Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Kwendraaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna wengine wanatumia hayo yote tajwa hapo juu,.sasa hawa sijui wanawekwa kundi ganiiii,.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shost sisi ni ma spesho aiseee,..hawawezi tumaliza,.. kila siku tunatafutiwa mapya we are so so so special[emoji7] [emoji7] [emoji7] sisi ni zaidi ya raha na utam[emoji2] [emoji2]Hebu tuacheni tumalizie siku zilizobaki salama basi. [emoji85].
Ila siku zote huwa najionea kuwa mwanamke ni raha sana jamaani duuh. Yaani mbali na tafsiri zenu za kila siku ila bado hamjatumaliza.
Na nikwambie tu baadhi ya hayo maneno mwanamke yeyote anaweza yatumia hivyo usikariri.
Kwa uzoefu wangu,kuna ukweli fulani japokua ,hayo yanaweza kuwa sehemu ndogo tuu ktk uhalisia wa mtu.Hebu tuacheni tumalizie siku zilizobaki salama basi. [emoji85].
Ila siku zote huwa najionea kuwa mwanamke ni raha sana jamaani duuh. Yaani mbali na tafsiri zenu za kila siku ila bado hamjatumaliza.
Na nikwambie tu baadhi ya hayo maneno mwanamke yeyote anaweza yatumia hivyo usikariri.
Yupo kwenye kundi la wapenda shortcut huyo.Mi demu wangu badala ya kuandika nipigie kwenye sms zake anaandika "pigie" au "gie" huyu yuko kundi gani mkuu..?
Hahaa. Ndio hapo sasa. Huwa naamini kwanza kama kiuhalisia neno linaweza kuingia basi likawa linatumiwa hadi na hao wanaume nashangaa wanavyotupakazia sie wanawake.Kwendraaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna wengine wanatumia hayo yote tajwa hapo juu,.sasa hawa sijui wanawekwa kundi ganiiii,.
Umeonaeee. Hawawezi kutumaliza my dear watulizane tu sababu tunaweza wapandisha presha bureee. [emoji12]Shost sisi ni ma spesho aiseee,..hawawezi tumaliza,.. kila siku tunatafutiwa mapya we are so so so special[emoji7] [emoji7] [emoji7] sisi ni zaidi ya raha na utam[emoji2] [emoji2]
Hahahaaa. [emoji40] [emoji40] [emoji40]Yupo mmoja huyo anapenda kutumia hilo neno la tchaaaaaaaaa ni mbeya huyoo mpaka anajiita katibu wa wambea[emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali swahiba ila si unajua hapa tunafurahishana tuu,maneno yaliyosemwa hapo hayana ukweliHahahaaa. [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Ila ni maneno tu swahiba yakiingia huwa lazima yatumike.
Usijali swahiba kuwa na amani. Uko poa?Usijali swahiba ila si unajua hapa tunafurahishana tuu,maneno yaliyosemwa hapo hayana ukweli