UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Wataweza kunijibu kwa Andiko,wao wanakubali kama Jesus ndiyo Yesu,lakini wanajifanya haelewi kama Yesu ndio Isa nk.Majina yanabadilika kutegemea na matamshi ya lugha husika.Yote ni kukosa elimu,wanabakia kutafuta vyeti feki.
JE YESU WA WAKRISTO NDIYE YULE ISA WA WAISLAM? Mara kwa mara, unaweza kuwasikia Waislamu wakisema kuwa Isa a.s. kama anavyotajwa ndani ya Qur’an tukufu, ndiye Yesu Kristo wa Nazareti, kama anavyotajwa ndani ya Biblia Takatifu. Wanafanya hivyo kwa kulinganisha baadhi ya aya zilizomo ndani ya Biblia Takatifu, na zile zilizomo ndani ya Qur’an. Kwa mfano, wanasema kwa mujibu wa Biblia mama yake Yesu Kristo anaitwa Mariamu. Wanasoma katika Injili ya Marko 6:3-4“Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose na Yuda na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake” . Wanafananisha aya hiyo na ile iliyomo ndani ya Qur’an katika Suratul Al-Maidah, 5:75 “ Masih bin Maryam si chochote ila ni mtume tu……”, Hoja nyingine wanayoitumia ni kusema kwamba eti jina Isa ni katika lugha ya Kiarabu. Jambo hilo siyo kweli. Kwa sababu katika lugha ya Kiarabu, Yesu anaitwa Yasu’a siyo Isa. Na ikumbukwe kuwa Biblia ndicho kitabu kilichotangulia kuwepo duniani miaka ipatayo 1500 kabla ya Qur’an. (Qur’an is a post Bible book). Hoja yetu kwa Waislamu ni hii nani aliyebadilisha jina Yasu’a kuwa Isa?. Jina Yasu’a linashabihiana zaidi na Jina Yehoshua ambalo hilo ni katika lugha ya Kiebrania, na katika Kiyunani lugha iliyotumika kuandika Agano Jipya anaitwa Iesous (tamka Yesu) tafsiri ya maneno hayo kwa lugha ya Kiswahili ni Mwokozi. Tunasoma hayo katika Math 1:21-23 “ Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana yeye ndiye atakaye waokoa watu wake na dhambi zao. Hayo yote yamekuwa ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa Nabii akisema Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.” Hoja yetu Je Isa a.s naye ni Mwokozi na Imanueli kama alivyo Yesu Kristo?. Jambo jingine tunalopaswa kulizingatia tunapoangalia tofauti zao ni kuhusu mama zao. Mama yake Yesu Kristo ni Mariam anayetoka katika ukoo wa Yuda. Tunasoma hayo katika kitabu cha Mwanzo 49:10 “ Fimbo ya enzi haitaondoka katika Yuda, Wala mfanya sheria kati ya miguu yake,Hata atakapokuja Yeye, mwenye milki,Ambaye mataifa watamtii”. Unabii huu umetimia kwa Yesu Kristo.Tunasoma hayo katika Waebrania 7:14 “Maana ni dhahiri kwamba Bwana wetu alitoka katika Yuda, kabila ambayo Musa hakunena neno lolote juu yake katika mambo ya ukuhani” Lakini tusomapo habari za Isa, yeye mama yake anatoka ukoo wa Imrani. Ambaye ni baba yao Haruni, Miriamu na Musa. Tunayasoma hayo katika Suratul Al- Maryam 19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya. Wala mama yako hakuwa hasharati”. fafanuzi unaoifafanua aya hii ya 19:28 uliyomo ndani ya Qur’an, tafsiri ya King Fahd uk. 405, unasomeka hivi “ This Harun (Aaron) is not the brother of Musa (Moses), but he was another pious man at the time of Maryam (Mary)” Tafsiri “Huyu Harun siyo ndugu yake Musa, bali alikuwa ni mtu mwingine tu mcha Mungu, aliyeishi wakati wa kipindi cha Maryam” Kwa mujibu wa Biblia, Haruni ni mtoto wa mzee Amran na mama yao anaitwa Yekobedi na kwao wamezaliwa watoto watatu Haruni, Miriam na mdogo wao Musa. Tunasoma hayo katika kitabu cha Hesabu 26:59 “Na jina la mke wa Amramu aliitwa Yokebedi binti wa Lawi ,ambaye alizaliwa kwake Lawi huko Misri; na huyo Yokebedi akamzalia Amram Haruni,na Musa,na Miriamu umbu lao” Tofauti nyingine ni kuumbwa kwao: ISSA KAUMBWA. Qur’an Suratul Imran, 3:59 “ Bila shaka hali ya Isa kwa Mwenyezi Mungu ni kama hali ya Adam; alimwumba kwa udongo kisha akamwambia: “Kuwa”; basi akawa” Lakini tusomapo kumhusu
 
Kudangany ani kawaida yenu...qurani kwa jinsi ilivyotaja mitume wengine ni matusi on its own.........Haha..umesoma malaika Jibril alimpulizia Maria neno wapi?ktk Uke wake..Ndio fikra ya waislam..ndio kitu kizuri kwao.Hata mfano wa wale jamaa waliokuwa na njaa waarabu wakawapa maziwa ya ngamia na mkojo...hiyo ndio roho ya kiislam...yule Bilal mweusi hakupewa kazi ingine msikitin zaidi ya Azana..unajua maana yeke nini?Kipindi kile walikuwa akitembea mitaani....nadhani unaona kwani haikuwa white color job...

Elungata na Ritz na wengine ndio habari wamekuwa wakipost hapa..wanajiita specialist wa Conradictions ktk Biblia..sijui kwanini hakuanza kuwa speciality wa makosa, na wendawazimu wa Qurani..akili zenu na logic yenu ni kwamba kuipod Biblie kutaufanya uislam uwe msafi..haha.

hizo quote nimewaletea ili kurahisisha mimi kuandika vitu ambavyo tayari wengine wameshaandika.....hatufanyia re-invention of the wheel...

wewe sem aki[i ni cha uongo hapo..nikuletee events za talibani n wengine wakigombe fanya hayo.
Teh teh teh! Islam the fastest growing religion in the world.

Muslim population in 2012 is 2.01 Billion and 2013 is 2.04 Billion.

Na bado mpaka unywe sumu kauzu kama wewe kuna Muislam atahangaika na wewe akili za Inzi.
 
Chamtemamoto,nitakuwa mchoyo kama sijakupongeza na kukushukuru kwa mtiririko wako wa ufafanuzi ulioutoa hapo juu kuhusu Yesu Kristo na issa,umenifungua sana akili nashangaa kuna tofauti kubwa sana kuhusu kusudio la Yesu Kristo duniani na huyo anayeitwa issa....watu tofauti hizo hawazioni hadi kulazimisha watu wafuate imani yao!!?ajabu sana kuelewa haya mambo..BTY..Ubarikiwe sana Mkuu
Biblia imechakachuliwa,na hata ndani ya biblia inaonesha uchakachuwaji
JEREMIAH 8:8
How can you say,"We are wise,for we have the law of the Lord,"when actually the lying pen of the scribers has handledit falsely
English Starndard Version
How can you say,"we are wise,and the law of the Lord is with us?But behold the lyingpen of the scribes has made it into a lie.
Kuna uchakachuwajiwa makusudi,ndio mana Qur an ,inabaki na lugha yake ya asili,iko wapi biblia yenye lugha yake ya asili?
 
Haha..ni udogo tuu wa akili unaowafanya vile vimisrati vilivyopotoshwa ktk Quran vinaweza Meza Biblia...?Huji kwanini mnaambiwa hakuna muislam kamili km hatosoma Injil ,tourat, zaburi........ingawa bado kuna vitabu vingine ktk Biblia (Agano Jipya) mohamed hakuweza vijua kwani wakristu walimkwepa sana..hadi ikashuka aya ikiwalaumu kwa kuficha maandiko...na majivuno..Wayahudi akawalaumu kwa kupidisha Torati..

Hadi muhamad anakufa laikuwa akiisikia Biblia ktk story za kijiweni tuu...alikuwa busy zaidi yenu akilazimisha wtau wakubali kuwa alikuwa mtume za allah......hata wake zake hawakuwa na hiyo nae.Mkewe mtumwa wa Coptic Christian naye alimu influence kumuongezea mustari..aisha alishangaa pia kwanini allaha nakimbilia sana kumpa muhamad mistari yenye kufuta tamaa za muhamad(ngono ,chakula, vita etc).

labda tuu niwaachie kitu..Hivi mnafahamu kwanini wanawake wanavalishwa manguo km mnvayofanya sasa?Hizo ayat zilikuja baada ya mama kijana kabisa wa waumini kuliwa overnight, na wake wengine wa muhamad nao walikchapwa sana......allaha kashusha aya..siku zote allaha hupata maono kwa muhamad kushuhudia kitu..Hadith zina vipande vya kutosha kuelezea hii skendo..

Kwa ujumla uislam ni frustrations-msiba -giza....poor and miserable muslims.
soma Jeremia 8:8
Jinsi kalamu ya wa andishi ilivyochakachuwa biblia.
 
Biblia imechakachuliwa,na hata ndani ya biblia inaonesha uchakachuwaji
JEREMIAH 8:8
How can you say,"We are wise,for we have the law of the Lord,"when actually the lying pen of the scribers has handledit falsely
English Starndard Version
How can you say,"we are wise,and the law of the Lord is with us?But behold the lyingpen of the scribes has made it into a lie.
Kuna uchakachuwajiwa makusudi,ndio mana Qur an ,inabaki na lugha yake ya asili,iko wapi biblia yenye lugha yake ya asili?

WEWE NDIYE ULIYECHAKACHULIWA
JE YESU WA WAKRISTO NDIYE YULE ISA WA WAISLAM? Mara kwa mara, unaweza kuwasikia Waislamu wakisema kuwa Isa a.s. kama anavyotajwa ndani ya Qur’an tukufu, ndiye Yesu Kristo wa Nazareti, kama anavyotajwa ndani ya Biblia Takatifu. Wanafanya hivyo kwa kulinganisha baadhi ya aya zilizomo ndani ya Biblia Takatifu, na zile zilizomo ndani ya Qur’an. Kwa mfano, wanasema kwa mujibu wa Biblia mama yake Yesu Kristo anaitwa Mariamu. Wanasoma katika Injili ya Marko 6:3-4“Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose na Yuda na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake” . Wanafananisha aya hiyo na ile iliyomo ndani ya Qur’an katika Suratul Al-Maidah, 5:75 “ Masih bin Maryam si chochote ila ni mtume tu……”, Hoja nyingine wanayoitumia ni kusema kwamba eti jina Isa ni katika lugha ya Kiarabu. Jambo hilo siyo kweli. Kwa sababu katika lugha ya Kiarabu, Yesu anaitwa Yasu’a siyo Isa. Na ikumbukwe kuwa Biblia ndicho kitabu kilichotangulia kuwepo duniani miaka ipatayo 1500 kabla ya Qur’an. (Qur’an is a post Bible book). Hoja yetu kwa Waislamu ni hii nani aliyebadilisha jina Yasu’a kuwa Isa?. Jina Yasu’a linashabihiana zaidi na Jina Yehoshua ambalo hilo ni katika lugha ya Kiebrania, na katika Kiyunani lugha iliyotumika kuandika Agano Jipya anaitwa Iesous (tamka Yesu) tafsiri ya maneno hayo kwa lugha ya Kiswahili ni Mwokozi. Tunasoma hayo katika Math 1:21-23 “ Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana yeye ndiye atakaye waokoa watu wake na dhambi zao. Hayo yote yamekuwa ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa Nabii akisema Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.” Hoja yetu Je Isa a.s naye ni Mwokozi na Imanueli kama alivyo Yesu Kristo?. Jambo jingine tunalopaswa kulizingatia tunapoangalia tofauti zao ni kuhusu mama zao. Mama yake Yesu Kristo ni Mariam anayetoka katika ukoo wa Yuda. Tunasoma hayo katika kitabu cha Mwanzo 49:10 “ Fimbo ya enzi haitaondoka katika Yuda, Wala mfanya sheria kati ya miguu yake,Hata atakapokuja Yeye, mwenye milki,Ambaye mataifa watamtii”. Unabii huu umetimia kwa Yesu Kristo.Tunasoma hayo katika Waebrania 7:14 “Maana ni dhahiri kwamba Bwana wetu alitoka katika Yuda, kabila ambayo Musa hakunena neno lolote juu yake katika mambo ya ukuhani” Lakini tusomapo habari za Isa, yeye mama yake anatoka ukoo wa Imrani. Ambaye ni baba yao Haruni, Miriamu na Musa. Tunayasoma hayo katika Suratul Al- Maryam 19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya. Wala mama yako hakuwa hasharati”. fafanuzi unaoifafanua aya hii ya 19:28 uliyomo ndani ya Qur’an, tafsiri ya King Fahd uk. 405, unasomeka hivi “ This Harun (Aaron) is not the brother of Musa (Moses), but he was another pious man at the time of Maryam (Mary)” Tafsiri “Huyu Harun siyo ndugu yake Musa, bali alikuwa ni mtu mwingine tu mcha Mungu, aliyeishi wakati wa kipindi cha Maryam” Kwa mujibu wa Biblia, Haruni ni mtoto wa mzee Amran na mama yao anaitwa Yekobedi na kwao wamezaliwa watoto watatu Haruni, Miriam na mdogo wao Musa. Tunasoma hayo katika kitabu cha Hesabu 26:59 “Na jina la mke wa Amramu aliitwa Yokebedi binti wa Lawi ,ambaye alizaliwa kwake Lawi huko Misri; na huyo Yokebedi akamzalia Amram Haruni,na Musa,na Miriamu umbu lao” Tofauti nyingine ni kuumbwa kwao: ISSA KAUMBWA. Qur’an Suratul Imran, 3:59 “ Bila shaka hali ya Isa kwa Mwenyezi Mungu ni kama hali ya Adam; alimwumba kwa udongo kisha akamwambia: “Kuwa”; basi akawa” Lakini tusomapo kumhusu
 
Shida ni sauti mnazosikia kutoka kwa majinn zikiwanong`oneza ..ili msiondoke kwai yalishaona kuwa mkiendelea soma kwa makini tukiandikacho watakosa damu.......mnajipa moyo huku hamjajibu mengi tuu ya maswali yangu humu...tatizo kila kitu chenu ni BSV

Mgejua mlifanyalo msingekuwa mnakurupuka kwenda ua kwa issue za watoto.mngekuwa mnajua mulitendalo leo mngeakuwa hamtumiwi na majinn..unless mtuambie uchawi na majii mmeachagua kwa nia thabiti.....ila tu shida ni kwamba shetani si wa kuabudu hadharani na hivyo kuwawia ngumu sana kukubali vitu fulani....

Kwanza hadithi zimajaa matusi ya muhamad...ndio maana hadi leo matusi na waislam ni damudamu...

Manabii hawahitaji tena amani.....aman mnahitaji nyie kenge..
Angalia anayetumia majini ni huyu
Mathew 4:4
Then Jesus wa led by SPRIT into the wilderness to be tempted by the DEVIL.
5 Then the DEVIL took him to the holy city and had him stand on the highest point of the temle.
8 Again, the DEVIL TOOK HIM TO VERY HIGH MOUNTAIN AND SHOWED HIM ALL THE KINGDOMS OF THE WORLD....
Angalia anavyobebwa na Jini,weye kutumia majini wanajulikana,wataja wengine,
 
unashangaa mkojo na zile lullaby za mama terry, ni influence za mila za kiislam......kibaya zaidi ni ile issue ya kufany amapenzi na mkeo akifa kabla y akuzikwa..eti bila hivyo jogoo atasimama maisha yako yote...waislam ni wajinga zaidi ya nyumbu...Sasa ukiwauliza km mbona mwanamke anayeungua ndani ,anazezama amjinn, anayeliwa na mamba...etc hakuna nafasi ya kulala nae na dudu haisimama maisha?

Ujinga na uchafu wa hii unaonyesha wazi kuwa waumin ni watuw anaopedna huo uendawazimu ndio maana wanaupenda, wachawi, wazinzi, wauaji for funny..wana feel ata home.
Kwa nini mnasema bila maandiko?Mnatunga maneno ambayo hakuna ushahidi wa maandiko.Toa andiko linalokubaliana na hayo madai yako.
 
Biblia imechakachuliwa,na hata ndani ya biblia inaonesha uchakachuwaji
JEREMIAH 8:8
How can you say,"We are wise,for we have the law of the Lord,"when actually the lying pen of the scribers has handledit falsely
English Starndard Version
How can you say,"we are wise,and the law of the Lord is with us?But behold the lyingpen of the scribes has made it into a lie.
Kuna uchakachuwajiwa makusudi,ndio mana Qur an ,inabaki na lugha yake ya asili,iko wapi biblia yenye lugha yake ya asili?

Nini maana ya lugha ya asili ikiwa dunia ya sasa imebadilika!kama kuna uwezekano wa kitabu changu kuandikwa kwa lugha ninayoielewa mimi kwanini kisiandikwe ili nikisoma nielewe vizuri kuliko kuandikwa ktk lugha nyengine itakayonipa shida kwa madai eti kikiandikwa kwa lugha yangu "kitachakachuliwa",nahuko kuchakachuliwa unakosema umeandikiwa nakuaminishwa ktk kitabu chako ili upatekubishana na watu wa Imani nyingine isiyokuhusu wewe,waacheni watu waamini wanavyotaka na waabudu wanachotaka sio lazma kuwapigia makelele kwani kila mmoja'etu amejaaliwa utashi wakutambua jema na baya,so...kama ni hivyo wewe kamata quran yako jifungie chumbani kwako soma ukiridhika lala,Mkristo nae atakamata Bible atasoma akiridhika atalala we unadhani utambadilisha Mkristo humu kwa hivyo vipande vya aya ulivyokata kata?!ichakachuliwe isichakachuliwe hakuna aliekushikia fimbo uiamini,waache walioiamini waamini nakama watapotea waache ni Nafsi zao sio wewe utakaepotea!samahani kama nitakukwaza.thanx
 
Kwa nini mnasema bila maandiko?Mnatunga maneno ambayo hakuna ushahidi wa maandiko.Toa andiko linalokubaliana na hayo madai yako.
Ndugu yangu huyu mlevi Nicholas ndio zake analeta vibandiko vya kutunga mtaani ktk vijiwe vyao vya makanisa uchwara ya kupiga pesa waumili wajinga anatuletea hapa, tena anatokwa na povu na mijitusi juu utafikiri anachokiabudu anakijua, eti anasema kabatiza watu wengi daa hao waliokubali mafundisho yake ya kutunga na uzushi watakua walevi wezake, na wezi wa kuibia waumini sadaka zao wakijinufaisha wenywe kama lilivyo kabila lake la kupenda pesa bila kujali amezipata kwa njia gani
 
Imagine km "...mfumo kristu haukubuniwa...".Baada ya ile dhan ya kugombea uhuru, waislam wangepati wapi pa ku black mail taifa?waoi wangechoma makanisa kirahisi tuu na kesho yake serikali ikaenda wasikiliza ktk secular gaovernment..?imagine bila mfumo Christu waislam wangewaambiaje watoto wao waliowaaminisha kuwa dini yao ndio ya kweli,elimu yao ndio superior na swala yao hujibiwa na allah...halafu ufaulu wa wakristu, na mahudhurio yao kuwa mkubwa?

Imagine bila hiyo:wangewaambiwa nini watoto kuhusu uhaba wa shule, udhaifu wa taasisi zao kiuongozi, kushindwa kwa mengi bila backup ya office za serikali.......leo si ktk afya, elimu pekee waislam bila serikali inayobebwa na Ukristu life yao itakuza impossible........hata mabilionea wa kiislam hali zao hubadilika sana mfumo islam ukibanwa...yule jamaa wa home shopping centre km kungekuwa na serikali isiyo ya kiislam, na hakuna rushwa asingefikia hapo.ni dunia nzima..hata india waislam wanalili wapewe fursa..sawa.Na waliopata huwa wanafanya unwise support kwa wenzao.Wauza unga ,majangili wa porini, na wengine anaofanya bishar azisizo na kodi wengi ni waislam...pamoja na kutochangia kodi ktk dili haramu na kujuana na ikulu, na wazee wa chama..bado kodi itokayo kwa wakristu wanaofanya kazi rasmi..bado ktk mgao waislam ndio wanafaidi ..kuanzai kuokolewa ktk utapeli wa hija, kulipia bakwata, kulipia elimu,afya, na hata ajir amakazini zinazotolewa kidini.

Uliwahi sikia Quran inajitetea vipi kuhusu mafanikio ya Wakristu......kuwa ni lifists ,waponda starehe.....kwa ujumla mchango wa waislam ni mdogo kuliko matumizi yao ktk kodi ya nchi...wapo wengi wasio na bishara zilizorasimishwa ,na kulipa kodi, wamezaa watoto wengi sana kw akisingizio kuwa wana uwezo wa kuhudumia kw avile wana mali ila wakati wa kusoma husomea hela ya makafiri ambao wana watoto wachache, na wanalipa kodi...na hawatumii udini kuingizana.
kwa kula vitimoto na bia kweli mnachangia kodi sana na kupanga njama za kuwak
 
Yes,Yesu ni Jesus!

Kwa nini Yesu awe Jesus ? ........kwa nini linakuwa Jesus na halibaki hilo hilo la Yesu !?

Je, kama linaweza kubadilika jina la mtu huyo huyo kutoka Yesu kwenda Jesus, kuna tatizo gani Jesus ikabadilika kuwa Isah ?
 
Hiyo reserch ya kutunga isiokuwa na ushahidi wowote japo tu iliendeshwa au kudhaminiwa na nani au taasisi gani? maana usichukulie watuwote ni kondoo utuburuze tu, eti nimehesabu maduka yote kariakoo hivi unachoshindwa kuelewa waislam haiwezekani ukawadanganya kirahisi hivyo tumelekezwa na MUNGU KUTUMIA AKILIZAIDI KWA KUTEGEMEA KUUPATA UKWELI .pamoja na huo mfumokristo wa nyerere bado si hatuna bifu na wakristo ila tunachotaka haki isimame tu sema wakristo ndio mnabifu na sisi, na chokochoko zenu ndio zitakazo waponza sisi tunajuaga kumaliza nyie anzisheni tu.
 
ujinga mwingine bwana unachosha..ili tuu kurefusha mazungumzo..Yesu hakuamuru mtu kuandika wala hakuandika kitu..aliwataka walioshuhudia wakatoe huo ushuhuda..Injil ziliandikwa baadaya ya kura kwa yesu ,kwa vile ndipo Injil zilipoishia.

Kwa taarifa yako hata muhamada nae hakuandika quran........iliandikwa yeara baada yake kufa,Soma hapa uone kwani kuandikwa kwa quran kulikuwa ni zimamoto walipoona vita zinawamaliza..mistari inapotea..

The compilation of the written Qur'an (as opposed to the recited Qur'an) spanned several decades and forms an important part of early Islamic history. Muslim accounts say it began in the year 610 when Gabriel (Arabic: جبريل, Jibrīl or جبرائيل, Jibrāʾīl) appeared to Muhammad in the cave Hira near Mecca, reciting to him the first verses of the Sura Iqra (al-`Alaq), thus beginning the revelation of the Qur'an. Throughout his life, Muhammad continued to have revelations until before his death in 632.[SUP][1][/SUP] Muslim and non-Muslim scholars alike disagree on whether Muhammad compiled the Qur'an during his lifetime or if this task began with the first caliph Abu Bakr as-Siddiq (632-634). Once the Qur'an was compiled, due to the unanimity of the sources, Muslims agree that the Qur'an we see today was canonized by Uthman ibn Affan (653-656). Upon the canonization of the Qur'an, Uthman ordered the burning of all personal copies of the Qur'an. The reason why Uthman gave this order is discussed further in the section below entitled "The Collection of the Qur'an". The copy of quran kept with wife of Mohammad named Hafsa was accepted for public. Until then, several copies of Quran were available in different regions of Arabia with some grammatical errors, so Uthman's order allowed only one version of Quran to exist to prevent any misinterpretation of quranic text or word of God (Allah).
Even though Uthman canonized the written Qur'an during his reign in 653-656, small diacritical variations still remained in the written Qur'an, which can be seen in the early manuscripts of the Umayyad and Abbasid Dynasties.[SUP][2][/SUP]
Due to varying historical documents, controversy is seen amongst some scholars as to whether the Uthmanic codex we have before us today is authentic and complete. Most Muslim scholars believe the Uthmanic Qur'an is what was revealed to Muhammad in its entirety, while some non- Muslim scholars believe verses were removed and other codices of the Qur'an are more absolute.[SUP][3][/SUP]

History of the Quran - Wikipedia, the free encyclopedia

Mpaka lugha pia Ya kiingereza tuwafundishe kazi ipo.Maelezo yote yanaonyesha Quran,ilikuwa imeshaandikwa wakati Mtume Muhammad,yuko hai.Ila kulikuwa na copy tofauti tofauti,na utofauti ulikuja kwa grammatical erroors.SEVERAL COPIES OF quran were available in different regions of Arabia with some gramatical errors,so Uthman's order allowed only on version of Quran to exist .Ni kwamba iliandikwa wakati mtume Muhammad yuko hai,lakini katika copy tofauti.Ndio ikakuswanywa na kutumika copy aina moja tu,copy aliyokuwa nayo mke wa Mtume Muhammad,aliyeitwa Hafsa.
GOGORO LIKO HAPA,YESU ALISHAONDOKA,NDIO BIBLE IKAANDIKWA
Paul's Letter to the Thessalonian's was written first -- in about AD 52.Most of leters were all written by the time Mark wrote the first gospel in approxx.AD 68.John wrote as late as AD 90-100.It took a few hundred more years to come up with a Canon of wich books would be accepted into New Testament.It took the Catholic Church until late 5th century to complete.
Miaka 50 mpaka 100 baada ya kuondoka Yesu ndio biblia imeanza kuandikwa barua na vitabu,bado biblia haijakusanywa.Je hapo Hakutakuwa na yaliyosahauliwa,au majina kugezwa nk.AD(maana yake ni Baada ya Yesu kuzaliwa,ANNO DOMIN
 
Wewe ni kilema mwingine na mwongo km muhamad ktk Quran..aliwakataza watoto wa kiiaslam kuwa na toys wakati Aisha aliruhusiwa hadi baada ya balehe.....kwani nilazima ni upende ndio nisema uchafu wake tete hoja kwa hoja acha longolongo..Unadandia thread halfu hata hujasoma wapi wenzio hawajajibu hata uwaokoe.

Ni kwamba hujui uchawi au unasema kitu tofauti..?Kutunza na kuyatumia majinn kuwadhuru wengine, kufanya chume ulete, kuwatambika ni ushirikina(kumshirikisha Mungu na majinn na hii si mimi tuu hata baadhi ya waislam wanapinga hilo), albadir ni kuabudu mizimu ya wale magaidi waliofia ktk vita ya badr.....huo si uislam?Uzinzi kani ukristu hauukatazi, wizi mauaji,ambayo hujaandika hapa, ndoa za wake wengi...mmejidangaya kuwa kuwa km una uwezo sijui nini na nini..Ila hat Muahamad mwenyewe hakuweza gawa upendo sawa(Hakuna ubishi ktk hili) muhamad alikuwa hakohoi kwa Aisha....Bibia inakaza huu ujinga...

Naona uemamua tajataja tuu vitu ili uonekane kuwa upo ktk imani zote..iaslam is too general to solve any useful problem.

EXODUS 21:20-21
"If a man beats his male or female slave with a rd and slave dies as a direct result,he must be PUNISHED,but heis not tobe punished if the slave gets up after a day or two,SINCE THE SLAVE IS HIS PROPERTY.
Notice how the bible doesn't recognize the slave male or female as normal human being .if the masrer beats his servant to death ,then the master will not get the death punisment,then the master will not get punishment.
 
USIKIMBIE MADA:
NENDA KAVAE NEPI NA PAMPERS Ukanyonye mtoto uwezi kunitoa kwenye hoja,
MJADALA NI HUU yesu WA KWENYE quran sio YESU wa kwenye biblia.
Huu ndio ushahidi niliyotoa YESU SIO ISSA
MKIZIDIWA MNATAKA KUBADILISHA TOPIC:
Soma Jeremiah 8:8
Jinsi biblia ilivyochakachuliwa
 
Nini maana ya lugha ya asili ikiwa dunia ya sasa imebadilika!kama kuna uwezekano wa kitabu changu kuandikwa kwa lugha ninayoielewa mimi kwanini kisiandikwe ili nikisoma nielewe vizuri kuliko kuandikwa ktk lugha nyengine itakayonipa shida kwa madai eti kikiandikwa kwa lugha yangu "kitachakachuliwa",nahuko kuchakachuliwa unakosema umeandikiwa nakuaminishwa ktk kitabu chako ili upatekubishana na watu wa Imani nyingine isiyokuhusu wewe,waacheni watu waamini wanavyotaka na waabudu wanachotaka sio lazma kuwapigia makelele kwani kila mmoja'etu amejaaliwa utashi wakutambua jema na baya,so...kama ni hivyo wewe kamata quran yako jifungie chumbani kwako soma ukiridhika lala,Mkristo nae atakamata Bible atasoma akiridhika atalala we unadhani utambadilisha Mkristo humu kwa hivyo vipande vya aya ulivyokata kata?!ichakachuliwe isichakachuliwe hakuna aliekushikia fimbo uiamini,waache walioiamini waamini nakama watapotea waache ni Nafsi zao sio wewe utakaepotea!samahani kama nitakukwaza.thanx
Kama hamtaki kujadiliwa,ikija post inayohusu uislamu,msiingilie kwa kutoa kashfa zisizopo,chunguza sana ikija post inayohusu uislamu,itapata wachangiaji wakuleta kashfa ambazo ni za uongo.
 
Shida ni sauti mnazosikia kutoka kwa majinn zikiwanong`oneza ..ili msiondoke kwai yalishaona kuwa mkiendelea soma kwa makini tukiandikacho watakosa damu.......mnajipa moyo huku hamjajibu mengi tuu ya maswali yangu humu...tatizo kila kitu chenu ni BSV

Mgejua mlifanyalo msingekuwa mnakurupuka kwenda ua kwa issue za watoto.mngekuwa mnajua mulitendalo leo mngeakuwa hamtumiwi na majinn..unless mtuambie uchawi na majii mmeachagua kwa nia thabiti.....ila tu shida ni kwamba shetani si wa kuabudu hadharani na hivyo kuwawia ngumu sana kukubali vitu fulani....

Kwanza hadithi zimajaa matusi ya muhamad...ndio maana hadi leo matusi na waislam ni damudamu...

Manabii hawahitaji tena amani.....aman mnahitaji nyie kenge..
Mi nina wasiwasi saana kuwa wale popobawa lzm kuna kitu walikuharibu wewe! Sio bure!
Manake hakuna thread unaandika isio na majini ndani yake!

Teh teh teh teh!

Look kama hayo yamekutokea usilaumu waislamu! Sisi hao popobawa hatuhusiani nao kabisaa! Au labda huyo jirani yako alikuwa anakudai! Ukajifanya mjanja! Akafanya revenge!

We kama vipi malizana nae tu! Kuliko kushambulia waislamu kwa kusema wana majini! Kumbe ni jirani yako.!
 
mimi naomba kuuliza swali, kama limeshaulizwa huko nyuma na likajibiwa naomba mniwie radhi, hivi huu mfumo kristo ni mfumo wa dhehebu gani la ukristo? maana ukristo umemegeka vipande vipande kuna madhehebu ambayo hayakubaliani na kuna wale wanaopingana kabisa.....kuna wale ambao papa ni kiongozi wa kanisa lao, na kuna wanaoamini papa ni antichrist, kuna wanaopeleka watoto wao seminary na wale wanaoamini seminary ni mahali pa kujifunza uchungaji sio masomo ya sekondari, kuna wanaokula nguruwe na wasiokula etc kwa kifupi tofauti zao ni nyingi sana kiasi kwamba ni vigumu kufikiria kwamba wanaweza kuwa katika mfumo mmoja ....hivi huu mfumo ni wa mfumo katoliki, mfumo lutheri, sabato, Moravian, pentekoste au mfumo gani hasa. kwa heshima na taadhima naomba kuelimishwa
 
Haya ndio matatizo ya ku copy and paste!
Si unaona hata sentence yako ya mwisho haijamalizika!
Tizama hapo inasema"..Lakini tusomapo kuhusu .......????

Sasa ndugu hayo maelezo yoote hapo juu ni njia ya kupotosha ukweli na udanganyifu ulio wazi kabisa!

Hakuna MKRISTO MSOMI HATA MMOJA AKAKATAA KUWA ISSA a.s SIO YESU!

Hivi nyie watu mnalipwa shs ngapi kusema uongo??
We unadhani kukataa kwenu huko kutasababisha waislamu wasiwambie ukweli?
Na wewe kwa akili yako unategemea kuna watu watakuwa convinced kuwa issa mwana wa mariam.
Sio
Yesu mwana wa mariam.

Issa aliyezaliwa bila baba na kwa amri ya Mungu.!
Sio Yesu aliyezaliwa bila baba na kwa amri ya mungu!

Issa aliyekuwa na sifa ya kuitwa masihi!
Sio Yesu aliyekuwa na sifa ya kuitwa masihi!

Basi nyie hata mkikataa!
Ukweli unabaki palepale !

ISSA BIN MARIAM NDIE YESU MWANA WA MARIAM. ambae ni nabii na ni mtu kama wewe na mimi NA KAMWE SIO MUNGU WALA MWANA WA MUNGU!

Na asemae hivyo KWA MUJIBU WA QURAAN NI KAFIRI MKUBWA!.

16)(a) MIMBA YA ISA ILIKUWA NI YA SIKU MOJA Qur’an Suratul Maryam,19:21-22 “ (Malaika) akasema: “ Nikama hivyo (unavyosema; lakini) Mola wako amesema ‘Haya ni sahali Kwangu, na ili Tumfanye muujiza kwa wanaasamu na rehema itokayo Kwetu (ndiyo Tumefanya hivi);’ Na hili ni jambo lililokwisha kuhukumiwa.” Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali” b) MIMBA YA YESU SIKU ZILITIMIA. Luka 2:6-7 “ ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia, akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni” NB: Mwezi wa sita uliotajwa katika Luka 1:26 ni mwezi wenye kuelezea umri wa mimba ya Yohana ndani ya tumbo la Elizabethi. Luka 1: 36 “ Tena tazama jamaa yako Elizabeti naye amechukua mimba ya mtoto mwanamume katika uzee wake; na mwezi huu ni wa sita kwake yeye aliyeitwa tasa” NB: Hori iliyotajwa hapa,ina maana ya chombo cha kulishia wanyama kinachokuwa ndani ya zizi. Kwa Kiyunani (Kigiriki) ambayo ndiyo lugha iliyotumika kuandikia Agano Jipya ,chombo hicho kinaitwa “Fatne” kwa Kiingereza kinaitwa “a manger” 17)ISA (A.S) ATAKAPORUDI ATAKUJA KUVUNJA MISALABA NA KUUA NGURUWE Mkweli Mwaminifu, Juzuu 3-4, uk.20, Hadithi na. 753 “ Haisimami saa ya (kiyama) mpaka akuteremkieni nabii Isa (a.s) mwana wa Maryamu atahukumu (kwa sheria ya Kiislamu) (na) muadilifu, basi atavunja misalaba (ya Wakristo Makanisani) na ataua nguruwe, na ataondosha fedheha au (aibu), na mali itazidi kuwa nyingi sana mpaka hataikubali (ataikataa) mtu (kwa kuogopa kiyama)” .Soma pia katika Sahihi Bukhar, vol. 3, Hadithi na 425,. Al-Lu’lu’war-Marjan, juzuu ya 1,Hadithi na 95 uk.51. The Noble Qur’an uk.757 b)YESU KRISTO ATAKAPORUDI ATAWATUMA MALAIKA ZAKE KUWAKUSANYA WATAKATIFU Luka 24:30-31 “ ndipo itakapoonekana ishara ya mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi, naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake toka pepo nne toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu.” ONYO LA YESU KRISTO WA NAZARETH Math 24:24 “ kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini hata walio wateule.” (Angalia pia Marko 13:22) Yoh 8:24 “ Kwa hiyo naliwambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye mtakufa katika dhambi zenu.” WEWE MTEULE JE UTADANGANYWA NA KUDANGANYIKA KUWA KWELI ISA A.S NDIYE YESU KRISTO? UKIAMINI HIVYO UTAKUWA UMEDANGANYIKA NA UTAKOSA WOKOVU WA MWENYEZI MUNGU!!!!!!!!!! YESU KRISTO, YEYE NI IMMANUEL, MSHAURI WA AJABU, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE, MFALME WA AMANI!!!! (ISAYA 9:6, MATH 1:23)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom