Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Wakubwa hawakosei na Jumapili njema. Nimeamka na bandiko lenu wakuu. Nimejiuliza kwanini wana Jf wanatumia ID's za kificho. Na tabia mojawapo ya introverts ni kufanya vizuri anapokuwa peke yake. Ndiyo maana kuna watu kwenye real life wanashindwa kujielezea vema ila hapa ni uhuru wa manyani.
HIZI NI BAADHI YA TABIA ZA INTROVERT
1.Hawapendi wageni.
2.Hawapendi kutoka out mara kwa mara.
3.Hawapendi kutembelea ndugu.
4.Wanaweza kukasirika na kufurahi hapo hapo.
5.Ukiwakwaza wanakupuuza haraka.
6.Hawapendi kupokea simu haraka.
7.Wanapenda kuchati kuliko kuzungumza ana kwa ana.
8.Wanapenda kutumia internet kupata maelezo muda mwingi.
9.Wanaweza kukaa ndani mwezi mmoja bila kutoka nje kama kuna chakula na internet.
10.Hawapendi makelele hata kidogo.
11.Wana akili sana na wanajitambua.
12.Wana imani thabiti kwa Mungu.
13.Hawapendi umbea (gossiping).
14.Wana hofu ya kuzungumza mbele za watu.
15.Wana aibu wakitazamwa na watu wengi.
16.Baadhi yao si waaminifu kwenye mapenzi.
17.Wakipenda, hupenda kwa dhati sana.
18.Hawachangamani na watu hupata utulivu zaidi wanapokuwa peke yao