Utafiti: Kulala bila nguo kunapunguza uwezekeno wa kupata kisukari

Utafiti: Kulala bila nguo kunapunguza uwezekeno wa kupata kisukari

Huu Uzi unachekesha. ila kweli ukilala naked usingizi unakuwa mtamu sana....

Me hata sijui night dress zangu zinaishi wapi.....

mmmh inamaana huwa unalala empty!!!!? emh nielekeze unapoishi
 
Mwanaume utalalaje mtupu bwana....haiwezekani hicho kisukari sijui kichumvi kinipate tu.......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
bila ya nguooooo!!!!?kama wale wa getto pia walale bila ya nguo?mm kwangu hapanaaaaa.
 

Attachments

  • 1417378712774.jpg
    1417378712774.jpg
    44 KB · Views: 187
Wazungu wanafanyaga tafiti zao kwa mazingira ya kwao lakini matokeo dunia nzima.
 
Back
Top Bottom