Utafiti kuhusu misemo ya wanawake.

Utafiti kuhusu misemo ya wanawake.

Hebu tuacheni tumalizie siku zilizobaki salama basi. [emoji85].

Ila siku zote huwa najionea kuwa mwanamke ni raha sana jamaani duuh. Yaani mbali na tafsiri zenu za kila siku ila bado hamjatumaliza.

Na nikwambie tu baadhi ya hayo maneno mwanamke yeyote anaweza yatumia hivyo usikariri.
Shost sisi ni ma spesho aiseee,..hawawezi tumaliza,.. kila siku tunatafutiwa mapya we are so so so special[emoji7] [emoji7] [emoji7] sisi ni zaidi ya raha na utam[emoji2] [emoji2]
 
Mi demu wangu badala ya kuandika nipigie kwenye sms zake anaandika "pigie" au "gie" huyu yuko kundi gani mkuu..?
 
Hebu tuacheni tumalizie siku zilizobaki salama basi. [emoji85].

Ila siku zote huwa najionea kuwa mwanamke ni raha sana jamaani duuh. Yaani mbali na tafsiri zenu za kila siku ila bado hamjatumaliza.

Na nikwambie tu baadhi ya hayo maneno mwanamke yeyote anaweza yatumia hivyo usikariri.
Kwa uzoefu wangu,kuna ukweli fulani japokua ,hayo yanaweza kuwa sehemu ndogo tuu ktk uhalisia wa mtu.
 
Mahali popote penye giza anatoa mapenzi na anapenda kulala na Wazee

Mada hii inatokana na Uzoefu, Tathmini au Tafiti?
 
Mi demu wangu badala ya kuandika nipigie kwenye sms zake anaandika "pigie" au "gie" huyu yuko kundi gani mkuu..?
Yupo kwenye kundi la wapenda shortcut huyo.

Nipigie mtu ana andika "gie"
 
Kwendraaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna wengine wanatumia hayo yote tajwa hapo juu,.sasa hawa sijui wanawekwa kundi ganiiii,.
Hahaa. Ndio hapo sasa. Huwa naamini kwanza kama kiuhalisia neno linaweza kuingia basi likawa linatumiwa hadi na hao wanaume nashangaa wanavyotupakazia sie wanawake.

Kama hiyo jomoni hadi wanaume wanatumia [emoji12] [emoji12].

Hebu watupishe sie. Hahahaaa
 
Yupo mmoja huyo anapenda kutumia hilo neno la tchaaaaaaaaa ni mbeya huyoo mpaka anajiita katibu wa wambea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yupo mmoja huyo anapenda kutumia hilo neno la tchaaaaaaaaa ni mbeya huyoo mpaka anajiita katibu wa wambea[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. [emoji40] [emoji40] [emoji40]

Ila ni maneno tu swahiba yakiingia huwa lazima yatumike.
 
Hahaa..wa "Enx na Chantee" nnao wengi kweny phone book ngoj ntafute mmoj
 
Mi demu wangu badala ya kuandika nipigie kwenye sms zake anaandika "pigie" au "gie" huyu yuko kundi gani mkuu..?
Huyo anapenda shortcut sana...sehemu yoyote yenye giza anaweza akatoa papuchi
 
P $K no enx na chanteh nawapata uko vizuri baba hujakosea [emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Combination ya hivyo vyote anakuwaje huyo dem!!
 
Back
Top Bottom