Utafiti: Mwanaume anao uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi

Maneno yako yana Ukweli, Mkuu. Mimi nimebakisha miezi miwili kufikisha Miaka Mitatu toka Wife afariki kwa ajali na kuniachia Wato Wstatu 29, 27, 24 na 21.
Kwa muda wote huo hata mara moja sijakaa katikati ya mapaja ya mwanamke na kukukuruka!
Na ninajisikiwa fresh tu.
Na katika muda huo pia nimeota na kuchafua shuka mara tatu nne tu...na Tatu ama Nne Kwa Wiki ninamkaa Bendera ipo Full Mlingoti na Maisha yanasonga.
Nimefahamu kuwa Watu huwa ni Kujiendekeza tu!
Ukiamua Unaweza Bila Matatizo yoyote.

Ngono ni Mindset , Ukiset brain yako kufanya ngono itakupelekesha hivyo hivyo ,hamu ya kufanya ngono inakuja onetime ukiifuatisha itakupelekesha ukiishinda utona kawaida ,ila haina haja ya kukuaa muda mrefu wakati vitendea kazi vipo vingi tu.
 
Mwanaume anao uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi, jambo ambalo ni ngumu kwa mwanamke.

Mwanamke akiishi zaidi ya miezi mwili, ataanza kuongea mambo yasiyo eleweka (Pumba) na kucheka cheka mara kwa mara.

Aidha upo uwezekano mkubwa wa kupata madhara ya kiakili.
Huo utafiti kwangu haupo,wiki tu napata tabu....huo utafiti walifanyia india sio tz
 
Maneno yako yana Ukweli, Mkuu. Mimi nimebakisha miezi miwili kufikisha Miaka Mitatu toka Wife afariki kwa ajali na kuniachia Wato Wstatu 29, 27, 24 na 21.
Kwa muda wote huo hata mara moja sijakaa katikati ya mapaja ya mwanamke na kukukuruka!
Na ninajisikiwa fresh tu.
Na katika muda huo pia nimeota na kuchafua shuka mara tatu nne tu...na Tatu ama Nne Kwa Wiki ninamkaa Bendera ipo Full Mlingoti na Maisha yanasonga.
Nimefahamu kuwa Watu huwa ni Kujiendekeza tu!
Ukiamua Unaweza Bila Matatizo yoyote.
Kwa watoto hao ni dhahiri upo on your 60’s ambako maswala ya K sio kipaumbele mwili ushaanza kuchoka choka!
 
Maneno yako yana Ukweli, Mkuu. Mimi nimebakisha miezi miwili kufikisha Miaka Mitatu toka Wife afariki kwa ajali na kuniachia Wato Wstatu 29, 27, 24 na 21.
Kwa muda wote huo hata mara moja sijakaa katikati ya mapaja ya mwanamke na kukukuruka!
Na ninajisikiwa fresh tu.
Na katika muda huo pia nimeota na kuchafua shuka mara tatu nne tu...na Tatu ama Nne Kwa Wiki ninamkaa Bendera ipo Full Mlingoti na Maisha yanasonga.
Nimefahamu kuwa Watu huwa ni Kujiendekeza tu!
Ukiamua Unaweza Bila Matatizo yoyote.
Angalia watoto ulionao kwanza miaka 21 mpaka 29 kwa makadilio hapo una miaka kuanzia 50 au 45. Kwa umri huo halafu kuondokewa na mke kumekushake kidogo hapo huwez taman mwanamke zaid ya kumkumbuka mkeo. Anyway pole kwa kuondokewa na chocolate wako
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Hebu tupia na kapicha ka chura ndani ya nguo 😜😜😜
Nakubaliana na mtoa post, utafiti wako uko mukide.
Me nilisha kaanga mwaka na nusu bila kuweka.
Tatizo sasa, kila nikilala lazima niote naweka, nikimuona hata mtoto (wakike) akiwa anakojoa lazima mwamvuli ukunjuke, yani ni tabu tupu.
Wewe umeadhirika na montepuez tu
 
Mwanaume huyu huyu wa sayari hii ya Earth ambaye anaweza kusimamisha mkuyenge kwa sababu tu kaona chura tena aliyepo kwenye nguo? Sidhani
Yaan wengine tukiona vifua vinetuna tayar mshale tayari sembuse kukaa wiki. Kwa miaka yangu yote toka niijue bambucha, muda mwingi niliokaa ilikuwa wiki mbili tena nilikuwa nimefulia lakini wiki zote hizo nyeto ilikuwa mara tatu kwa siku
 
Mwanaume anao uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi, jambo ambalo ni ngumu kwa mwanamke.

Mwanamke akiishi zaidi ya miezi mwili, ataanza kuongea mambo yasiyo eleweka (Pumba) na kucheka cheka mara kwa mara.

Aidha upo uwezekano mkubwa wa kupata madhara ya kiakili.
Km hana hela....
 
Siafikiani nao. Wewe unaweza kukaa mwaka bila kunyanduliwa!? 😂😂😂 unataka kuwa MTAWA!?
Mapadre wenyewwe wananyandua . Kwanza mimi nikinyandua ndo kazi inaenda maana mwili unakuwa na hamu ya kazi ya kazi. Utaweza kuka mwaka ukiwa umefungiwa hutoki yaani vitoto vyote hivi uvumilie
 
Back
Top Bottom