Utafiti kuhusu misemo ya wanawake.

Utafiti kuhusu misemo ya wanawake.

wanawake ni kama maji....msipotunywa mtatuoga....na siku msipotuongelea mtakufa[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hebu tuacheni tumalizie siku zilizobaki salama basi. [emoji85].

Ila siku zote huwa najionea kuwa mwanamke ni raha sana jamaani duuh. Yaani mbali na tafsiri zenu za kila siku ila bado hamjatumaliza.

Na nikwambie tu baadhi ya hayo maneno mwanamke yeyote anaweza yatumia hivyo usikariri.
Yaani kila SKU wanatusoma na hawaelewi,kama ni kitabu ndo kwanza wanahangaika na first edition..na huku kuna hadi 8 editions[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Hebu tuacheni tumalizie siku zilizobaki salama basi. [emoji85].

Ila siku zote huwa najionea kuwa mwanamke ni raha sana jamaani duuh. Yaani mbali na tafsiri zenu za kila siku ila bado hamjatumaliza.

Na nikwambie tu baadhi ya hayo maneno mwanamke yeyote anaweza yatumia hivyo usikariri.
Hatujawamaliza kivipi yaaani? sijaelewa hapo kwamba 😀😀😀😱😱😱😵
 
Back
Top Bottom