Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

Ukioa mwanamke unakuwa baba yake. Kwa hiyo unatakiwa kufanya majukumu yote kwake mfano wa baba na bintiye.

Tatizo la vijana wa siku hizi wanapenda kusaidiwa majukumu. Wewe unaweza mwambia binti yako akukopeshe pesa za matumizi? ukimuomba ujue unakosea na atakudharau sana.
 
Daah Nina demu wangu huyo , kila tukichart SMS mbili ya Tatu lazima tusolve Ka issue , nouma sana
Mbaya zaidi utajikuta unaamuwa kumuoa huyohuyo ukiamini atabadirika, huyo ukioa ndio utazijuwa rangi zake zote.
 

Sasa kama mwanamke anapokea mshahara mkubwa kwa nini asichangie maendeleo?
 

Sasa kama mwanamke anapokea mshahara mkubwa kwa nini asichangie maendeleo?
 
Wewe umekuja kuwaokoa singo mama na feminist wa humu. Maana kila siku tunapigizana nao kelele, hawaelewi nini maana ya familia.
 
Ndoa yenu imeshakufa, imebaki ndoa jina
 
Haya bana, mkumbuke kusajili sasa, hilo timu litawapa vidonda vya tumbo.
Achana na timu yetu kila mtu apambane na timu yake..kama uliweza kusavaivu miaka 4 ya kula mihogo mikavu na maji ya kandoro pale jangwani why sisi tushindwe tena tukiwa bado tuna nafasi zingine huko duniani mfano kucheza AFL....kuhusu kusajili tutasajili ww tulia tuu...
By the way huu uzi unataka kuuchafua sasa...
 
Ndoa ni kitu kitakatifu sema sasa mnaochaguana hamjui mnaingia kwenye kitu kikubwa kitakatifu chenye kuwa na kujitolea kuvumuliana kwa shida na raha, maelewano, kukabiliana na chuki zote maana kitu chochote kitakatifu shetani anakipiga vita sana, sasa mnapigwa vita mnayumba mnaachanaa hata hamuombi wala kumshirikisha Mungu, watu mmepoteza hofu ya Mungu. Lazima ndoa ikumbane na changamoto
 
Nikishaona mtu anaandika Kwa kuchanganya Caps, huwa najuwa ameshachanganyiwa anaelekea kuwa kichaa.

Huna tofauti na hawa.
View attachment 2973407
Huyu mwanamke naona kavimba jicho la kushoto au macho yangu ya uzee ndugu matola PhD? na body language inaonesha kama huko walikotoka kuna shida though wapo msibani. Note! Kulia msibani macho yanaweza kuvimba lakini huyu chini ya jicho kuna ranging ya kahawia inayoashiria kapigwa ngumi au Kofi.
 
Huyo ni chaguo lako x 3

Sijui hii nyimbo aliimbaga nani

By the way, Kwa namna hali ya mambo ilivyo Kwa ground hasa Kutokana na push ya haki sawa (50/50) Kuna haja kukawa na Ndoa za mikataba aisee
Huo wimbo wa menenisa na wimbo wa Martha baraka nimekuja na maua zilivunja rekodi za kupigwa harusini hasa wakati wa kutoa zawadi, wazazi wetu waliweza kupata ndoa bora na imara kwa kua hawakua wakikurupuka tu na kuoana, ndoa ilipitia michakato mingi,upelelezi wa kimya kimya ulifanyika kwa pande zote kujua tabia,miendo,magonjwa,ushirikina, imani ya dini, watakapoona vigezo na masharti vimezingatiwa basi mipango ya kutoa posa na kutambulishana hufuata, but nowadays ndoa zimekua vululuvululu watu tunakutana mijini no family backgrounds mnakutana beach kidimbwi after three months watu wanavishana pete with no time for extensive research and time for knowing each other, after three years utasikia watu wamedivorce and life goes on, sasa hivi kila kijana sifa ya kwanza anayohitaji kutoka kwa mwanamke ni tako Nene na sio mwanamke mzuri up stair wala mchaMungu kama zamani.
Huyo ni chaguo lako x 3

Sijui hii nyimbo aliimbaga nani

By the way, Kwa namna hali ya mambo ilivyo Kwa ground hasa Kutokana na push ya haki sawa (50/50) Kuna haja kukawa na Ndoa za mikataba aisee
 
Ndio sio tatizo, tatizo ni wanaoingia kwenye ndoa bila kuwa na ufahamu wa nini wanakwenda kufanya.

Ukibadili mtazamo wako kama mwanandoa kutoka "Nakata unifanyie hiki na kile ili niwe na furaha" na kuwa " napenda tukikaa na kupanga mambo yetu na malengo ya nyakati then kugawana majukumu kisha kila mojawapo kushika sehemu yake tukisaidiana" ndoa inakuwa na furaha sana.

Watu wanaingia kwenye ndoa wakiwa na fikra za ubinafsi sana bila kujua ni muungano wa watu wawili ambao wanatakiwa kuishi kama mwili m'moja.

Nini maana ya mwili m'moja sasa kama unataka ufanyiwe kila kitu ila wewe hautambui mahitaji muhimu ya mwenzako.

Viburi hasa wanawake kwa wanaume zao imekuwa chanzo cha kutofautiana ndani ya nyumba na kuuwa spirit ya umoja.

Mkeo anatakiwa kuwa best friend wako na fan namba moja na mumeo anatakiwa kuwa Role model na kiongozi wako muda wote.

Wapi mnafeli vijana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…