Mi nadhani mond nature alijulikana mikoa ya Tanzania tu na sio yote Ila huyu mbwa mond mpaka USA anajulikana Dubai sana nigeria Kenya usiseme
Big enough umarufu wenye tija
Ok unajua maana ya SIMBA..?Kama unamtu karibu yako muislam au hata kama wewe ni muislam rejea maaana ya Qibla
Necha mwanamuziki mwanaume aliye kiumeni.Usimfananishe Diamond platinumz na juma nature unakosea,diamond ni mbingu na nature ni ardhi.
Hebu angalia mipaka ya umaarufu?
Inatakiwa uwe specific huo umaarufu ni katika eneo gani?
Kibongo bongo?
Afrika mashariki?
Africa?
Au duniani kote?
Diamond platinumz ni maarufu duniani kote
na wakati hao kina juma nature na wenzie ilikuwa ni bongo tu na Africa mashariki Yaani Kenya na Uganda.
Acha kumdhalilisha Diamond na hao wababaishaji wa Kibongo bongo.
Ulialikwa kufungua barua ya posa ya mama mzazi wa daimond?Nina miaka 60. Namshabikia Diamond. Ana muziki mzuri.
Usimfananishe Diamond platinumz na juma nature unakosea,diamond ni mbingu na nature ni ardhi.
Hebu angalia mipaka ya umaarufu?
Inatakiwa uwe specific huo umaarufu ni katika eneo gani?
Kibongo bongo?
Afrika mashariki?
Africa?
Au duniani kote?
Diamond platinumz ni maarufu duniani kote
na wakati hao kina juma nature na wenzie ilikuwa ni bongo tu na Africa mashariki Yaani Kenya na Uganda.
Acha kumdhalilisha Diamond na hao wababaishaji wa Kibongo bongo.
Diamond anatumia nguvu nyingi sana kujitangaza, wakati Kina Juma walitangazwa na mziki na kupendwa bila kuhonga maredion
Msimfananishe mr nice na mtu yeyote yule
Yule jamaa nilimkubali sana,mpaka sasa namkubali, afu hajutii kupoteza pesa ,he is living his lifeJamaa alikuwa katika dunia ya peke yake
Kwani managers ndo wanaimba ,katika mabogus wewe ni nambari one rudi shuleni dogo langu.
Mwenyewe na utakula ban bwege mmoja wewe kasome uko mfyuuuuuuuuBogus babako. Mat@ko wewe
Kabisaaaaaaaa tatizo watoto wa siku hizi hawajui hayaJuma Nature,Sir nature Nature a.k.a Msitu wa vina.Kwa Mimi binafsi niliyeshuhudia ubora wake kwangu atabaki kuwa mmoja wa wasaniii Bora kuwahi kutokea katika nchi yetu.mpaka sasa nasikiliza na kucheza nyimbo zake na zote alizoshirikishwa na ubaya wake ukimshirikisha lazima akufunike.sikiliza OCG ft Juma Nature unaitwa akwelina,Rich One ft Juma Nature unaitwa hatuna kitu,Mike T ft Juma Nature unaitwa nakupenda,Unga Robo,Mzee wa Busara,Sonia,Sitaki Demu,Inaniuma sana,Kisa Demu, msela(huyu akitakiwa apewe heshima yake kumlinganisha na yoyote humtendei haki hasa hawa vijana wadogo)...ukisikiliza nyimbo za Juma Nature,Rashid Makwilo a.k.a Chidi Benzi,Juma Mchopanga a.k.a Jay Moe,Albert Mangwea a.k.a Mimi,Prof Jay,Solo Thang,Fid Q na wengine nitawataja hapo baadae.ndio wasaniii Bora kwa kizazi changu
HujuiUsimfananishe Diamond platinumz na juma nature unakosea,diamond ni mbingu na nature ni ardhi.
Hebu angalia mipaka ya umaarufu?
Inatakiwa uwe specific huo umaarufu ni katika eneo gani?
Kibongo bongo?
Afrika mashariki?
Africa?
Au duniani kote?
Diamond platinumz ni maarufu duniani kote
na wakati hao kina juma nature na wenzie ilikuwa ni bongo tu na Africa mashariki Yaani Kenya na Uganda.
Acha kumdhalilisha Diamond na hao wababaishaji wa Kibongo bongo.
MhMwenyewe na utakula ban bwege mmoja wewe kasome uko mfyuuuuuuuu
nature hakuwahi kufika hata robo viwango vya kina professor jay na afande sele. na ndio maana hata tuzo alikuaga hachukui walikua wanachukua waotu mashaili yake sana yalilenga wavuta bangi na wanawake. wadanganyeni haohao ambao hawakuwepo enzi hizo.Kabisaaaaaaaa tatizo watoto wa siku hizi hawajui haya
Kwanza watakuliza huyo SINTA ni nani?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa ukimtaja Nature mashabiki maandazi wa Mondi watakwambia ni wivu tu,mashabiki wengi wa Domondi waliozaliwa 1995-2002 ambapo kipindi nature yupo juu anatikisa na kina sinta wao bado walikuwa wanakunjwa uji wa ulezi/lishe na kunywa maziwa kwenye chupa,hawawezi kukuelewa ukisema nature alikuwa maarufu kuliko Dimondi.
HahahahaKwanza watakuliza huyo SINTA ni nani?[emoji23] [emoji23] [emoji23]