Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
To yeye National Anthem Extrovert dronedrake mzabzab Mzee wa kupambania pitieni hii mitaa.😂😂😂View attachment 2678764
Muktasari:
Dar es Salaam. Utafiti uliofanywa na idara ya magonjwa ya mfumo wa mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebaini mitindo ya kujamiiana inaweza kusababisha uume kuvunjika.
- Kijana wa miaka 27 avunjwa... ni ajali inayojitokeza kwa wachache
Utafiti huo unaeleza miongoni mwa mikao hiyo ni mwanamke kukalia uume.
Utafiti huo uliochapishwa leo Jumanne, Julai 4, 2023 kwenye Jarida la kimataifa la sababu za upasuaji (International Journal of Surgery Case Reports, 108(2023)108415) umeripoti kufanya upasuaji wa kuunga uume wa kijana mwenye umri wa miaka 27 uliovunjika wakati akijamiiana na mkewe.
Kwa mujibu wa taarifa ya utafiti huo, ajali hiyo siyo suala lenye kujitokeza mara kwa mara, lakini lina uwiano wa mwanamume mmoja kati ya 175,000.
Utafiti huo unadokeza kuwa, tafiti zilizofanyika katika mataifa ya Ulaya na Marekani zimeonyesha asilimia 93.3 ya ajali za uume hutokana na kujamiiana, ambacho kilikuwa chanzo cha ajali aliyopata kijana aliyetibiwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa.
Sababu inayoshika nafasi ya pili katika ajali hizo ni kujichua ikiwa ni kwa asilimia 10. chanzo. Utafiti: Mitindo ya kujamiiana yaweza vunja uume
Hii taarifa ni ya ukweli ?Muhimbili wana uwezo wa kupachika nyengine
🤣🤣🤣🙌
Nakazia bossMguu mmoja juu ya meza,kiuno mbinuko,bendi kidogo…kifua chini nayo iheshimiwe kwakweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mguu mmoja juu ya meza,kiuno mbinuko,bendi kidogo…kifua chini nayo iheshimiwe kwakweli
staili ya mijusi na nyoka hadi rahaastyle ambazo nakua comfortable ni kifo cha mende ila babe aje kipemben anyanyue mguu wa kushoto aingie kwa chini au nimsusie
Acha hiyo!! Kuna hii inaitwa Mama kafuta tozo wee!!Kuna hii stail mpya inaitwa bandar iko rehani ni hatar sana
Ikoje hiyo Mkuu [emoji1]Kuna hii stail mpya inaitwa bandar iko rehani ni hatar sana