Utafiti: Kulala bila nguo kunapunguza uwezekeno wa kupata kisukari

Utafiti: Kulala bila nguo kunapunguza uwezekeno wa kupata kisukari

Huu Uzi unachekesha. ila kweli ukilala naked usingizi unakuwa mtamu sana....

Me hata sijui night dress zangu zinaishi wapi.....
 
Hawa si ndio wale waliofanya utafiti wakaja na conclusion kuwa wambea huishi maisha marefu
Yawezekana maana kutunza mambo moyoni ni mzigo mkubwa mengine ni makubwa yanayoweza kukuathiri kiafya na kisaikolojia
 
Tena kwa uzuri zaidi inatakiwa mtambo uutizamishie mashariki linakotokea jua na makalio yawe karibu na dirisha ili yapate hewa ya kutosha.
 
Kama kuna kitu My Hubby hanuniii ni chakula na HIYO KITU, akimaliza anaanza kuongea akiona bado umenuna ananyamaza lakini kuku hug kama kawa.
Hadi raha, sasa wanaosema kwenye ndoa hakuna raha wao wameingia ndoa gani au wewe yako ina jina jingne? Hzo ndo raha za ndoa yakheeee!
 
Tena kwa uzuri zaidi inatakiwa mtambo uutizamishie mashariki linakotokea jua na makalio yawe karibu na dirisha ili yapate hewa ya kutosha.
Aiseee kumbe kuna utaratibu wa namna ya kulala naked? mbombo jilipo!
 
jee ambao tuna lala naked kwenye joto kali kama dsm na yule anae lala kwenye baridi kali kama la makambako tuna tofaut yan?
 
ina maana hata pichu isiwepo

Niliwahi kwenda Kijiji kimoja kikazi nikakuta viongozi wa kijiji wako kwenye mazungumzo mareefu, baada ya kudadisi nilijulishwa kwamba wanasuhisha kesi ya wanandoa ambapo mume ameleta mashtaka kwamba mke wake ameanza tabia ya kulala na skin tight.Alipoulizwa kwamba anatakaje akajibu alale akiwa mtupu kama yeye!!
 
Hili liko wazi. Sio tafiti ya kwanza hii.... Na ishasemwa sana na madaktar wetu hapa nchini
 
Nenda Tanga mjini au Mombasa halafu ukalale uchi uone nini kitatokea
 
Huo ni uwakala wa jini mahaba. Ushindwe
Wa kulala utupu kwa mke na mume ni wakala wa jini mahaba? Fafanua hapo maana hata bible imesema mnyimane sasa mnapeanaje mkiwa na magwanda
 
Hii nakubari ndio maana mtu yoyote anakumbuka shuka ikifika saa kumi au kumi na moja asubuhi.
 
Back
Top Bottom