Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

Tatizo letu huku ni umaskini na roho mbaya
 
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;
haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;
1 kor 13:4-8.
Nina mashaka na tunda la upendo kuwepo Kwa wanandoa wengi.
Nonabyofahamu Mimi, palipo na upendo kila mmoja hujitahidi kujitoa kufanya jambo Kwa ajili ya kumpendeza mwenzie, kadhalika hujizuia kutofanya lolote ajualo kwamba litamchukiza mwenzie.
Ndoa nyingi zimevunjika na nyingine zimekufa kivitendo sababu mwanandoa mmoja au wote waliacha kujali Wala kuthamini hisia za wenza.
 
Upendo Hauna balance.
Kila mmoja ana jitahidi Kwa kadri awezavyo kutokana na fursa na vipawa alivyojaliwa na mwenyezi Mungu, kumfurahisha mwenzie.
 
Inatakiwa kushika vyote. Kazi ufanye uchangie kwenye uchumi wa familia na majukumu yako ya nyumbani utimize.

Kwani mwanaume kuwa na kazi na kuleta kipato kunamfanya asitengeneze mda Kwa ajili ya mkewe na watoto au shughuli fulani za nyumbani?
Mkuu,
Ndo maana twawakwepa wanawake wa namna hii.
Akiwa na kazi basi anajiona na yeye ni mwanaume.
Wanaume wawili ndani wa kazi Gani!!
 
Mm niliivaaan na mwanamke fulan back in time na ndoa tukafunga
Alinisumbua Bado nusu nijinyonge
But nkajikaza nkapiga moyo konde nkaamua kutalikiana nae
Wengine wapo
Akampata mwanamke mwingine anae adabu balaa nashukur mung now na kitambi kinatoka

Yes,I made a mistakes just because life comes without instructions
 
Na kwanini na ninyi wanaume msifanye vyote kama mnaona ni rahisi
Tukifanya vyote , mwanamke hata kuwa Tena na thamani kwetu.
Wanawake, msitafute ulinganifu.
Kiasili sisi ni watawala wenu.
Tunaweza kufanya chochote Kwa kujisikia. Hii haituongezei Wala kutupunguzia nafasi kwenye utawala wetu, kama ambavyo mfanyakazi hawezi kijaji kumuwajibisha bosi wake.
Halafu mwatafuta ulinganifu ili iweje!!
Mahali nani kalipa?
 
😊😊 adi kujinyonga mzee ilikuwa hatari alikuwa anachepuka nn?
 
Na kwanini na ninyi wanaume msifanye vyote kama mnaona ni rahisi
Kwani huwa hatufanyi vyote tulete chakula, tulipe ada za watoto, tutume matumizi kwa wazazi wa wake zetu, tuwavishe mke na watoto. Mda huo wewe kama unafanya kazi ela yako ni ya kwako. Tuweke mtu wa kufanya kazi za nyumbani mwanaume ndio amlipe.

Nguvu inayotumika kutafuta hiki kipato kutimiza haya yote kwako ni sawa na wewe unaekaa nyumbani kudeki na kupika na pengine kuna mfanyakazi unamuelekeza tu anafanya.

Basi mi mwanaume uniwekee mfanyakazi nikae nyumbani au kama nafanya kazi ela yangu iwe yangu halafu tuone kama ntashindwa kufanya vyote

Au vyote vipi unaviongelea?
 
Ndoa asili yake sio usawa.
Itakapofikia hapo kwenye usawa,
Ni pale ambapo mahali litaondolewa kuwa takwa la kufunga ndoa.
 
Jidaaaanganyeeeee🤣🤣🤣🤣
 
Kuna majirani zangu familia moja ni wazazi wa Producer mkubwa tu apa nchini na familia ingine ni wananchi wa kawaida tu, yan hawa ndoa zao zilishavunjika kitambo kila mmoja analala kwenye chumba chake kwenye nyumba moja ila nje wanaonekana kama wanandoa
 
Kiburi cha uzima huko, siku mmoja akipatwa na maradhi utawaona wanajifanya kupendana na kujaliana .... Waswahili "wanasema nyoko nyoko kuonana".....Yani mnagombana sababu mnaonana, mna afya, siku mwenzio akifariki, au akiwa katika deathbed ndo utajua umuhimu WA kuishi kwa maelewano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…