UTAFITI: Mkoa gani mwezi huu wa December watu wake hurudi sana kwao.?

UTAFITI: Mkoa gani mwezi huu wa December watu wake hurudi sana kwao.?

Mkoa gani unaongoza watu wake kurudi nyumbani kipindi cha mwisho wa mwaka.?


  • Total voters
    18

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
862
Reaction score
1,430
Ni kile kipindi cha mwaka ambacho watu hupotea jijini, nafanya kautafiti kadogo kujua mkoa gani watu wake hurudi kwa wingi kushinda mkoa mwingine.

Karibuni
 
Ni kile kipindi cha mwaka ambacho watu hupotea jijini, nafanya kautafiti kadogo kujua mkoa gani watu wake hurudi kwa wingi kushinda mkoa mwingine.

Karibuni
wanaorudi sana ni Kilimanjaro, wanarudi kutambika, na baada ya sikukukuu wanarudi mikoa mingine kutuhubiria wakikaa kabisa viti vya mbele kanisani. wahaya huwa hawarudi kwao, hawajajenga pamoja na majibambo yoote haya hapa mjini. nimeongea kama mchaga niliyechangamka.
 
Bongo kuna vituko sana. Watu wanatafiti namna gani wataweza kuishi pluto bongo tunapotezeana muda kizembe
 
Ghafla watu wanageuka mabwana na mabibi shamba...

Ngoja waje kukupa muongozo...
 
... you must be crazy kufanya utafiti kujua Jua linaanzia upande gani wa dunia! The obvious need no proof!
 
Duuuuu!!! Hii nchi acha tuendelee kubaki na shida zetu aisee make aliyesoma na ambae hakusoma wote sawa.Ukute mleta uzi nae ni undergraduate
 
mwezi wa 12
wanaorudi kwao kusalimia
*arusha
*mbeya
*moshi
*kilimanjaro
*kagera
*mwanza

wanaotoka kwao kutembea
*kigoma
*mwanza
*musoma
*shinyanga
*mbeya
*iringa
*dodoma
 
Back
Top Bottom