Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Uchunguzi mwingine ni kupoteza mda na fedha tu .
Aiseee kwa hiyo unaogopa tandu asije akapotea njia, usiku tulindwa na Mungu wengine huwa wanalala midomo wazi lakini hata mende hajawahi ingia kwa mdomo watu waoga, tena ukilala mtupu usingizi unakuwa mzuri mnomi si mwanandoa ila hulala bila nguo bhana,hata usiku wa jana kuamkia leo,huwa nnahofia labda wadudu maana juz nimemuua tandu ndani (chumbani)
ina maana hata pichu isiwepo
Pichu inaleta joto, mbona mchana wenyew wengi wenu hamvai inakuaje usiku ndo iwe shidaaa!
Ha Ha Ha Ha Ha Unajiona Kabisa We Kidume Una Tundu La Nyuma Ulale Uchi Me Hapanaaaa
mi sijawahi kutembea bila pichu mchana
Hizi tafiti zingine zibakie kwenye makaratasi tu hapa ni kulala na jinzi gumu
mbona mgumu kuelewa wewe kama mawaziri wa eskrooo....yaani unasaula kila kitu ikiwezekana hadi wigi mwanawane!!!
muongo kama professor unakumbuka siku ile
Aiseee kwa hiyo unaogopa tandu asije akapotea njia, usiku tulindwa na Mungu wengine huwa wanalala midomo wazi lakini hata mende hajawahi ingia kwa mdomo watu waoga, tena ukilala mtupu usingizi unakuwa mzuri mno
Mama hapo inatakiwa kila kitu utupe kule, ila ni vizuri kwa wanawake dela likawepo pembeni maana kuna dharura inaweza kutokea mtu ukakurupuka kama ulivyo mfano ile ya mabom ya gongo la mboto ni shiiida! najua wewe huwezi kutembea bila kufuli bwana ila wa jinsia yako ni fashion ukiwauliza et papuch inapunga upepomi sijawahi kutembea bila pichu mchana
Jamani kwa wanandoa sasa inakuwaje wanandoa wasigegedane?
Safi sana ukinuna wewe papuchi hainuni acha ipate haki yake, zingekuwa zinadai haki wanawake wengi mngekuwa hatian kwa minunoJamani sometimes mwili unahitaji kupumua nao,na usiku unavaa miguo tena ya nini?mchana kutwa unanguo nausiku nayo pia aaaaah,mie naichojoa huko inipishe mie,iwe nimenuna na mume au nimefurahi lakin kulala na nguo apana ....