Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Hii ni ngumu kumeza lakini ndivyo ilivyo;
Wanasema kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi.
Utafiti unasema kwamba kinachomfanya mtu aibe ni tamaa ambazo huongozwa na hisia. Mtu asiye na akili huongozwa na hisia kwasababu ya kukosa maarifa. Hicho ndicho humfanya ashindwe kuwaza na kuchakata mambo kwa kina kabla hajaiba. Matokeo yake hujikuta anafanya maamuzi ya haraka ya kuiba, kufisadi au kula rushwa.
Yaani hapo nimeongelea generalUnamaanisha angle ile hawajawah kua na akili?
Kwani wewe unaona zinatofauti? Maarifa yanakaa ndani ya akili, maarifa ni sehemu ya akili.Kukosa akili kunaendana na kukosa maarifa?
"The problem of Africans, those with ideas have no power, and those with power have no ideas"Hii ni ngumu kumeza lakini ndivyo ilivyo;
Wanasema kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi.
Utafiti unasema kwamba kinachomfanya mtu aibe ni tamaa ambazo huongozwa na hisia. Mtu asiye na akili huongozwa na hisia kwasababu ya kukosa maarifa. Hicho ndicho humfanya ashindwe kuwaza na kuchakata mambo kwa kina kabla hajaiba. Matokeo yake hujikuta anafanya maamuzi ya haraka ya kuiba, kufisadi au kula rushwa.
Yaani tena nakazia juu ya hicho nilichokiandika.Unaongelea nini wewe
Hii ni ngumu kumeza lakini ndivyo ilivyo;
Wanasema kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi.
Utafiti unasema kwamba kinachomfanya mtu aibe ni tamaa ambazo huongozwa na hisia. Mtu asiye na akili huongozwa na hisia kwasababu ya kukosa maarifa. Hicho ndicho humfanya ashindwe kuwaza na kuchakata mambo kwa kina kabla hajaiba. Matokeo yake hujikuta anafanya maamuzi ya haraka ya kuiba, kufisadi au kula rushwa.
Ahsante sana kwa kudadavua zaidiHii haiwahusu watu wenye madaraka/viongozi pekee.
Mtu yeyote mwenye akili na maarifa atafahamu kwamba mali zikiwa nyingi kupindukia, hasa zile zilizopatikana kiharamu huwa hazileti ustawi wa mhusika (in the long run).
Mara nyingi mafanikio/mali hizo watanufaika wengine bali kwako itageuka kuwa ni msalaba na chanzo cha migogoro na mateso ya kila aina. Japo wahusika wengi hupiga kimya na kuonesha kufaidi machoni pa walimwengu lakini habari wanakuwa nayo huko nyuma ya pazia.
Kama umejaliwa utajiri kihalali kama ule wa Nabii Ibrahim na mfalme Suleiman, hapo ni sawa.
Kanuni ya ulimwengu ni kuhakikisha nyuma ya ukwasi na umaarufu wako pasiwe na sauti zinalia kutotendewa haki. Hata kama una maguvu ya kuzinyamazisha, ulimwengu unarekodi na utakupa kikustahilicho kwa wakati usiotamani na kwa namna usiyoweza kujitetea.
Hivyo, ni mjinga pekee atadhani yeye hayatamkuta, bali mwanadamu yeyote 'anayejitambua' ataepuka kwa nguvu zote kupita njia za dhuluma ili kujipatia manufaa binafsi na starehe za kipindi kifupi.
Hii kauli yako inamaanisha nini kwahiyo waheshimiwa hawana akiliYaani tena nakazia juu ya hicho nilichokiandika.
Utakufa masikini mkuuHii haiwahusu watu wenye madaraka/viongozi pekee.
Mtu yeyote mwenye akili na maarifa atafahamu kwamba mali zikiwa nyingi kupindukia, hasa zile zilizopatikana kiharamu huwa hazileti ustawi wa mhusika (in the long run).
Mara nyingi mafanikio/mali hizo watanufaika wengine bali kwako itageuka kuwa ni msalaba na chanzo cha migogoro na mateso ya kila aina. Japo wahusika wengi hupiga kimya na kuonesha kufaidi machoni pa walimwengu lakini habari wanakuwa nayo huko nyuma ya pazia.
Kama umejaliwa utajiri kihalali kama ule wa Nabii Ibrahim na mfalme Suleiman, hapo ni sawa.
Kanuni ya ulimwengu ni kuhakikisha nyuma ya ukwasi na umaarufu wako pasiwe na sauti zinalia kutotendewa haki. Hata kama una maguvu ya kuzinyamazisha, ulimwengu unarekodi na utakupa kikustahilicho kwa wakati usiotamani na kwa namna usiyoweza kujitetea.
Hivyo, ni mjinga pekee atadhani yeye hayatamkuta, bali mwanadamu yeyote 'anayejitambua' ataepuka kwa nguvu zote kupita njia za dhuluma ili kujipatia manufaa binafsi na starehe za kipindi kifupi.
Kwak raha na amaniUtakufa masikini mkuu
Kwaiyo wale waliotuletea jinamizi linaloitwa IGA chini ya udhamini wa DPW wanaangukia kundi gani?Hii ni ngumu kumeza lakini ndivyo ilivyo;
Wanasema kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi.
Utafiti unasema kwamba kinachomfanya mtu aibe ni tamaa ambazo huongozwa na hisia. Mtu asiye na akili huongozwa na hisia kwasababu ya kukosa maarifa. Hicho ndicho humfanya ashindwe kuwaza na kuchakata mambo kwa kina kabla hajaiba. Matokeo yake hujikuta anafanya maamuzi ya haraka ya kuiba, kufisadi au kula rushwa.
Matajiri wanakufaje?Utakufa masikini mkuu
Hao hawana akili a.k.a PunguaniKwaiyo wale waliotuletea jinamizi linaloitwa IGA chini ya udhamini wa DPW wanaangukia kundi gani?