hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 3,553
- 7,334
Ulikuwa inaishia Tanzania gani wewe puya?
Shoga kama wewe unaweza usijue mana mda huo pengine ulikuwa kwa basha wako umepakatwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa inaishia Tanzania gani wewe puya?
Hilo la watu kuokotwa ndani ya viroba wameshalisahau, wanaongelea kukatika kwa umeme. Namna binadamu asivyokuwa na shukrani na alivyo mwepesi wa kusahau.Naunga hoja mkono, ila kulikua na malalamiko ya miili ya watu kuokotwa kwenye viroba, wengine wakipotea tu, wengine wakiondoshwa kazini, wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi. Katikati ya hayo yote hata umeme ukikatika utauwazia kweli?
Hakuna rais anayekubalika bongo hii, siku zote ni wa kulaumiwa na kushutumiwa. Ni mpaka akiondoka ikulu ndipo anapopewa sifa za 'bandia'.JamiiForums ni eneo ambalo watu wakiona kero huwa hawaiachi na Hakuna wa kuwazuia wasiandike
Nimejitahidi kufanya utafiti kupitia nyuzi zote za kipindi chote cha utawala wa Magufuli mwezi kama huu wa 11 miaka yote ya utawala wa Magufuli baada ya kuapishwa kuanzia 2016 November hadi 2020 November nikaangalia vipindi vyote vya November miaka yote hakukuwa na malalamiko ya wananchi humu jamii forums ya tatizo la umeme kukatikatika nchi nzima Kama Wala la maji ya ratiba ya mgao Dar es Salaam
Nilifanya hivyo sababu wengine wanadai ni kawaida kipindi kama hiki cha November huwa na hiyo shida hivyo kuletelea shida ya tatizo la maji na umeme. Hilo lalamiko sikuliona kipindi chote cha Magufuli humu Jamiiforums watu wakiibua threads za malalamiko kama sasa
Tafsiriri yake nini?
Hicho ulichoweka ki Photoshop chako hakifunguki hata kufungukaView attachment 2016072Hiyo ni nov 2017 watu wanalalamikia umeme.
Shoga kama wewe unaweza usijue mana mda huo pengine ulikuwa kwa basha wako umepakatwa.
Akirudi tena nistueNaunga hoja mkono, ila kulikua na malalamiko ya miili ya watu kuokotwa kwenye viroba, wengine wakipotea tu, wengine wakiondoshwa kazini, wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi. Katikati ya hayo yote hata umeme ukikatika utauwazia kweli?
Kwahiyo awamu hii watu wanaponda hawakosoi ila awamu iliyopita ndio mlikuwa mnakosoa?Huyo ni sukuma gang hivyo usishangae kuiponda awamu tuliyo nayo.
Safi sana mkuu kwa kuwaumbua wanafiki.Kumekuwa na tatizo la umeme mitaani hasa DSM kiasi kwamba tunaamini yaweza kuwa mgao usio rasmi
Kumekuwa na tatizo la umeme mitaani hasa DSM kiasi kwamba tunaamini yaweza kuwa mgao usio rasmi. Cha kushangaza TANESCO hawasemi chochote kana kwamba hili ni suala la kawaida. Komesha umekuwa leo huku mkijua leo ni sikukuu muhimu ya kimataifa sasa toka asubuhi mmekata umeme ili joto lituadabishe...www.jamiiforums.com
Mkuu we kimyakimya tu unapiga mlemle.Hongera.Nini kinacho Endelea kigamboni na Mgao wa Umeme???
Habarini ndugu & jamaa wa JF. Niliwahi kuishi kigamboni kwa miaka 3 na miezi kadhaa.... kwa kipindi hicho umeme ulikuwa unakatika sana hakuna mfano, pia ulikuwa unakawia kurudi...... kwa wiki, wastani wa umeme kukatika ilkuwa kama mara 16/wiki. Sasa nimekuja huku kama wiki mbili zilizopitz...www.jamiiforums.com
Hakuna cha kipindi cha november wala nini hapa.Suala ni je!Umeme kukatikakatika kuliisha kipindi cha [emoji88]kama mnavyotuaminisha nyinyi wafia legacy ya [emoji88]?.Elewa mada inaongelea Nini badala ya kupost tu bila kujielewa .tunaongelea kipindi Cha November kila mwaka ambacho kinasemekana mito hukauka na mabwawa ya kuzalisha umeme kukosa maji
Kuna yeyote aliyeweza kulalama hadharani kwamba kuna mgao?JamiiForums ni eneo ambalo watu wakiona kero huwa hawaiachi na Hakuna wa kuwazuia wasiandike
Nimejitahidi kufanya utafiti kupitia nyuzi zote za kipindi chote cha utawala wa Magufuli mwezi kama huu wa 11 miaka yote ya utawala wa Magufuli baada ya kuapishwa kuanzia 2016 November hadi 2020 November nikaangalia vipindi vyote vya November miaka yote hakukuwa na malalamiko ya wananchi humu jamii forums ya tatizo la umeme kukatikatika nchi nzima Kama Wala la maji ya ratiba ya mgao Dar es Salaam
Nilifanya hivyo sababu wengine wanadai ni kawaida kipindi kama hiki cha November huwa na hiyo shida hivyo kuletelea shida ya tatizo la maji na umeme. Hilo lalamiko sikuliona kipindi chote cha Magufuli humu Jamiiforums watu wakiibua threads za malalamiko kama sasa
Tafsiriri yake nini?
Tatua mishono fake ya watu [emoji88]!Piga mulemule woorereee!.Tupeane updates za mgao wa umeme leo kwa jiji la Dar
Kuanzia Mwenge, Makumbusho na Kinondoni yote hakuna umeme. Vipi huku mlipo mgao unaendelea?www.jamiiforums.com
Piga hapohapo mpaka amtaje aliyemtuma manina!.Tanzania ya Viwanda na Umeme wa Mgao Makao Makuu ya nchi Dodoma
Tumekua tukihubiri kuhusu uwepo wa Tanzania ya viwanda na Tanzania kufika kuwa nchi yenye uchumi wa kati kufikia 2025 lengo hili halitafanikiwa kwani tangu wiki hii imeanza kumekuwepo na mgao wa umeme katika mkoa wa Dodoma ambao na makao makuu ya nchi toka Jumatatu hakuna umeme wa uhakika maeneo...www.jamiiforums.com
Nchi imekosa uongozi madhubuti,tumerudi enzi za ubabaishaiji
Aaah aah.Piga hapohapo mpaka amtaje aliyemtuma manina!.
Yoda kakuminya makalio sasa naona dozi imekuvuruga.[emoji2][emoji23][emoji16]Utafiti JamiiForums unaendelea
Kwa utafiti nikiofanya kwenye hii mada yangu niliyoanzisha Kama mwana CCM ya kukosoa Serikali yangu humu nimegundua kitu Cha aja
Upinzani hasa Wana Chadema wa humu JamiiForums ndio wanaongoza kupinga mada Yangu na kutetea msimamo wa serikali iliyopo sasa kwa nguvu hasa .Hadi Raha.
Kumbe yawezekana Chadema kuungana na serikali na kuachana na upinzani wao
Wamegeuka kuwa ndio watetezi wakubwa wa serikali ya Sasa kwenye hii mada yangu kwa wingi wao
.CCM hoyeeee .
Naomba picha ya mrembo mmoja mkaliJamiiForums ni eneo ambalo watu wakiona kero huwa hawaiachi na Hakuna wa kuwazuia wasiandike
Nimejitahidi kufanya utafiti kupitia nyuzi zote za kipindi chote cha utawala wa Magufuli mwezi kama huu wa 11 miaka yote ya utawala wa Magufuli baada ya kuapishwa kuanzia 2016 November hadi 2020 November nikaangalia vipindi vyote vya November miaka yote hakukuwa na malalamiko ya wananchi humu jamii forums ya tatizo la umeme kukatikatika nchi nzima Kama Wala la maji ya ratiba ya mgao Dar es Salaam
Nilifanya hivyo sababu wengine wanadai ni kawaida kipindi kama hiki cha November huwa na hiyo shida hivyo kuletelea shida ya tatizo la maji na umeme. Hilo lalamiko sikuliona kipindi chote cha Magufuli humu Jamiiforums watu wakiibua threads za malalamiko kama sasa
Tafsiriri yake nini?
Unauliza ndevu kwa Osama?Kwahiyo awamu hii watu wanaponda hawakosoi ila awamu iliyopita ndio mlikuwa mnakosoa?
Ebu rudi juu hufungue past thread alizopost Yoda alafu ndiyo urudi tena hapa.Kifupi jamaa wameanza kutuibia Tena Kama enzi za Msogagang.
Huenda hata ile mita ya kusoma mafuta bandarini imeshacuepushwa tena.
JK tuache tupumue!ulitutesa Sana na mgao enzi zako,hajaridhika mlizochuma?
Huyo YEHODAYA ni sawa na gunia la mazoezi ya jamii forum maana hanaga akiliYoda kakuminya makalio sasa naona dozi imekuvuruga.[emoji2][emoji23][emoji16]
Ni wajane wa kisiasaAaah aah.
Kaekewa mpaka za mwezi november watu wanalalamikia umeme.
Tuwasamehe tu wajana hawa bado wana sononeko.