Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima una mimba.Jishike tumbo uhakikisheHata chadema wanatabia za hivyohivyo
jiamini weweHapo wa p na k ndio wangu anajisikia hatar anaelim kwel but anamaarifa
Yaani kila SKU wanatusoma na hawaelewi,kama ni kitabu ndo kwanza wanahangaika na first edition..na huku kuna hadi 8 editions[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hebu tuacheni tumalizie siku zilizobaki salama basi. [emoji85].
Ila siku zote huwa najionea kuwa mwanamke ni raha sana jamaani duuh. Yaani mbali na tafsiri zenu za kila siku ila bado hamjatumaliza.
Na nikwambie tu baadhi ya hayo maneno mwanamke yeyote anaweza yatumia hivyo usikariri.
Hatujawamaliza kivipi yaaani? sijaelewa hapo kwamba 😀😀😀😱😱😱😵Hebu tuacheni tumalizie siku zilizobaki salama basi. [emoji85].
Ila siku zote huwa najionea kuwa mwanamke ni raha sana jamaani duuh. Yaani mbali na tafsiri zenu za kila siku ila bado hamjatumaliza.
Na nikwambie tu baadhi ya hayo maneno mwanamke yeyote anaweza yatumia hivyo usikariri.
Bila shaka anakua bomu[emoji3] [emoji3]Combination ya hivyo vyote anakuwaje huyo dem!!