mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Hivi kujichuwa pia ni kufanya mapenzi?Mwanaume anao uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi, jambo ambalo ni ngumu kwa mwanamke.
Mwanamke akiishi zaidi ya miezi mwili, ataanza kuongea mambo yasiyo eleweka (Pumba) na kucheka cheka mara kwa mara.
Aidha upo uwezekano mkubwa wa kupata madhara ya kiakili.