Utafiti: Kulala bila nguo kunapunguza uwezekeno wa kupata kisukari

Utafiti: Kulala bila nguo kunapunguza uwezekeno wa kupata kisukari

Uchunguzi mwingine ni kupoteza mda na fedha tu .

sisi Afrika bado tunafanya tafiti za street children wenzetu wameshamaliza huko,na hizi tafiti bado ni useful sana kwani wenzetu wanajali tafit na report zake,hata taasisi iliyofanya utafiti ni ya kitaifa,just imagine kuna taasisi ya kitaifa ya USINGIZI,Ni taasis muhim hiii
 
mi si mwanandoa ila hulala bila nguo bhana,hata usiku wa jana kuamkia leo,huwa nnahofia labda wadudu maana juz nimemuua tandu ndani (chumbani)
Aiseee kwa hiyo unaogopa tandu asije akapotea njia, usiku tulindwa na Mungu wengine huwa wanalala midomo wazi lakini hata mende hajawahi ingia kwa mdomo watu waoga, tena ukilala mtupu usingizi unakuwa mzuri mno
 
Ha Ha Ha Ha Ha Unajiona Kabisa We Kidume Una Tundu La Nyuma Ulale Uchi Me Hapanaaaa

Hizi tafiti zingine zibakie kwenye makaratasi tu hapa ni kulala na jinzi gumu
 
mbona mgumu kuelewa wewe kama mawaziri wa eskrooo....yaani unasaula kila kitu ikiwezekana hadi wigi mwanawane!!!

hhahahaha mi mawigi sivaagi yaani nisaule niwe kama niko bustanini mmmh sina blancket chapa mtu hii inawafaa zaidi wanandoa
 
Aiseee kwa hiyo unaogopa tandu asije akapotea njia, usiku tulindwa na Mungu wengine huwa wanalala midomo wazi lakini hata mende hajawahi ingia kwa mdomo watu waoga, tena ukilala mtupu usingizi unakuwa mzuri mno

ni kweli kaka Allah anatulinda,ila kulala bila nguo huwa nahis comfortable
 
Siku hizi kuna chunguzi za ajabu ajabu..si ajabu wakaja na uchunguzi wa faida za ushoga.
 
mi sijawahi kutembea bila pichu mchana
Mama hapo inatakiwa kila kitu utupe kule, ila ni vizuri kwa wanawake dela likawepo pembeni maana kuna dharura inaweza kutokea mtu ukakurupuka kama ulivyo mfano ile ya mabom ya gongo la mboto ni shiiida! najua wewe huwezi kutembea bila kufuli bwana ila wa jinsia yako ni fashion ukiwauliza et papuch inapunga upepo
 
Siku hizi kuna chunguzi za ajabu ajabu..si ajabu wakaja na uchunguzi wa faida za ushoga.
Si wanasema ngono kinyume na maumbile et ukifanya kitaalamu haina madhara, watakuja nao tu!
 
Jamani sometimes mwili unahitaji kupumua nao,na usiku unavaa miguo tena ya nini?mchana kutwa unanguo nausiku nayo pia aaaaah,mie naichojoa huko inipishe mie,iwe nimenuna na mume au nimefurahi lakin kulala na nguo apana ....
 
Safi sana ukinuna wewe papuchi hainuni acha ipate haki yake, zingekuwa zinadai haki wanawake wengi mngekuwa hatian kwa minuno
 
Back
Top Bottom