa hawajui watendalo iweje mimi na wewe.
Katika wajinga nimeamini wewe ndio mjinga mnene injili ni mjumuko wa wa Torati na Zaburi,
na Quran ni mjumuiko wa Torati,Zaburi na Injil sasa unaposema tunataka Quran iitwe biblia
una maana gani kweli wehu hawaishi!
Mbona huelewe logic ya swali langu lililokuja baada ya swali lako la msingi?
Kwamaana ya vigezo vya mtafiti mimi nilijiwekea vyangu na vimetumika sawasawa na matakwa yangu
Afadhali ya wewe umekubali kuwa hulijui ulitendalo!
Sasa hawa mwenzako Eiyer Nicholas na Yericko Nyerere wanadhani wanajua walitendalo lkn wakipigwa maswali na wasomi kama kina Ritz Boko haram Kikwajuni one crabat Tayeb Gavana na wengineo wengi!
Ama kweli kiziwi kipofu ni jamii ya kuonewa huruma, Akili yako yakiwehu haiweleweki. Eti ansema Uislam hauna hata nguvu ya kukimbiza majinn ..kamuulize shekhe wako km kuna muislam anayeweza kimbiza Jinn. HIVI WEW UMESIKIA MUISLAMU ANSALI MSIKITINI AKAWESEKA NA KUPANDISHA PEPO? TABIA HIYOSI MNAYO NYIE WEHU MAPDRE WENU WAKIGOMBANIA UPADRE WANA KWENDA KWA SEIKH KUOMBEWA TUMESOMA MARA KADHAA KWENYE MAGAZETI WEW ENDELEA KULALATU YESU SI MUNGU BABA YAKE HALALI ALIELALA NA MARIA NI JOSEPH THE CARPENTER NA AMEZAA NAE WATOTO WENGINE AMKA ACHANA NA DINI YA MSITUNI
Umenena kisomi sana mkuu,haha...kwa bahati mbaya Yesu hakutaka umpende yeye mojakwa moja, alipenda anayewapenda watoto,kulifuata Neno Lake....sidhani km uislam na Neno la Yesu wanaivana...PROBLEM MAJINN...mtaishia piga kelele za kuku aliyejipa kazi kulelea watoto wa bata....watoto wa bata wakishika maji ni vigumu kuku kuwafuata km afanyavyo kwa watoto wake(vifaranga vya kuku)..Uislma ktk Ukristu ndivyo kelele nyingi ila kuna maji mengi sana ktk Ukristu kwa uislam kuweza ishi.
Wewe mi nilikuwa nategemea utatoa jibu!
Kumbe unajipa cheo cha udoctor cha uongo tu!
Nimekuuliza WAPI YESU KAKWAMBIA WEWE DR KUWA MKRISTO AU KUWENI WAKRISTO!
Ndugu yangu THE BIG SHOW,cc MKUU MwanaDiwani
HEBU njoo huku uone Mtu anavoweweseka kukanusha na kukubali nasaba yake,haki ya mungu sijapata kuona mtu mnonge kama huyu,
HEBU lete lile bandiko lake alilosema ya kwamba JULIUS NYERERE NI BABA YAKE MZAZI,KILA MTU AJIONEE,MAANA HAPA ANAKANUSHA ILI HALI JF inatunza kumbu kumbu kibao kabisa,
cc Ritz..
Huyu JAMAA NI
Huyu mtu ni mzima kweli?Nielewe mkuu, nimesema alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere sio TANU.
Ndugu sio kila kitu utakifahamu katika historia ya nchi hii,
Mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi, nakufahamisha tangu sasa kuwa Chifu Marealle alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere (kiuchumi)
Alimnunulia gari, suti, na nauli alimpa ya kwenda umoja wa mataifa.
Si kila kitu kitawekwa katika simulizi.
Hivi ugomvi hapa ni nini? Kwamba kuna mfumo Kristo unaopambana na uislamu? Na nani anawafanikishia mapambano hayo? Na hapo Mungu yuko wapi, au upande wa nani? Au kuna miungu wawili wanapambana, kila mmoja na mfumo wake? Pengine mnavamia maugomvi ya miungu ambayo haiwahusu?