Utafiti: Mwanaume anao uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi

Utafiti: Mwanaume anao uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi

Kama utafiti umeufamya kwa kina Ben Kinyaiya na wenzake wengi labda ila ungemuweka yule nanihii kwenye tafiti yako wala uzi huu usingekuwepo 😋😋
 
Mwezi ili iweje Mkuu? Kuna jamaa alikuja humu akadai ama mkewe au GF alimwambia wawe wanapiga mwaka halafu wakija kufanya eti itanoga sana 🤣🤣🤣🤣🤣 huo mwaka kumbe Mrembo anaweza kabisa kuwa anagawa kwa mchep.
Nataka nijipe mwezi.ila wife anaweza kusema napiga mechi za ugenini.
 
Wow kumbe inawezekana eeh! Hongera kwa msimamo huo mkuu. Ila inamaana haupo kwenye mahusiano? What if mwenzi wako akahitaji na unasema hadi uoe?
Nimetoka kwenye mahusiano miezi miwili nyuma,kwa sababu zingine tu

Ila kuhusu mpenzi kuhitaji,me nakua muwazi tu kuwa sitafanya mpaka tuoane,and kwakua tangu nimechukua hu uamuzi nimewahi date na mwanamke mmoja tu,imekua rahisi kwani alikua muelewa.

Ila ningekua mtu wa kudate na wanawake ningeshachakata,kinachonisadia huwa sikai mazingira hatarishi na mwanamke yeyote.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Aisee safi sana, ni miongoni mwa wanaume pekee wenye msimamo huo maana wengine mmh, utakua mwaminifu hata ukiingia kwenye ndoa wewe👍
 
Back
Top Bottom