Utafiti: Mwanaume anao uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi

Utafiti: Mwanaume anao uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi

Maneno yako yana Ukweli, Mkuu. Mimi nimebakisha miezi miwili kufikisha Miaka Mitatu toka Wife afariki kwa ajali na kuniachia Wato Wstatu 29, 27, 24 na 21.
Kwa muda wote huo hata mara moja sijakaa katikati ya mapaja ya mwanamke na kukukuruka!
Na ninajisikiwa fresh tu.
Na katika muda huo pia nimeota na kuchafua shuka mara tatu nne tu...na Tatu ama Nne Kwa Wiki ninamkaa Bendera ipo Full Mlingoti na Maisha yanasonga.
Nimefahamu kuwa Watu huwa ni Kujiendekeza tu!
Ukiamua Unaweza Bila Matatizo yoyote.

Pole sana na hongera kwa kuweza ku-abstain!

Mungu azidi kukufanyia wepesi mipango yako na uzidi kuwa mwaminifu ktk njia zako.
 
Nakubaliana na mtoa post, utafiti wako uko mukide.
Me nilisha kaanga mwaka na nusu bila kuweka.
Tatizo sasa, kila nikilala lazima niote naweka, nikimuona hata mtoto (wakike) akiwa anakojoa lazima mwamvuli ukunjuke, yani ni tabu tupu.
Kweli kabisa, hata aweje unamuona mkali.
 
Ni kweli mbususu nimeanza kuonja nikiwa na miaka 19 means kwamba nilikaa almost 18 yrs ..ila toka nile sijawahi acha

Mi napeleka moto
 
Maneno yako yana Ukweli, Mkuu. Mimi nimebakisha miezi miwili kufikisha Miaka Mitatu toka Wife afariki kwa ajali na kuniachia Wato Wstatu 29, 27, 24 na 21.
Kwa muda wote huo hata mara moja sijakaa katikati ya mapaja ya mwanamke na kukukuruka!
Na ninajisikiwa fresh tu.
Na katika muda huo pia nimeota na kuchafua shuka mara tatu nne tu...na Tatu ama Nne Kwa Wiki ninamkaa Bendera ipo Full Mlingoti na Maisha yanasonga.
Nimefahamu kuwa Watu huwa ni Kujiendekeza tu!
Ukiamua Unaweza Bila Matatizo yoyote.
Samahani mkuu, Una Umri gani?

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume huyu huyu wa sayari hii ya Earth ambaye anaweza kusimamisha mkuyenge kwa sababu tu kaona chura tena aliyepo kwenye nguo? Sidhani
Huyo hawezi maana ana hisia kali, ila kama ataweza kuhamisha mawazo kutoka kwenye hisia kali na kwenda kwenye something constructive atawezaa!
 
Back
Top Bottom