King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Maneno yako yana Ukweli, Mkuu. Mimi nimebakisha miezi miwili kufikisha Miaka Mitatu toka Wife afariki kwa ajali na kuniachia Wato Wstatu 29, 27, 24 na 21.
Kwa muda wote huo hata mara moja sijakaa katikati ya mapaja ya mwanamke na kukukuruka!
Na ninajisikiwa fresh tu.
Na katika muda huo pia nimeota na kuchafua shuka mara tatu nne tu...na Tatu ama Nne Kwa Wiki ninamkaa Bendera ipo Full Mlingoti na Maisha yanasonga.
Nimefahamu kuwa Watu huwa ni Kujiendekeza tu!
Ukiamua Unaweza Bila Matatizo yoyote.
Ngono ni Mindset , Ukiset brain yako kufanya ngono itakupelekesha hivyo hivyo ,hamu ya kufanya ngono inakuja onetime ukiifuatisha itakupelekesha ukiishinda utona kawaida ,ila haina haja ya kukuaa muda mrefu wakati vitendea kazi vipo vingi tu.