Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

Ndoa ni kitu kigumu sana pale mkiwa mmeokotana kwa zile sifa za nje nje za matamanio na fantasy za ajabu ajabu, Naogopa sana kwa haya nayoyaona. Mungu anisaidie
We Msichana, leo umeongea point sana 🔥😍🤩🤩😘😘
 
 

Attachments

  • IMG_0657.jpeg
    66.4 KB · Views: 4
Wazungu sijui huwa wanawaandaa vipi watoto wao kisaikolojia kuishi pale ambapo baba na mama zao huachana, huku kwetu watoto mara nyingi hupitia kipindi kigumu sana kisaikolojia pale ambapo wazazi wao
Haina cha wazungu wala Waafrika hata mbele watoto huathirika kisaokolojia

Ukifuatilia sana wacheza porno wametokea familia za aina hiyo
 
Wenye akili hawaoi.
 
Ndezi ni wewe unayeshindwa kusoma kwa ufahamu unakurupuka na kushindwa kudiscuss maada unaleta kelele na makasiriko yasio na msingi wowote. Jifunze kusoma kwa ufahamu. Utajifunza kujibu kwa ufahamu.

Bado narudia jamaa anatabu huko aliko.
Sibishani na makubwa jinga mimi...... kaendelee kupambana na type zako, shwain
 
Ndoa ni kitu fulani hivi cha kipuuzi.

Haya sio maisha yaliyo upande wangu kabisa kwa namna yoyote.

Uzuri sijawahi wala sitakuja kuwahi kuwa na matamanio na maisha ya namna hii.

Watu wazima wawili wenye malezi tofauti na tabia tofauti mnakusanyana kwenda kuishi pamoja maisha yenu yote kwa kubashiri katika safari ndefu kuwa mtavumiliana kweli inachekesha.

Nashukuru naweza kusema hivyo kuwa mimi ni mmoja wapo wa watu tofauti sana unapofika mtazamo wa kuishi na mwanamke, familia au mtu tofauti na mimi sifurahishwi kabisa na kuwa na mtu karibu anaye ingilia uhuru wangu.

Ndoa, mahusiano ya kimapenzi ya muda mrefu, familia, ndugu, marafiki aiseeh! haya mambo yapo mbali nami kabisa.

Napenda kuishi peke yangu peke yangu hayo mambo ya ndoa na familia sijui watoto nawaachia mnaovutiwa na mtindo huo wa maisha.

Ila na hakika maisha nayo vutiwa nayo mimi nikiyasema wenda Tanzania na duniani aina ya watu kama mimi tupo wachache sana wa kuhesabika tofauti na nyie wengine.

BINAFSI SIJAZALIWA KABISA KWA AJILI YA MAISHA YA NDOA, MAHUSIANO MAHUSIANO YA KIMAPENZI, URAFIKI, UNDUGU, FAMILIA NAWEZA KUSEMA HIVYO.
 
Mwanamke akishazalishwa katika visa vingi hana ujanja wa kumpiga chini mume wake anabaki kuvumilia kwa sababu anahofia
●Watoto
●Kuolewa tena na umri umeenda na kashazalishwa
●Kuwa single maza kulea bila baba
●Matunzo
Ndio maana nikakuuliza hizo sababu zinatengenezwa na nani, yani kwanini mwanamke hasa wa jamii za kiafrika aogope kuachika kwa sababu hizo, mbona kwenye jamii nyingine mfano za wazungu wanawake wanaachika na hawawazi hayo
 
Ndio maana nikakuuliza hizo sababu zinatengenezwa na nani, yani kwanini mwanamke hasa wa jamii za kiafrika aogope kuachika kwa sababu hizo, mbona kwenye jamii nyingine mfano za wazungu wanawake wanaachika na hawawazi hayo
Yeye mwenyewe mwanamke ndiye anayejitengenezea hizo sababu maana haki na sababu za kumuacha anazo

Wanawake wa Kiafrika mko na njaa sana ndio maana mko tayari kumsamehe au kumvumilia mwanaume kisa tu ana kibunda na matunzo
 
Endeleeni kuoa wakuu sisi KATAA NDOA tuko hapa tunawazoom tu na malalamiko yenu hap JF
NDOA NI TAASISI YA KITAPELI ILYOJIFICHA CHINI YA MWAMVULI WA FAMILIA.
 
Yeye mwenyewe mwanamke ndiye anayejitengenezea hizo sababu maana haki na sababu za kumuacha anazo

Wanawake wa Kiafrika mko na njaa sana ndio maana mko tayari kumsamehe au kumvumilia mwanaume kisa tu ana kibunda na matunzo
Okay sasa kama ni hivyo kwanini mnatumia nguvu kubwa kuipinga haki sawa ambayo lengo lake ni kumfanya mwanamke awe financially independent from mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…