Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

Ukianza kuchagua matako pamoja na urimbwende lazima Ndoa itasumbua
 


Ni kweli ndoa nyingi zimebaki kulea watoto tu basiii, hakuna ushirika wa mke na mume yaani intimacy.
 


Wanaishi kimkandamkanda tu .
Wengine walishatengana vyumba siku nyingiiii.
Wakiwa kwenye jamii wanajifanya wako pamoja lakini waapiiii!
 


Wanasaikolojia wanasema;
โ€œ Being in a relationship for long time does not mean it is working โ€œ

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Wengi walishatengana miaka mingi, hata ndugu wa karibu huwa wanajua.
 


Upendo wa wengi siku hizi umeona ndio maana hata kwenye misiba ya wenza wanawake siku hizi hawalii wenza wao tena kama ilivyokuwa zamani ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ

Wanafikiria mali tu kama zipo basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ