Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Hapana mkuu jf nilianza kuichungulia toka 2022Dude, una miezi miwili humu JF tangu ujiunge, huu utafiti umefanya kwa muda gani au kwa akaunti ipi ya zamani?
Mi sijasema lazima uwe nazo zote ila atleast uwe na chache kati ya hizoUmeorodhesha tabia 18, lakini nusu yake ni dalili za social anxiety na avoidant personality disorder, sio introversion.
Unapounganisha introversion na tabia za kishirikina au kukosa uaminifu, unawavunjia heshima watu wanaojitambua kama introverts wa kweli ambao wana mahusiano mazuri na jamii.
HowHapo kwenye "kupenda kw dhati" ni kamba mzee. 😊
Namanisha akipenda ujue kamanishaHapo kwenye "kupenda kw dhati" ni kamba mzee. 😊
Kwani wewe mtoa mada upo upande gani?Wakubwa hawakosei na Jumapili njema. Nimeamka na bandiko lenu wakuu. Nimejiuliza kwanini wana Jf wanatumia ID's za kificho. Na tabia mojawapo ya introverts ni kufanya vizuri anapokuwa peke yake. Ndiyo maana kuna watu kwenye real life wanashindwa kujielezea vema ila hapa ni uhuru wa manyani.
HIZI NI BAADHI YA TABIA ZA INTROVERT
1.Hawapendi wageni.
2.Hawapendi kutoka out mara kwa mara.
3.Hawapendi kutembelea ndugu.
4.Wanaweza kukasirika na kufurahi hapo hapo.
5.Ukiwakwaza wanakupuuza haraka.
6.Hawapendi kupokea simu haraka.
7.Wanapenda kuchati kuliko kuzungumza ana kwa ana.
8.Wanapenda kutumia internet kupata maelezo muda mwingi.
9.Wanaweza kukaa ndani mwezi mmoja bila kutoka nje kama kuna chakula na internet.
10.Hawapendi makelele hata kidogo.
11.Wana akili sana na wanajitambua.
12.Wana imani thabiti kwa Mungu.
13.Hawapendi umbea (gossiping).
14.Wana hofu ya kuzungumza mbele za watu.
15.Wana aibu wakitazamwa na watu wengi.
16.Baadhi yao si waaminifu kwenye mapenzi.
17.Wakipenda, hupenda kwa dhati sana.
18.Hawachangamani na watu hupata utulivu zaidi wanapokuwa peke yao
Ndiyo maana nikasema nusu ya hoja zako ni dalili za social anxiety na avoidant personality disorder, sio introversion.Mi sijasema lazima uwe nazo zote ila atleast uwe na chache kati ya hizo
Hakuna mgonjwa jf labda huko mtaani kwakoNdiyo maana nikasema nusu ya hoja zako ni dalili za social anxiety na avoidant personality disorder, sio introversion.
Mbona umeandika utoto sana hapa, yani haujaelewa kabisa hoja yangu nimezungumzia nini?Hakuna mgonjwa jf labda huko mtaani kwako
Sawa mkuuMbona umeandika utoto sana hapa, yani haujaelewa kabisa hoja yangu nimezungumzia nini?
Unaposema hakuna mgonjwa JF, wewe unaishi na members wote walio jisajili humu ndani?