Utafiti: Mwanaume anao uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi

Mwaka na miezi 6 hapa

Sipigi punyeto

Sina stress

Akili imechangamka vibaya mno

Sex is drug

Sifanyi mpaka nioe.



Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Mkuu Kama nakuelewa ivi sex ni addiction, kuna watu hawanywi pombe, hawavuti sigara, hawavuti bange ila kwa ngono ni balaa tena unakuta ana mke kabisa ila atakuambia kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ndo urijali!
 
Mwanaume hawezi kuishi bila maji, chakula na pumzi.
Mbususu inaboresha afya (ya akili na mwili) kama vitamin tu
 
Sio kweli umeandika kinyume chake
 
Sasa huyu jirani ananyenigongea mlango usiku huwa anataka nini? Na anajua mie ni singo yaani naishi mwenyewe....!!!🤷‍♀️
Daaaah, siku nyingi sijaona uzi wako mama wa mapambo, mwenye uzuri wake, nimekumiss mamaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…