UTAFITI: Juma Nature alikuwa maarufu wakati wake zaidi ya Diamond Alivyo maarufu kwa wakati wake

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Utafiti huru ulofanyika Twitter kwa siku 5 mfululizo ambao uliuliza:

Kati ya wasanii wafuatao, nani alikuwa maarufu zaidi au nani kawa maarufu zaidi kwa muda aliowika?

Na matokeo yakawa high. Kura zimepigwa 3,000 kwa siku 5.

Mr Nice 23%
Juma Nature 33%
Ali Kiba 15%
Diamond 30%

Screenshot_20191116-042444~2.png

Pitia Pia

Usimfananishe Diamond platinumz na juma nature unakosea,diamond ni mbingu na nature ni ardhi.

Hebu angalia mipaka ya umaarufu?
Inatakiwa uwe specific huo umaarufu ni katika eneo gani?

Kibongo bongo?
Afrika mashariki?
Africa?
Au duniani kote?

Diamond platinumz ni maarufu duniani kote
na wakati hao kina juma nature na wenzie ilikuwa ni bongo tu na Africa mashariki Yaani Kenya na Uganda.

Acha kumdhalilisha Diamond na hao wababaishaji wa Kibongo bongo.
 
Utafiti huru ulofanyika Twitter kwa siku 5 mfululizo ambao uliuliza:

Kati ya wasanii wafuatao, nani alikuwa maarufu zaidi au nani kawa maarufu zaidi kwa muda aliowika?

Na matokeo yakawa high. Kura zimepigwa 3,000 kwa siku 5.

Mr Nice 23%
Juma Nature 33%
Ali Kiba 15%
Diamond 30%

View attachment 1264071

Hapa ukimtaja Nature mashabiki maandazi wa Mondi watakwambia ni wivu tu,mashabiki wengi wa Domondi waliozaliwa 1995-2002 ambapo kipindi nature yupo juu anatikisa na kina sinta wao bado walikuwa wanakunjwa uji wa ulezi/lishe na kunywa maziwa kwenye chupa,hawawezi kukuelewa ukisema nature alikuwa maarufu kuliko Dimondi.
 
Nature alikuwa mkubwa sana ila tatizo lake alilizika,AY alikuwa wa kawaida ila alijitahidi sana kutangaza mziki wake nje ya mipaka ya Tanzania.Ila sizani kama kuna msanii anaweza kutunga chorus kali kama Juma Nature,kila kolabo alikuwa anafunika.
 
Hapa ukimtaja Nature mashabiki maandazi wa Mondi watakwambia ni wivu tu,mashabiki wengi wa Domondi waliozaliwa 1995-2002 ambapo kipindi nature yupo juu anatikisa na kina sinta wao bado walikuwa wanakunjwa uji wa ulezi/lishe na kunywa maziwa kwenye chupa,hawawezi kukuelewa ukisema nature alikuwa maarufu kuliko Dimondi.
Mule mule swadakta 👏👏👏🙏
 
NYIE NDO WALE MLIKUWA MNADANGANYA WATU KUWA NATURE ALIKUWA MWANAMUZIKI TAJIRI WA ENZI HIZO.NIKO NAE JIRANI HAPA NA HUO UTAJIRI NIMEJARIB KUULIZIA HAKUWA NAO HATA ZAMANI ZAIDI YA SIFA TU.
 
Hapa ukimtaja Nature mashabiki maandazi wa Mondi watakwambia ni wivu tu,mashabiki wengi wa Domondi waliozaliwa 1995-2002 ambapo kipindi nature yupo juu anatikisa na kina sinta wao bado walikuwa wanakunjwa uji wa ulezi/lishe na kunywa maziwa kwenye chupa,hawawezi kukuelewa ukisema nature alikuwa maarufu kuliko Dimondi.
Duh
 
Nina miaka 60. Namshabikia Diamond. Ana muziki mzuri.
 
Back
Top Bottom