Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Kwa utafiti wangu mkubwa niliofanya hapa jijini dar ni kua makaka poa wengi au maa uncle wengi sio watu wa pwani kiasili wengi ni wavamizi kutoka bara hasahasa mbeya, iringa njombe na kaskazini mwa Tz, pia Kwa asilimia michache ukanda wa kati.
Pia kumekua na tabia za maa Uncle kujinasibu ni watu wa dar lakini ukipukenyua kiasili utakuta baba wa bara na mama wa bara Tena wengi wanatoka familia za kina junior Mabus ya njano.
Vilevle familia nyingi za wakazi WA dar kuasili ni uneducated na hawana mpango Wala uwezo wa kupeleka mtoto English medium maana wengi wanaishi kweny nyumba za familia wamejazana humo
Kwahyo nahitimisha kwakusema ma uncle wengi ni wamikoa ya bara hasa wavamizi wa dar kwamiaka mingi na wanalea watoto wao kimayai Mayai wakat mji umejaa mamende Hadi kweny nyumba za ibada
Nawasilisha, povu ruksa kutoka Kwa ma uncle