UTAFITI: Sinza inaongoza kwa wanawake wazuri dar nzima

Hahaha kila mtu atumie akili mkuuu
 
Mbona ushubwada
 
Kati ya Wanawake 10 Sinza 1 tu ndio mzima huko watu ni wabovu nadhani kupita dar yote😢
 
Mkuu umeingia lini jijini dasalamu?
Unababaika na hao wadada wanaofanya daily routine skincare na kwenda na fashion dail?

Ukifika arusha, manyara yote si utapagawa asee?

Halafu ndo kwanza hawana habari wako barabarani wanauza ndizi na mitumbaa

Mkuu tembea ujione njoo arusha siku moja ndio utajua Dar hakuna pisi asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…