TANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA
Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3, Rwanda B2 na Uganda B2 (Moody's Page)
View attachment 3406604
tutawakabili vile mtakavyokujaTumemaliza madodoki..sasa ni ma steel wire
kwani pesa aliyokopa nyingi vile, amefanyia nini na nini, tunataka mahesabu.including kusafirisha kina stive ake marekani na mambo kama hayo.TANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA
Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3, Rwanda B2 na Uganda B2 (Moody's Page)
View attachment 3406604
mahesabu wewe ni CAGkwani pesa aliyokopa nyingi vile, amefanyia nini na nini, tunataka mahesabu.including kusafirisha kina stive ake marekani na mambo kama hayo.
kwa hiyo kazi ya kuhitaji accountability ni ya CAG peke yake? ona akili yako.mahesabu wewe ni CAG
Kazi na iendelee Kwa UtuTANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA
Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3, Rwanda B2 na Uganda B2 (Moody's Page)
View attachment 3406604
Bado unatafuta bwana??😀😀😀 taratibu mwanamkedo ndio umeandika nini
mama hongera sanaTANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA
Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3, Rwanda B2 na Uganda B2 (Moody's Page)
View attachment 3406604
Tangu zama za Mkapa ni BHow can it be rubbish
Still a Junk, below BB1 is a Junkhii sasa ni B1
Wenye akili watakuelewaSometimes unaweza kumkufuru Mungu tu kwasababu ya uelewa wa Watanzania; Watanzania sisi hua hatujali chochote kuhusu future ya nchi yetu, tunajali leo tu, hatuna mpango wowote wa our next generation. Sina tatizo kabisa na hu utafiti, sina mashaka kabisa na majibu ya hu utafiti LAKINI nina tatizo moja kubwa sana na understanding yetu kama Watanzania hasa wasomi; siwezi kushangaa nikisikia mleta uzi ni intellectual na ana GPA ya maana kabisa kutoka kwa one of the recognized university. Hivi hatujui motive behind ya wakopeshaji hasa pale wanapo ona unazo resources za kutosha? Watakutia moyo ili ukope zaidi ili kuendelea kuweka rehani nchi yako, na vichwa vya Watanzania ndio kama hawa sifia Sofia sports ndio kabisaaaa. Kuna kitu hakipo sawa kwenye bongo za Watanzania wengi, of course including myself. 😢 😭 poor my country
Huwa sikuelewi wewekwa hiyo kazi ya kuhitaji accountability ni ya CAG peke yake? ona akili yako.