Migato nvaningi
Senior Member
- Sep 7, 2017
- 113
- 99
Wewe na watafiti wako hamna tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu yameisha,yaani ni balaa hata barabarani unaona wanaume wananyonyana mate ,ukikaana nao ni kawaida mkwe kuwa rafiki na kupigiana simu na basha wa mwanae wa kiume ,wasagaji ndo usiseme kwa akili zetu za kibongo unaboreka sana ,kuna siku niliingia baa ya magay bila kujua sasa nimekaa na masela wawili ghafla wakaanza kulana mate sababu ya ulevi nikawauliza whats the hell is this !ase mabaunsa walinidaka wakanitoa nje fasta .hivyo kuhoji wanaume wa sanfransico ambapo hapazidi hata watu mil 1 utakosea kusema ndo wanaume wote wako hivyo nauhakika ukiuliza swali hilo kwa wanaume wa mara wanaweza kukuuaSawa mkuu ni mimi nimejichanganya tu sikuelewa mada tusameheane bhana hiyo comment sidhani kama nilikulenga wewe kukuquote [emoji120] ..and hebu nipe info kuhusu hapo ulipokuwa unaishi kwenye huo mji na kuhusu uo utafiti
Gazeti moja la marekani la mjini San Francisco limeripoti utafiti wake kuwa kuanzia Karne ya 20 nusu ya wanaume wote duniani wangependelea kuwa wanawake wakati chini ya robo ya wanawake duniani wangependelea kuwa wanaume.
Maalaya mkubwa wewe,,,Wanaopinga wengi ndio wanatamani kisirisiri shwaini[emoji12].........ntarudi kujibu comment[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
RUBBISHGazeti moja la marekani la mjini San Francisco limeripoti utafiti wake kuwa kuanzia Karne ya 20 nusu ya wanaume wote duniani wangependelea kuwa wanawake wakati chini ya robo ya wanawake duniani wangependelea kuwa wanaume.
Malaya kizazi chako chote mbwa wewe.....[emoji2089][emoji2089]Maalaya mkubwa wewe,,,
Sawa nadhani ni bora hao wako hadharani wanajionyesha kuna wimbi kubwa sana liko nyuma ya pazia ambao wako kimya kimya sana na chini kwa chini kwa hapa bongo ni balaaa mzeee mtu huwezi dhania yuko kawaida tu lakin nyuma ya pazia mzee ni zaid ya balaaaSawa mkuu yameisha,yaani ni balaa hata barabarani unaona wanaume wananyonyana mate ,ukikaana nao ni kawaida mkwe kuwa rafiki na kupigiana simu na basha wa mwanae wa kiume ,wasagaji ndo usiseme kwa akili zetu za kibongo unaboreka sana ,kuna siku niliingia baa ya magay bila kujua sasa nimekaa na masela wawili ghafla wakaanza kulana mate sababu ya ulevi nikawauliza whats the hell is this !ase mabaunsa walinidaka wakanitoa nje fasta .hivyo kuhoji wanaume wa sanfransico ambapo hapazidi hata watu mil 1 utakosea kusema ndo wanaume wote wako hivyo nauhakika ukiuliza swali hilo kwa wanaume wa mara wanaweza kukuua
Sawa, you're a woman. Fanya utafiti simple to kwa women wenzako halafu majibu ubaki nayo.Hao mabinti most probably wako ama wamezungukwa na jamii inayofavor mwanaume zaidi!
Otherwise kwa binti/mwanamke ambaye anapata favors sawa na mwanaume na kuitambua nafasi ya uanamke wake katika mazingira yake, kamwe hawezi kutamani hata kwa sekunde kuwa mwanaume, I’m a woman, I know.
[emoji16][emoji16]Ndugu yangu! Hii nchi ya viwanda ni balaa. Kuna style za kutosha.[emoji3][emoji3]boda boda ndio ipi tena hio mkuu