Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna kitu My Hubby hanuniii ni chakula na HIYO KITU, akimaliza anaanza kuongea akiona bado umenuna ananyamaza lakini kuku hug kama kawa.Safi sana ukinuna wewe papuchi hainuni acha ipate haki yake, zingekuwa zinadai haki wanawake wengi mngekuwa hatian kwa minuno
Hadi raha, sasa wanaosema kwenye ndoa hakuna raha wao wameingia ndoa gani au wewe yako ina jina jingne? Hzo ndo raha za ndoa yakheeee!Kama kuna kitu My Hubby hanuniii ni chakula na HIYO KITU, akimaliza anaanza kuongea akiona bado umenuna ananyamaza lakini kuku hug kama kawa.
ina maana hata pichu isiwepo
Hahahahaa....shikamoo braza
siku gani............
marhaba shikamoo sister
ina maana hata pichu isiwepo