Utafiti: Nusu ya wanaume duniani wangependa kuwa mademu

Utafiti: Nusu ya wanaume duniani wangependa kuwa mademu

Utoto mbaya sasa tunajadili mm au mada ,jifunze namna ya kujifunza
Najadili ulichokiandika juu ya mada husika jibu swali langu aidha ni conclude wewe ni mmoja wapo
 
Huwa nawauliza mabinti wengi juu ya hili suala. Aisee sijawahi kukutana na binti aseme anafurahia kuwa mwanamke. 100% walinijibu wanatamani sana wangekuwa vidume.

Binafsi hata nikumbane na changamoto milioni 900, sitarajii kujutia kuzaliwa mwanaume. Yaani nikitafakari kusukumiwa moto... mastyle kibao mara mbuzi kagoma... doggy... chuma mboga... bodaboda... popo kanyea mbingu...hujakaa sawa jamaa linazama mtaroni... aaaaaahhh hapana aisee!!!

Hao wanaume wa huko magharibi ndo wanatamani hayo mambo ya kupumuliwa
Hata Mimi nimeshasikia mabinti wengi wakitamani kuwa wanaume.
Ni bora angesema BINADAMU WENGI HUTAMANI KUWA WANAUME
 
Najadili ulichokiandika juu ya mada husika jibu swali langu aidha ni conclude wewe ni mmoja wapo
mimi ni sehemu ya kuwa concluded kwenye mjadala huu mkuu ,mimi nimeishi mji huo mika mitatu nimeona mada nikachangia nilichokiona katika kujadili jambo hilo ,ukaja na swali kuhusu mimi ,nilidhani ungeulizia mada na nilichokiona ,USHAURI : Jiheshimu kaka sio kila mtu mjinga mjinga soma hapa

ni sawa na mm niseme cabo huwa ni mji maarufu kwa sherehe za mabaharia ambao hufaamika kwa kufir*&$ kwa kuwa hawakai na wanawake baharini ,kisha niseme wewe shoga ntakuwa nakukosea heshima sana
 
Huu ni usenge ...wa kiwango cha ....SGR Yan nitaman kuwa manz
 
Hiyo tafiti kwa 98% waliwahoji ma Gays.
Madume ni watawala wa ulimwengu.
 
Acha uchoko
Sijutii kuwa Mwanaume hata siku moja
Nina Nguvu za kutosha kumudu majukumu yangu.
Pia Kama ningekua mdada nisingekua hapa leo hii.
Wanaumeee ??
Akina nani hao
Wote sema
Wanaumeee
Kwa Sauti
 
Baba Levo naye anasemaje kuhusu huu utafiti.
Maana yeye sio tu kwamba anatamani kuwa mwanamke Ila anatamani kuisikilizia mpaka kuzalishwa na si mtoto mmoja Bali watatu.
 
Nadhani wametumia sample space mbaya, hiyo ni sawa uende kinondoni uulize wanaume, kati ya ugali na chips mnapenda nini; kisha wengi wajibu wanapenda chipsi. Alafu wewe uwatangazie dunia kuwa umefanya utafiti na kugundua wanaume wa tanzania wanapenda sana chipsi kuliko ugali.
 
wa
Gazeti moja la marekani la mjini San Francisco limeripoti utafiti wake kuwa kuanzia Karne ya 20 nusu ya wanaume wote duniani wangependelea kuwa wanawake wakati chini ya robo ya wanawake duniani wangependelea kuwa wanaume.
Hii mada itakuwa imeletwa na AMSTERDAM
 
Huwa nawauliza mabinti wengi juu ya hili suala. Aisee sijawahi kukutana na binti aseme anafurahia kuwa mwanamke. 100% walinijibu wanatamani sana wangekuwa vidume.

Binafsi hata nikumbane na changamoto milioni 900, sitarajii kujutia kuzaliwa mwanaume. Yaani nikitafakari kusukumiwa moto... mastyle kibao mara mbuzi kagoma... doggy... chuma mboga... bodaboda... popo kanyea mbingu...hujakaa sawa jamaa linazama mtaroni... aaaaaahhh hapana aisee!!!

Hao wanaume wa huko magharibi ndo wanatamani hayo mambo ya kupumuliwa

Hao mabinti most probably wako ama wamezungukwa na jamii inayofavor mwanaume zaidi!

Otherwise kwa binti/mwanamke ambaye anapata favors sawa na mwanaume na kuitambua nafasi ya uanamke wake katika mazingira yake, kamwe hawezi kutamani hata kwa sekunde kuwa mwanaume, I’m a woman, I know.
 
mimi ni sehemu ya kuwa concluded kwenye mjadala huu mkuu ,mimi nimeishi mji huo mika mitatu nimeona mada nikachangia nilichokiona katika kujadili jambo hilo ,ukaja na swali kuhusu mimi ,nilidhani ungeulizia mada na nilichokiona ,USHAURI : Jiheshimu kaka sio kila mtu mjinga mjinga soma hapa

ni sawa na mm niseme cabo huwa ni mji maarufu kwa sherehe za mabaharia ambao hufaamika kwa kufir*&$ kwa kuwa hawakai na wanawake baharini ,kisha niseme wewe shoga ntakuwa nakukosea heshima sana
Sawa mkuu ni mimi nimejichanganya tu sikuelewa mada tusameheane bhana hiyo comment sidhani kama nilikulenga wewe kukuquote [emoji120] ..and hebu nipe info kuhusu hapo ulipokuwa unaishi kwenye huo mji na kuhusu uo utafiti
 
Back
Top Bottom