Utafiti niliofanya ndani ya JamiiForums kwa kipindi kama hiki miaka ya utawala wa Magufuli hakukuwa na malalamiko ya umeme kukatika mara kwa mara

Ulikuwa inaishia Tanzania gani wewe puya?
Hiyo ni nov 2017 watu wanalalamikia umeme.

Shoga kama wewe unaweza usijue mana mda huo pengine ulikuwa kwa basha wako umepakatwa.
 
Naunga hoja mkono, ila kulikua na malalamiko ya miili ya watu kuokotwa kwenye viroba, wengine wakipotea tu, wengine wakiondoshwa kazini, wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi. Katikati ya hayo yote hata umeme ukikatika utauwazia kweli?
Hilo la watu kuokotwa ndani ya viroba wameshalisahau, wanaongelea kukatika kwa umeme. Namna binadamu asivyokuwa na shukrani na alivyo mwepesi wa kusahau.
 
Hakuna rais anayekubalika bongo hii, siku zote ni wa kulaumiwa na kushutumiwa. Ni mpaka akiondoka ikulu ndipo anapopewa sifa za 'bandia'.
 
Naunga hoja mkono, ila kulikua na malalamiko ya miili ya watu kuokotwa kwenye viroba, wengine wakipotea tu, wengine wakiondoshwa kazini, wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi. Katikati ya hayo yote hata umeme ukikatika utauwazia kweli?
Akirudi tena nistue

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu we kimyakimya tu unapiga mlemle.Hongera.
 
Elewa mada inaongelea Nini badala ya kupost tu bila kujielewa .tunaongelea kipindi Cha November kila mwaka ambacho kinasemekana mito hukauka na mabwawa ya kuzalisha umeme kukosa maji
Hakuna cha kipindi cha november wala nini hapa.Suala ni je!Umeme kukatikakatika kuliisha kipindi cha [emoji88]kama mnavyotuaminisha nyinyi wafia legacy ya [emoji88]?.
Acheni unafiki.
 
Kuna yeyote aliyeweza kulalama hadharani kwamba kuna mgao?
 
Piga hapohapo mpaka amtaje aliyemtuma manina!.
 
Nchi imekosa uongozi madhubuti,tumerudi enzi za ubabaishaiji
 
Yoda kakuminya makalio sasa naona dozi imekuvuruga.[emoji2][emoji23][emoji16]
 
NNa
Naomba picha ya mrembo mmoja mkali
 
Kifupi jamaa wameanza kutuibia Tena Kama enzi za Msogagang.
Huenda hata ile mita ya kusoma mafuta bandarini imeshacuepushwa tena.

JK tuache tupumue!ulitutesa Sana na mgao enzi zako,hajaridhika mlizochuma?
Ebu rudi juu hufungue past thread alizopost Yoda alafu ndiyo urudi tena hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…